Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,524
Hahaaaa! Yaani acha kabisa.Leo kuna mkaka nimemuona uuuuuh jamani mrefu ana body flan hivi ilinibidi nigeuze kashingo kidogoo,heko kwa wanaume warefu
Hahaaaa! Yaani acha kabisa.Leo kuna mkaka nimemuona uuuuuh jamani mrefu ana body flan hivi ilinibidi nigeuze kashingo kidogoo,heko kwa wanaume warefu
Kama hivi sasa jaambo dogo yashamtoka ya kumtoka! Kiruuu!andunje hawapendwi kwa sababu hii gubu mwanzo mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka sana izo shit inaonyesha yashakukuta ninTena na Mimi wananikera kweli, mademu wa Kibongo wana maujinga sana, tena hako kanakotaka tall utakakuta kenyewe kafuuupi kama kimba la Asubuhi. Oh mm nataka Handsome Boy, wakati baba yake ana sura kavu kama ngozi ya goti. Mashauzi ya kumwaga wakati k yake maji matupu. Na kitandani kama gogo la mnazi.
Inaitwa Kampa...kampa tena..Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.
Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.
Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!
#Team tall guys #
Fulati sikirini? Hawo ndiwo chaguwo languu. tehe tehe tehe tehNyie mbona mnachaguaga wasichana? Mara hamtaki flat screen, mara vimiguu kama njiti mnawasumbua wadada hadi wanaweka matako fake na kujichubua. We kama umekataliwa kisa mfupi kausha tu kama mnaowaita flat screen wanavo kausha. Wala hawaji huku kulalamika.
Mtu mfupi utamjua tuKuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.