Dada zetu wanaume weusi na warefu hawana mapenzi ya kweli

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Sipo hapa kupingana na wanaume wenzangu wala kupingana na chaguo la wanawake ila nipo hapa kusema ukweli ambao siku zote unafichwa kwa kivuli cha mwanaume mweusi-mrefu tena mwingine akiwa na hela ndiyo kabisa. Mtakuja kupingaa na mimi nakujiuliza nimeyajuaje haya ila huu ndiyo ukweli ninao uweka hapa kuhusiana na wanaume weusi alafu warefu lililo chaguo la wanawake wengi sana.

wanawake tunajua hampendani mnanafikiana sana na kamwe hamuwezi kuambiana ukweli uliopo juu ya hili la wanaume weusi- warefu, mwanamke utamuona mwenzako anapotea unajifanya kumuonea huruma kumbe moyoni unafurahia na kumuombea apotee zaidi

Sasa ndugu zangu katika harakati za kimaisha enzi na enzi ni swala ambalo lipo akilini mwa dada zetu kuwapenda wanaume weusi-warefu na wenye mwili flani hivi simple simple (wembamba wa wastani) au wenye kakitambi kadogo kakuchomekea shati angalau. Jambo hili la kupendwa na wanawake limewapa wanaume weusi na warefu kujiona sana, kuringa na hata kupata chance kubwa zaidi ya kuwachezea nyie wanawake na kuwaacha taabani huku wengine wakiwa single maza na wengine wakija na ile kauli yao ya kwamba wanaume wote ni mbwaa.

Mbali kabisa limewafanya wanaume weusi, warefu kuwadharau wanaume weupe awe mrefu au mfupi huku dharau nyingi zikienda kwa wanaume wafupi na hii ni kutokana na wanaume wa hivi kujikuta wanathamani kuliko kawaida halia ambayo imewapelekea kuwachukulia wanawake kama chombo kisicho na maana yeyote maana fika wanajua hata akiachana na mwanamke soko lao ni kubwa sana na atapata mwanamke mwingine maana ndiyo bidhaa pendwa duniani na hawa viumbe dhaifu wa kike.

Dada zetu mkae mkijua kwamba wanaume warefu na weusi ndiyo chanzo kikuu cha kuwafanya nyie muwe single maza, kuwafanya nyie muone wanaume wapo kuchezea wanawake, kuwaona wanaume ni mbwa na yote haya ni kutokana na kukosa ule upendo mnao utaka , kumbukeni wanawake mtataka mweusi mrefu ila mkae mkijua asilimia 95 hawana mapenzi ya kweli wapo kuwachezea nyie na kuwayumbishayumbisha , pia mkae mkijua na mkichunguza sana kwenye jamii zenu huko mitaani mnako ishi hakuna mwaume wa type yenu hiyo nyeusi na mrefu aliyedumu na mwanamke mmoja au mpenzi mmoja ukiacha na hawa wanaume weupe, warefu au wafupi na pia ukicompare na na hawa wanaume weusi wafupi hili kundi ndiyo lenye uwezo wa kudumu kweye ndoa au kwenye mahusiano na mwanamke kwa muda mrefu sana mtake msitake

Dada zetu unapo muomba Mwenyezi Mungu mume au unapotafuta mwanaume epuka kuweka kigezo cha mrefu alafu mweusi utakuja kujutia sana maana wapo wanawake wenzenu wanaojutia kupelekeshwa, kuteswa, kunyanyaswa, kupigwa, kukatikiwa, kufanyiwa dhihaka za ngono na kiutu na wanaume weusi-warefu na hawawaambiii ubaya huu wanaokutana nao na moto mkali unaowawakia humo ndani wao wanataka na nyie muingie kwenye tanuru hilo hilo la moto wa mweusi na mrefu ili na nyie mkionje kikombe cha mateso na kudharauliwa.

Dada zetu kuweni makini na machaguzi yenu
 
Najua kiumbe cha kike kinaamini uongo kuliko ukweli, hivyo ni kawaida sana kuuona ukweli ni uongo na uongo ni ukweli
Tatizo unabishana na kiumbe aliyewahi kudate na hao unaowaelezea wewe!

Nilishawahi kuwa na mwanaume mrefu mstaarabu mnoooo na ana upendo na responsible na nilishawahi kuwa na mfupi mwenye majigambo.

Kauli mbayambaya kujistukia muda wote kifupi ni kasheshe! Sasa wewe unaongea vitu bila experience bro
 
Tatizo unabishana na kiumbe aliyewahi kudate na hao unaowaelezea wewe!nilishawahi kuwa na mwanaume mrefu..m
Umepitia na hapa au umesoma tuu kichwa cha habari na kuanza kucomment

Kama ulipitia hapo chini chukua 100%-95% utapata jibu la kinyume chake

"Kumbukeni wanawake mtataka mweusi mrefu ila mkae mkijua asilimia 95 hawana mapenzi ya kweli wapo kuwachezea nyie na kuwayumbishayumbisha.

Pia mkae mkijua na mkichunguza sana kwenye jamii zenu huko mitaani mnako ishi hakuna mwaume wa type yenu hiyo nyeusi na mrefu aliyedumu na mwanamke mmoja au mpenzi mmoja""
 
Sipo hapa kupingana na wanaume wenzangu wala kupingana na chaguo la wanawake ila nipo hapa kusema ukweli ambao siku zote unafichwa kwa kivuli cha mwanaume mweusi-mrefu tena mwingine akiwa na hela ndiyo kabisa. Mtakuja kupingaa na mimi nakujiuliza nimeyajuaje haya ila huu ndiyo ukweli ninao uweka hapa kuhusiana na wanaume weusi alafu warefu lililo chaguo la wanawake wengi sana.

wanawake tunajua hampendani mnanafikiana sana na kamwe hamuwezi kuambiana ukweli uliopo juu ya hili la wanaume weusi- warefu, mwanamke utamuona mwenzako anapotea unajifanya kumuonea huruma kumbe moyoni unafurahia na kumuombea apotee zaidi

Sasa ndugu zangu katika harakati za kimaisha enzi na enzi ni swala ambalo lipo akilini mwa dada zetu kuwapenda wanaume weusi-warefu na wenye mwili flani hivi simple simple (wembamba wa wastani) au wenye kakitambi kadogo kakuchomekea shati angalau. Jambo hili la kupendwa na wanawake limewapa wanaume weusi na warefu kujiona sana, kuringa na hata kupata chance kubwa zaidi ya kuwachezea nyie wanawake na kuwaacha taabani huku wengine wakiwa single maza na wengine wakija na ile kauli yao ya kwamba wanaume wote ni mbwaa.

Mbali kabisa limewafanya wanaume weusi, warefu kuwadharau wanaume weupe awe mrefu au mfupi huku dharau nyingi zikienda kwa wanaume wafupi na hii ni kutokana na wanaume wa hivi kujikuta wanathamani kuliko kawaida halia ambayo imewapelekea kuwachukulia wanawake kama chombo kisicho na maana yeyote maana fika wanajua hata akiachana na mwanamke soko lao ni kubwa sana na atapata mwanamke mwingine maana ndiyo bidhaa pendwa duniani na hawa viumbe dhaifu wa kike.

Dada zetu mkae mkijua kwamba wanaume warefu na weusi ndiyo chanzo kikuu cha kuwafanya nyie muwe single maza, kuwafanya nyie muone wanaume wapo kuchezea wanawake, kuwaona wanaume ni mbwa na yote haya ni kutokana na kukosa ule upendo mnao utaka , kumbukeni wanawake mtataka mweusi mrefu ila mkae mkijua asilimia 95 hawana mapenzi ya kweli wapo kuwachezea nyie na kuwayumbishayumbisha , pia mkae mkijua na mkichunguza sana kwenye jamii zenu huko mitaani mnako ishi hakuna mwaume wa type yenu hiyo nyeusi na mrefu aliyedumu na mwanamke mmoja au mpenzi mmoja ukiacha na hawa wanaume weupe, warefu au wafupi na pia ukicompare na na hawa wanaume weusi wafupi hili kundi ndiyo lenye uwezo wa kudumu kweye ndoa au kwenye mahusiano na mwanamke kwa muda mrefu sana mtake msitake

Dada zetu unapo muomba Mwenyezi Mungu mume au unapotafuta mwanaume epuka kuweka kigezo cha mrefu alafu mweusi utakuja kujutia sana maana wapo wanawake wenzenu wanaojutia kupelekeshwa, kuteswa, kunyanyaswa, kupigwa, kukatikiwa, kufanyiwa dhihaka za ngono na kiutu na wanaume weusi-warefu na hawawaambiii ubaya huu wanaokutana nao na moto mkali unaowawakia humo ndani wao wanataka na nyie muingie kwenye tanuru hilo hilo la moto wa mweusi na mrefu ili na nyie mkionje kikombe cha mateso na kudharauliwa.

Dada zetu kuweni makini na machaguzi yenu
Pole bro ,usiwe na asila sana na kina Toluyo ww tafuta pesa,najua umepigwa na kitu kizito
 
Back
Top Bottom