Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,403
AahahahahHuyo blaza kapitishwa bila kupingwa. Nimeamini Rushwa ni kipingamizi cha haki.
Hebu angalia hatujapewa mshindi wa kitengo cha kutukana....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpwayungu village akiacha kuwadis walimu tuzo atazipata
😂 kataa ndoa chali wameloa na hawatambulikiNa wale jamaa wa KATAA NDOA sijaona nani kashinda... JF ina ubaguzi sana wallah
Yani mama anaona hata Ukuu wa Wilaya haumtoshi. Tupige kura apandishwe cheo awe Mod haoa JFA
Aahahahah
Huyo Mayalla naona jf imeona imtolee gundunla kukosa uteuzi
Mbona zoezi lilikuwa waziNext time pawe na poll ya wazi hapa ubaoni tuone mwenendo wa upigaji kura.
Yote Mungu anapanga [emoji120]Hongera Genta japo
Nimeumia sijamwona mpwayungu kwenye list
Tutampa dronedrake 😅😅😅Na wale jamaa wa KATAA NDOA sijaona nani kashinda... JF ina ubaguzi sana wallah
Safi sana na hongera zao
😀😀😀Yote Mungu anapanga [emoji120]