Wasichana na tabia ya kuchagua wanaume warefu

Wasichana na tabia ya kuchagua wanaume warefu

Huyoo ni chaguo lakooo

Huyoo ni chaguo lakoo

Hata kama ni murefuuu

Hata kama ni mufupiiii

Hata kama ni mweusii

Hata kama ni mweupeee

Huyooo.........
Inabidi nipite kwa gia ya nyimbo maana ukitokwa povu unashtukiwa wewe ni mfupi
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi.
 
Khaa... Mimi na flati skreen ni tofauti... Labda demu anaecheza Yoga
Na wao wakichagua kiroho kinakuruka kama yeye ndio alikuumba.
Waache wachague kama ambavyo nawe una chaguzi zako.
 
Hawa watazaa vitoto vifupi kuliko hata mimi. Waone sura zao...
 
Na wao wakichagua kiroho kinakuruka kama yeye ndio alikuumba.
Waache wachague kama ambavyo nawe una chaguzi zako.
Mademu chezeni Yoga ili mutuvutie
 
Tena na Mimi wananikera kweli, mademu wa Kibongo wana maujinga sana, tena hako kanakotaka tall utakakuta kenyewe kafuuupi kama kimba la Asubuhi. Oh mm nataka Handsome Boy, wakati baba yake ana sura kavu kama ngozi ya goti. Mashauzi ya kumwaga wakati k yake maji matupu. Na kitandani kama gogo la mnazi.
Hahahaaa! Duh!
 
Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.

Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.

Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!

#Team tall guys #
Hakuna mwanamke anayechezewa unless awe anapewa dozi asiyoridhika nayo. Lkn kujamiana siyo kuchezea hata siku moja
 
Kwa hiyo hawa wanawake wafupi wanataka kutugombanisha wanaume warefu na nyie wafupi?....ila wanawake wafupi wabishi sana
 
Back
Top Bottom