to mee to much handsome no so long as awe ni mrefu uzur watanifanana mm
Dada mwanaume hasifiwi sura!Pinda cheki chombo alicho nacho!Mcheki handsome Wasira bibie wake!
Chances ni 50/50 mamito ukiolewa na mwanaume mzuri chances 50 percent utatoa mtoto mzuri, na sio 100 percent utatoa mtoto mzuri!...i mean sio DEFINATELY utatoa mtoto mzuri,ila ukiwa mbaya na mumeo mbaya,mtatoa mtoto mbaya,a coconut doesnt fall from mango tree!...ingawa kuna kuskip generation...
Tukikutana na wanaume huwa often tunaangalia pochi,kazi,sura ya kime nk ...tunasahau kabisa kigezo cha UZURI/UHANDSOME.....matokeo yake ni kuzaa watoto wenye features/wasifu....wenye mushkeli kidogo,and as a result wanaishia kuwa BULLIED na kuwaondolea KUJIAMINI.....
wasichana tuna haki ya kchagua watu wenye wasifu kama wanaume wanavyotuchagua kwa SHAPE/SURA na kigezo cha 'UHANDSOME'...kisiwe OVERLOOKED tafadhali.....
sio sura tu
ANGALIA KIPI KINAKUVUTIA KUWA NA MTU KABLA HUJAMPENDA
alafu si ajabu unaweza ukamuona ana sura nzuri kumbe ana genes ambazo zipo dominated za kisokwe sokwe
and viseversa
watu8
Sasa kama we mbaya unataka mwanaume mzuri utampatia wapi kama sio kujitafutia tu jela ya maisha?? Ndio maana mwanzo pale nikasema unapotafuta mwanaume mzuri na wewe uwe umejithibitisha. Olewa na mwanaume wa kiwango chako utapata raha nafsini mwako...
Na kama unajiamini we mzuri watoto si watafuata sura yako....watakuwa wazuri tu usihofu
Sasa sisi wanawake wabaya,ndio 'wife material',,,,wanaume wanatutafuta😆😆😆nachagua nimpate handsome ili watoto wafuate kwa baba yao lols
Pumba tupu. Ugoro at work..
There are some stupid thoughts you do not expect from a woman who is gonna be a mother some day.
Usihofu hatojua...na hapa hayupo wa kutumulika...we si ndo mlinzi wake?