Wengi wetu tunavyojadili mjadala huu, ni dhahiri kuwa tunatamani baadhi ya mambo yabaki mioyoni mwetu badala ya kuwekwa hadharanii.
Kwa mfano ukianzisha mjadala wa weusi vs weupe, utajikuta unashambuliwa kama umeua ingawa mitaani kwetu tumeshajizoesha, kwa mfano utamsikia mtu anasema "Leila amejifungua katoto kazuri, keupee" au utawasikia mademu wawili wakipiga umbea "lile libaba la jana, limenipigia...akasemaje ?..sijapokea apeleke ujinga, nipeleke wapi ule mkaa" mifano yote hii miwili inasema kuwa tuna yetu yaliyo moyoni ambayo tunaona ni dhambi kuyageuza mjadala.
Ingawa wengi mnamshambulia mleta uzi, bado naunga mkono hoja ya kuchukua tahadhari ingawa matokeo tumuachie Muumba...mfano kama Mwanaume ni mweusi na sura hujajaliwa, basi fanya hima uoe binti maji ya kunde hivi ili walau KUneutralize bana....cheki watoto wa Prof Philemoni....kina Maria.....