Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,422
- 27,308
Pascal Mayalla Hongera Learned brother
Hahaaaaa nawe kimbia kama unavyokimbiaNaona uzi unakimbia kishenzi
Ahsanteni sanaaa wote mliofanikisha ushindi huu kwangu, mbarikiwe zaidi na zaidi.
Nawapendeni nyoteee.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera zaoHabari wana JF,
Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.
Jukwaa Mshindi Kura Jokes 47% Kilimo na Uvuvi 68% Technology 93% Celebrities 28% MMU 69% Siasa 49% Michezo 49% Afya 58% Garage 40% Lugha 56% Elimu 54% International & Kenyan 62% & 83% Historia No competitor Photos & Habari na Hoja & Intelligence 83% & 50% & 32% Biashara na uchumi 42% Chef No competitor Sheria No competitor Entertainment 82%
Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.
NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.
Hongereni sana.
Mmh mbona unalike sana reply zanguNdio mimi 😄
Sidhani kama babu ananifahamu
Next time champYote Mungu anapanga![]()
Karibu Toka gerezani😂😂😂😂😂😂 shougaa angu nimeingiaa na mabegi nimetua
halafu unamfahamu huyu Kilimbatzz au ndo id mpya mpya hizi kivingine zinaingia na kutokammh mbona unalike sana reply zangu
imenibidi niulize wewe ndo nani inaonekana nyuma ya pazia wajua zaidi
😂😂😂 usijariiiWambea tugawane zawadi basi coca 😁
Ahsanteer sanaaa 🙏🙏Ka
Karibu Toka gerezani
Kulike ni kawaida yangummh mbona unalike sana reply zangu
imenibidi niulize wewe ndo nani inaonekana nyuma ya pazia wajua zaidi
Pole, washindi walishatangazwa siku nyingi na kukabidhiwa zawadi zaohalafu mbona kule jukwaa la story of change hawajatoa mshindi mpaka sasa tangia mwaka jana sept jamani kuna nini kimekatisha pale
AaahaaaNdio mimi 😄
Sidhani kama babu ananifahamu
woow aiseee haya hongera ila mwaka huu nikiweka uzi unipigie kura nami nataka nishindeKulike ni kawaida yangu
Hapana sijui chochote ni kushow love tu
hahaaa,mkuu nitaibuka mimi mshindii maana nimechapika balaaHalafu jukwaa la Jobless likasahaulika kuwekewa member wa kupigiwa kura.
Nasubiria jibuhalafu unamfahamu huyu Kilimbatzz au ndo id mpya mpya hizi kivingine zinaingia na kutoka