Wasichana huwa tunaoverlook

Wasichana huwa tunaoverlook

Kati ya mtoto mzuri asiye na misuli na mbaya mwenye misuli nani atakuwa bullied hapo?

Sema jingine, si bullying.

Hujaona mtu ana akili darasani,ila anambiwa 'pua kama donge la sabuni'kny playing ground....😆😆😆😆
 
Unapochunguza vigezo hivyo ni vizuri ukajiangalia na wewe upoje....af ukiolewa na baba mzuri una uhakika wa sura za watoto wako zitakuwaje???
Umenikumbusha kuna siku mwalimu alitoa mfano kama huo darasani...... Alisema kuna kijana alikuwa na machaguo mawili ya kuoa. Chaguo la kwanza mdada alikuwa sura ndo vile tena ila kichwani yuko fit vibaya mno. Mwingine alikuwa mashallah ila kichwani ziro....kijana yeye alikuwa sura ya hivyohivyo tu ila kichwani yuko fit. Akapiga calculation za kibinadamu akasema ntaoa huyu mzuri mtoto akizaliwa atachukua sura ya mama na akili atachukua ya kwangu (as if yeye ndo anaumba na kugawa vipawa) Akaoa ila mtoto alipozaliwa matokeo yakawa tofauti...akili ya mama sura ya baba.
Wakati mwingine tuwe tunaacha nature iamue sio kila kitu ni cha ku-calculate.

Mweeh..naona Leo umeamua "kufungulia mbwa" lol..
 
Hii sio kweli bana

Mfano halisi mimi na Dada zangu mama yetu ni kifaa haswaa wa sura na shepu lkn sisi wote tumefanana na baba etu tumeacha uzur wa mama
Tunaishia kumsifia tu "mama we mzur"
 
Kwa hiyo nyie sio wazuri?
 
Tukikutana na wanaume huwa often tunaangalia pochi,kazi,sura ya kime nk ...tunasahau kabisa kigezo cha UZURI/UHANDSOME.....matokeo yake ni kuzaa watoto wenye features/wasifu....wenye mushkeli kidogo,and as a result wanaishia kuwa BULLIED na kuwaondolea KUJIAMINI.....

wasichana tuna haki ya kchagua watu wenye wasifu kama wanaume wanavyotuchagua kwa SHAPE/SURA na kigezo cha 'UHANDSOME'...kisiwe OVERLOOKED tafadhali.....

Usije ukadanganyika na sura ya handsome ya mwanaume kwamba ndio utapata mtoto wa sura nzuri kama za wazazi, ni Mungu anayejalia hilo, unapoamua kuingilia kazi ya Muumba utakuja kuumia bure.
 
Hii sio kweli bana

Mfano halisi mimi na Dada zangu mama yetu ni kifaa haswaa wa sura na shepu lkn sisi wote tumefanana na baba etu tumeacha uzur wa mama
Tunaishia kumsifia tu "mama we mzur"

Af nimegundua kufanana na mtu haimaanishi mko sawa kiuzuri...watu wawili wanaweza kufanana ila mmoja akawa mzuri mwingine akawa sio
 
imaney please comeback..! Ukiwa bondia kamwe usiogope za chembe
 
Last edited by a moderator:
Unapochunguza vigezo hivyo ni vizuri ukajiangalia na wewe upoje....af ukiolewa na baba mzuri una uhakika wa sura za watoto wako zitakuwaje???
Umenikumbusha kuna siku mwalimu alitoa mfano kama huo darasani...... Alisema kuna kijana alikuwa na machaguo mawili ya kuoa. Chaguo la kwanza mdada alikuwa sura ndo vile tena ila kichwani yuko fit vibaya mno. Mwingine alikuwa mashallah ila kichwani ziro....kijana yeye alikuwa sura ya hivyohivyo tu ila kichwani yuko fit. Akapiga calculation za kibinadamu akasema ntaoa huyu mzuri mtoto akizaliwa atachukua sura ya mama na akili atachukua ya kwangu (as if yeye ndo anaumba na kugawa vipawa) Akaoa ila mtoto alipozaliwa matokeo yakawa tofauti...akili ya mama sura ya baba.
Wakati mwingine tuwe tunaacha nature iamue sio kila kitu ni cha ku-calculate.

Ha ha ha ha ha...sitaki waza hicho kiazi kilicho toka....uwiiii...no offence
 
Sasa tukichagua hivyo hao wengine si watakosa wake?na tulivyo wengi tukianza kuchagua hivyo utatufanya tukose kuolewa bureee
 
Kwamba huyu au yule ni hand some au beautiful, is a subjective matter and so personal concern, yule unayemwona wewe handsome basically you must have criteria of which not necessary should conquer another person. The principle should be that, whom you love is beautiful or handsome to you!...I don't really accept your argument so far imaney. Waulize wanawake unaoamini kwamba waume zao sio handsome kama watakukubalia kuwa ni ugly, they will badly rebuke you guy, because they know their husbands are handsome even than you

Back
Top Bottom