Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,924
- 831,404
Last edited by a moderator:
umbea hauna posho
to mee to much handsome no so long as awe ni mrefu uzur watanifanana mm[/QUOT
Mrefu umempata hapa nina futi 6
Noted bro!!!
Unapochunguza vigezo hivyo ni vizuri ukajiangalia na wewe upoje....af ukiolewa na baba mzuri una uhakika wa sura za watoto wako zitakuwaje???
Umenikumbusha kuna siku mwalimu alitoa mfano kama huo darasani...... Alisema kuna kijana alikuwa na machaguo mawili ya kuoa. Chaguo la kwanza mdada alikuwa sura ndo vile tena ila kichwani yuko fit vibaya mno. Mwingine alikuwa mashallah ila kichwani ziro....kijana yeye alikuwa sura ya hivyohivyo tu ila kichwani yuko fit. Akapiga calculation za kibinadamu akasema ntaoa huyu mzuri mtoto akizaliwa atachukua sura ya mama na akili atachukua ya kwangu (as if yeye ndo anaumba na kugawa vipawa) Akaoa ila mtoto alipozaliwa matokeo yakawa tofauti...akili ya mama sura ya baba.
Wakati mwingine tuwe tunaacha nature iamue sio kila kitu ni cha ku-calculate.
Siku hizi wanakwambia hamna mbaya, ni pesa tu.
Kameremeta Mizengo Pinda na Oprah Winfrey itakuwa nani ashindwe?
Mambo ya fwedha.
Hahahahaha
Unautani wa ngumi na mtoto wa mkulima wewe
Nimeona kuna picha zake za sasa ukimlinganisha na zile za kwanza unaona kabisa shavu linapata nuru.