Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,610
mpwayungu village Hana noma Wala bahati mbaya,akikoma atatusua tu next yearWalimu wanabahati mbaya sana
Halafu mkuu for the record:Walimu hatuna bahati mbaya
mpwayungu village Hana noma Wala bahati mbaya,akikoma atatusua tu next yearWalimu wanabahati mbaya sana
Mkuu vp,RAO kafanikiwa katika maandamano yake!!?
Hapo sasa, kijora cha chui chui, saree kuu mjiniiiii.Kwenye safari ya kufuata zawadi na Hannah nisikose. Hakuna shughuli ndogo yaani. Niandae kijora changu mapema na kawigi
Sawa mkuu,natakufuata kule jukwaa lako pendwa Ili nijifunze zaidiSijakaa nimuelewe, natamani niingie barabarani niyafanye pia ila kwanza nataka nielewe anachopigania kinatuhusu au anasaka cheo.
Mkuu mmi ni mgeni humu ivi huyo ni jamaa au mdada [emoji849][emoji849] nmeshangaa unaposema huyu jmaa.Aaaah wapi mkuu fuatilia utajua kwann katajwa huyu jamaa
Sio shida zanguuuu.Kwendraaaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Yeye mwenyewe ni mwalimumpwayungu village kinachomponza ni zile chai zake zisizo na sukari, akiacha kuwadis walimu pasipo na sababu za Msingi na akaacha kamba zake mwaka huu lazima ale shavu
Napenda tu unavyojikubali mwenyewe 😍😍Ahsanteeeeee sanaaaa.
Basi aipende kazi yakeYeye mwenyewe ni mwalimu
Kujikubali ndo mpangoooooo, [emoji23][emoji23][emoji23]Napenda tu unavyojikubali mwenyewe [emoji7][emoji7]
Kitu mnyamaaaaaHapo sasa, kijora cha chui chui, saree kuu mjiniiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu time shiriki kwa kupiga kura wewe unasema mchakato haukua wa wazi na shirikishi ili bidi uka simamie zoezi zima ofisi za JfUzi utaibua mengi tusiyoyajua. Usiniulize ni kwanini Kwa sababu ni sauti kutoka ndani yangu inaniambia hivyo. Ni sauti ambayo sijui inayotokea wapi ila naisikia Kwa mbali ikinieleza hivyo.(in Mayalla voice)
Kiufupi huu mchakato hakuwa wazi na shirikishi kama mleta mada alivyojielezea. Pia utaendelea kuwa wa kificho kama biashara ya bangi ndio maana zawadi zinatolewa kimya kimya.
Walioshinda wote hongereni ila Kuna washindi ukiwaangalia Kwa makini unagundua Jf sio home of GT Kama vile inavyoaminika. Au ndio kusema kwenye msafara wa mamba na kenge wapo
You deserve 👑Kujikubali ndo mpangoooooo, [emoji23][emoji23][emoji23]
Life fupi hilii, naenjoy De moment niliyopo. Yajayo itajulikana huko huko.
Taikon ulipaswa uwe mmojawapo wa washindi maana nondo zako hapa siyo za kitoto. Inshallah mwaka kesho hutakosa!Nawapongeza washindi wotee.
Pia nawapongeza waandaaji wa Zawadi na tuzo hizi
Mme waona moderators [emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji857][emoji857]View attachment 2563719
Hao wote ni Eye witnesses wa operation Sangara ( Kataa Ndoa) UNafkiri mwenyekiti angetoboa kwenye hz tuzo huku na wao wanaowaza ndoa.
Hongera mjukuuKujikubali ndo mpangoooooo, [emoji23][emoji23][emoji23]
Life fupi hilii, naenjoy De moment niliyopo. Yajayo itajulikana huko huko.
Unanitafsiri Mimi kama shabiki Yako? Hapana umekosea Mimi sinaga ujamaa na WANGESE. Pia nakuchukulia kama btch unaetumia a.n.a.lNingeshangaa uzi uishe bila shabiki yangu hata mmoja kujitokeza na kutolea tamko kunihusu, shukrani ziwafikie nyote.
Aisei kumbe haya mavitu yana zawadi, mbona mtanikoma kwa nyuzi nitakazokua nashusha kila siku.
Nshakuacha celeb wetu😇😇😇Kheeeeh uko serious hivi?? Hapanaa kwa kweliii.
Usitake kuharibu furaha yangu, niwacheeeee.