Ovyo kabisa waleWanawake wengi ambao ni wabovu na wafupi ndy wanakuwa na hizo tabia-MASHAUZI!
Lakini Wanawake big mamas &Tall hawanaga hizo stupid choices wao wapo sensitive na vitu muhimu kwy life .....sifa muhimu za mwanaume ajue kujituma kwy kutafuta manikio kwa ajili yake na family na awe family man,period! Bila kujali ni Emolo au Pepekale!?
Mwambie aje Humu JF, Atapata kila sampuli ya Mabazazidah! huu uzi umenikumbusha mbali sn, kuna dada angu mmoja kweli alikua mfupi ila mzuri wa umbo na sura, alikua anachagua sn kipindi hiko, hakuwahi kudate na men mfupi na hakua na rafiki wakiume ambae ni mfupi, inshort aliwachukia sn wanaume wafupi, sasa umri umekwenda anatafuta hata huyo mfupi hampati, anazidi kuzeeka kwa stress za kutaka mume,,kweli kabisa ifike wakati tuchague vitu ambavyo tunaendana navyo.
Sasa kama ni mfupi si anataka mrefu ili asije kuzaa mbilikimo jamani!!!?. Hata hivyo ufupi na urefu unapimwajeTena na Mimi wananikera kweli, mademu wa Kibongo wana maujinga sana, tena hako kanakotaka tall utakakuta kenyewe kafuuupi kama kimba la Asubuhi. Oh mm nataka Handsome Boy, wakati baba yake ana sura kavu kama ngozi ya goti. Mashauzi ya kumwaga wakati k yake maji matupu. Na kitandani kama gogo la mnazi.
mkuu mwone Dr JJ Mwaka huenda akawa na dawa ya kukufanya mrefu ili wasikukatae.Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.
Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.
Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!
#Team tall guys #
tafuta pesa tu wao wenyewe watavaa viatu vifupi ili wa match na ww, usipate tabuKuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.
Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.
Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!
#Team tall guys #
Si ndio hivyo wanapenda warefu au ulitakaje?Tatizo hawaeleweki wanataka kitu gani
Kuweni na msimamo, mnapenda hela au Urefu?Asa unataka mdada mfupi mana kuna ufupi na ufupi kweli halafu unakuta umelingana nae kimo unamtongoza unafkiri atakubali?Ukimzidi atleast kidogo ataridhika mana akisimama na wewe unaonekana umemzidi
Kwani wewe shida yako ni nini? Hela au urefu?Kumbe hela zote ndefu???