Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,072
Dunia ndo ipo hivyo sio kwa wanawake tu hadi wanaume tunatakiwa tuwe selective to some extent, usitoe kila kitu kwa kila mtu wala usipokee kila kitu kutoka kwa kila mtu.Kila mtu na utashi wake. Wengine wanapenda warefu, wengine wafupi. Wengine wanene, wengine wembamba. Wapo wanaopenda weupe na wengine weusi.
Uhuru wa kuchagua