Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 314
Unamkosoa mungu,
any way, nahisi wanaume wazuri wewe unafamahamu naomba utujuze wanafananaje?
niangalie basi
Unamkosoa mungu,
any way, nahisi wanaume wazuri wewe unafamahamu naomba utujuze wanafananaje?
Hahahaa hakuna kitu kama hicho...ubaya na u-wife material havihusiani hata kidogo....tabia nzuri ipo popote kwa wabaya na wazuri na tabia mbaya vivyohivyo...mimi wala huwa sijifariji aisee
Kwamba huyu au yule ni hand some au beautiful, is a subjective matter and so personal concern, yule unayemwona wewe handsome basically you must have criteria of which not necessary should conquer another person. The principle should be that, whom you love is beautiful or handsome to you!...I don't really accept your argument so far imaney. Waulize wanawake unaoamini kwamba waume zao sio handsome kama watakukubalia kuwa ni ugly, they will badly rebuke you guy, because they know their husbands are handsome even than you
npite mie!!????🙂
niangalie basi
Chances ni 50/50 mamito ukiolewa na mwanaume mzuri chances 50 percent utatoa mtoto mzuri, na sio 100 percent utatoa mtoto mzuri!...i mean sio DEFINATELY utatoa mtoto mzuri,ila ukiwa mbaya na mumeo mbaya,mtatoa mtoto mbaya,a coconut doesnt fall from mango tree!...ingawa kuna kuskip generation...
to mee to much handsome no so long as awe ni mrefu uzur watanifanana mm
Mi nashangaa sana wanawake weng wanaosema wanataka wanaume wenye sura nzuri wengi wao wanasura ngumu zaidi hata ya sokwe.ndiyo nikaja kugundua mwanamke hata kama akiwa mbaya vipi wa sura atajiona mzuri tu Mbele ya mwanaume.
Sio kweli hii kitu.....mfano hai ni hayati Remy Ongara(R.I.P) mcheki mwanae Kally Ongara(he is handsome man).....then what abt dully Sykes na baba ake mzee Sykes?.....Nina mashaka na uhudhuriaji wako class katika kipindi cha bios form 4(Topic:genetic).....Tukikutana na wanaume huwa often tunaangalia pochi,kazi,sura ya kime nk ...tunasahau kabisa kigezo cha UZURI/UHANDSOME.....matokeo yake ni kuzaa watoto wenye features/wasifu....wenye mushkeli kidogo,and as a result wanaishia kuwa BULLIED na kuwaondolea KUJIAMINI.....
wasichana tuna haki ya kchagua watu wenye wasifu kama wanaume wanavyotuchagua kwa SHAPE/SURA na kigezo cha 'UHANDSOME'...kisiwe OVERLOOKED tafadhali.....
Sasa mkuu ukishajijua wewe ni sokwe,utataka sokwe tena?
to mee to much handsome no so long as awe ni mrefu uzur watanifanana mm[/QUOT
Mrefu umempata hapa nina futi 6
Ha ha ha ha...asikudanganye mtu...mvuto kwanza...
Ingawa kila mtu ana kinachomvutia...
Lakini kuchagua muhimu kama tunavyochaguliwa...
Na si dhambi wala nini...
Mbona wanaume wanachagua...
tupia pic yako tukuone, unaweza kuwa ni kimeo, kazi kusema wenzio.