cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,762
- 189,181
Kheeeeh uko serious hivi?? Hapanaa kwa kweliii.Wanatuchezea akili hili jamaa linakuwaje celebrate [emoji28][emoji28][emoji28]
Usitake kuharibu furaha yangu, niwacheeeee.
Kheeeeh uko serious hivi?? Hapanaa kwa kweliii.Wanatuchezea akili hili jamaa linakuwaje celebrate [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwanini unadhani hafai kuwa celebrate!?Wanatuchezea akili hili jamaa linakuwaje celebrate 😅😅😅
Ahsanteeeeee sanaaaa.Hongera aunt
Kwaheriiiii, usiniharibiee furahaa yanguu mie.Hapa naonankabisa wanapromote zile tabia zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii mitandao ukiwa serious utapata stress bureHapa naonankabisa wanapromote zile tabia zako 🤣🤣🤣
Aaaah wapi mkuu fuatilia utajua kwann katajwa huyu jamaaKwanini unadhani hafai kuwa celebrate!?
CHAWAJATAwangejua kuchangia kulivyo kazi wangetupatia chochote kitu 😂😂
Kwendraaaa😏😏😏😏Kwaheriiiii, usiniharibiee furahaa yanguu mie.
Mkuu vp,RAO kafanikiwa katika maandamano yake!!?Ha ha ha!!! Mbele kwa mbele.... Thanks
Shangazi hujaitwa nilitoa taarifa tuAbee dogo..
Kwenye safari ya kufuata zawadi na Hannah nisikose. Hakuna shughuli ndogo yaani. Niandae kijora changu mapema na kawigiMnisindikize wapambeee, tukodi coaster na kigomaa juuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shuguhuri imepata mfanyaji.
Hujatoa sababu ya kwanini,toa sababu!!,why not!Aaaah wapi mkuu fuatilia utajua kwann katajwa huyu jamaa
sasa hivi tusiruke jukwaa ni kudondosha makomenti kwa kwenda mbereee.CHAWAJATA
Chama Cha wachangiaji JamiiForums Tanzania😂😂
Hahahaha week hii kuna member nilimnawa hatasahauNa nilivyo sina break sasa, lolote litakalokuja mdomoni, mie naandikaa.
Walimu wanabahati mbaya sanaHongera Genta japo
Nimeumia sijamwona mpwayungu kwenye list
Yule jamaa WA jukwaa la international anaandika habari fake Sana yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh kwa kweliii.Hahahaha week hii kuna member nilimnawa hatasahau
Had nkakosa raha maana huo sio ustaarabu wangu