Wasichana na tabia ya kuchagua wanaume warefu

Wasichana na tabia ya kuchagua wanaume warefu

Wanawake huchagua vyote ila sio PESA tafuta pesa kijana hata uwe anduje kiasi gan watakuelewa tu#pesa haiongei# adui muombee njaa akishinda kweliye shujaa
 
Wanawake huchagua vyote ila sio PESA tafuta pesa kijana hata uwe anduje kiasi gan watakuelewa tu#pesa haiongei# adui muombee njaa akishinda kweliye shujaa
Teh teh teh teeeeeh!!!
 
Mkuu hujawajua vizuri hawa mabinti, ukiwa na pesa tu unakuwa umequalify, kama ni uchaguzi manake unapita bila kupingwa au kwa kura ya NDIO, wanawake wengi wanaojiona watoto wa mjini wana njaa sana ili kuishi maisha wanayoyataka wanahitaji mwanaume mwenye pesa no matter what.
 
Wewe mwehuu unazania mtu mfupi aolewe na mfupi ili wawe vituko hasira zakoo usilete jamiforum mpelekee huyo kituko mwenzako aliyekutukana shuwaini bure kabisaaa ndio maana wewe mfupi kama karangaa umeshawahi sikia msichana mfupi kaolewa na watu kama wewe is it by force to marry a short guy i heard is bad luck
 
Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.

Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.

Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!

#Team tall guys #
Acha wanaume warefu tufaidi
 
ndio maana ake.

tena wanaume hatupendi wanawake wafupi maana wana wivu hawajiamini. kila wakati wanahisi sijui nini.

niliwahi kuwa na mdada mfupi aisee alinisumbua mpka basi. yaani kero.

ki ukweli kuwa na mwanamke mfupi ni changamoto kubwa sana.

vivyo hivyo hata wadada nao wanasema kuwa na mwanaumme mfupi ni changamoto kubwa wanasema hawajiamini kila wakati wahisi kusalitiwa.

ki ukweli mwanamme au mwanamke mrefu wanajiamini. ukiwa na msichana hakika anajiamini.( mimi ni mwanamme mrefu) najiamini sana. kuanzia kuongea mpka kutenda
Unajishaua mbona kuna wengi tu warefu hawana akili angalia hata matajiri wengi sio warefu maana nao hawana akili
 
Wapo wengii tu kama sugu mkapa ebeneza na na wengine ngoja ni wachekii maana huku ar hutawajua hata shidolya tours,hazina tours ,leorpard tours,simba tours. Upo ngoja tu nitakupa wengine
 
Back
Top Bottom