madmankache
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 836
- 593
mkuu,sisi wanaume tunachagua wacha na wao wachague,kila mtu ana haki ya kuchagua.huu mchezo.......au kama lazima hate the game dont hate the player.
teh teh teeh dah eti kimba la asubuhi , umeua mkuuTena na Mimi wananikera kweli, mademu wa Kibongo wana maujinga sana, tena hako kanakotaka tall utakakuta kenyewe kafuuupi kama kimba la Asubuhi. Oh mm nataka Handsome Boy, wakati baba yake ana sura kavu kama ngozi ya goti. Mashauzi ya kumwaga wakati k yake maji matupu. Na kitandani kama gogo la mnazi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi ni mrefu kuliko usiku
ha ha ha its time for the laughter! Hii yako imenifungua mbavu sana mkuu ingawa ni kweli madada wanatuonea mno!Tena na Mimi wananikera kweli, mademu wa Kibongo wana maujinga sana, tena hako kanakotaka tall utakakuta kenyewe kafuuupi kama kimba la Asubuhi. Oh mm nataka Handsome Boy, wakati baba yake ana sura kavu kama ngozi ya goti. Mashauzi ya kumwaga wakati k yake maji matupu. Na kitandani kama gogo la mnazi.
Kwasababu wana mvuto.Kwanini muwapende warefu tu?
Wengi ni ovyo sana, mademu wengi ni vifupi nyundoAll in all mi nimetafuta wa size yangu na tumeivana freshi tu, mi sijitanabaishi katika watu warefu ila kwangu kimo cha mtu huwa sio tija, na kwa experience ndogo tu majority ya mademu wanaojitia selective huwa wanaangukiaga pabovu balaa!
Sema mimi ni mrefu afu Gym imenijazaMhmhmhmhmmmmhhhhmmhhhm Kweli kabisa hio theory ya wanaume warefu nayo ina criticisms zake kuna mtu ofcourse sio mrefu sio mfupi ila kwa warefu hayupo mambo yake ni hatareeeeeeee! Kakamilika engo kibao except urefu tyu! Khakhakhaaaaaa
Ujinga wako ndio ujanja wa mwingine.ujinga tu
Muulize stuntHivi mtu mfupi huwa anaishia cm ngapi?