Haahhaha... Tatizzo hawajui wanachokitaka haowaache tu akili fupi...nachojua kama hawataki wasikandie watafute tu hao warefu..wanaume wenyewe wachache siku hizi balaa kweli..mhagua sana si .......ila mi si mfupi ni tall nasema tu maoni yangu//....nawaona wanokataa baadae wanataka ilimradi an suruali bila kujali urefu au ufupi..
Hakuna snitch kama pesa ukiwa nae fanya vya maana/ akikutosa hutompata utamsaka usiku na mchanaMkuu hujawajua vizuri hawa mabinti, ukiwa na pesa tu unakuwa umequalify, kama ni uchaguzi manake unapita bila kupingwa au kwa kura ya NDIO, wanawake wengi wanaojiona watoto wa mjini wana njaa sana ili kuishi maisha wanayoyataka wanahitaji mwanaume mwenye pesa no matter what.
Am a short, ugly mpaka najiogopa but i have money-mtakuja tu na si mademu mpaka tall guys wanapiga goti kwangu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.
Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.
Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!
#Team tall guys #
Unajitahidi mwananguKuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.
Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.
Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!
#Team tall guys #
Cm 160Wewe unafuti ngapi???