Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Jf mmenisikitisha sana, choko anapewa vipi tuzo? Tumefikaje hapa? Hizo mada nzuri mada zipi zaidi ya ujinga alionao?

Nasikia hasira mno
Ulitakaa ushindee wee mtalikiwa na mbambikwa mtoto?? Badala uhangaikie ustawi wa jamii kudai haki yako, uki buzzy kulanda JF utakufa siku si zakooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hyo ndo watajua ww ni ke au me [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] au nitume nikakuchukulie hahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa mnooo, nitaenda mwenyewe.
 
Uko hapo Sinde Pub Mbezi Beach Tangi Bovu ili nije au unataka kunipotezea tu Nauli yangu ambayo ningeweza Kuitumia kwa Kuhongea Mademu wa Uswahilini Kwangu na Nikabandua hata Kimoko tu cha Mayele?
Njoo. Nimehamia kwa mama Glady hapa alipokuwa yule mwanamke wako wa Kihaya na genge lake. Nimekaa opposite na geti la Harold Kida
 
Niko kwa mzee Juma yes
 
Njoo. Nimehamia kwa mama Glady hapa alipokuwa yule mwanamke wako wa Kihaya na genge lake. Nimekaa opposite na geti la Harold Kida
Mzee Juma yuko? Bubu huyo hapo Jirani nataka nimletee Viatu anishonee Vimechanika jana wakati nikichanja Mbuga nisishikwe Ugoni Mbezi Juu ( kwa Londa )
 
Back
Top Bottom