Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Pia unaweza kumwambia Sinde mpigie Ngosha ulikuwa naye counter
Kuna Watu Wawili Wanoko hapo nimeambiwa uko nao Jirani hapo na Mimi sipatani nao.

Nimegeuza Ndege yangu na sasa naelekea Kutua pale Kilima Nyege Oystebay katika Pub ya yule Mzee wa Kihaya Marehemu Mtafungwa aliyekuwa Mmoja wa Rubani wa Mwalimu Nyerere.

Nitakuwa hapo hadi Saa 9 Kamili na kuanzia Saa 10 nitakuwa Mbezi Beach mitaa ya kwa Balozi Ombeni Sefue kuna Demu wa Kihaya mzuri sana namfukuzia na Saa 2 Kamili nitatoka hapo.
 
maybe its time to start taking gentamycin a bit more serious
 
ukipokea hizo zawadi naomba tukutane pale mnyamala karibu na mochuari unipe japo kidogo kaka
Hahaahaa.. Ukiona manyoya?
20230327_130338.jpg
 
Back
Top Bottom