Lakini maandunje nao wana haki ya kuwamiliki maflat screens. Hawakatazwi kwa hilo.Wanaume wafupi mna gubu mnooo mnooo
Hahaha...slow down mkuuUnajishaua mbona kuna wengi tu warefu hawana akili angalia hata matajiri wengi sio warefu maana nao hawana akili
Kwanini muwapende warefu tu?Si ndio hivyo wanapenda warefu au ulitakaje?
Kwani lazima uwaelewe?Tatizo hawaeleweki wanataka kitu gani
Kila mtu na chaguo lakeWanawake wengi ambao ni wabovu na wafupi ndy wanakuwa na hizo tabia-MASHAUZI!
Lakini Wanawake big mamas &Tall hawanaga hizo stupid choices wao wapo sensitive na vitu muhimu kwy life .....sifa muhimu za mwanaume ajue kujituma kwy kutafuta manikio kwa ajili yake na family na awe family man,period! Bila kujali ni Emolo au Pepekale!?