hahahahammh mbona unalike sana reply zangu
imenibidi niulize wewe ndo nani inaonekana nyuma ya pazia wajua zaidi
duuuu ilikuwa lini tena aisee mbona safari hii hawajaweka kwenye jukwaa tukaona wengine tulikuwa ukrainePole, washindi walishatangazwa siku nyingi na kukabidhiwa zawadi zao
Ahsanteer sanaaa 🙏🙏
Ilo limeisha mama kura yangu unayowoow aiseee haya hongera ila mwaka huu nikiweka uzi unipigie kura nami nataka nishinde
Walitangaza kwa mfumo ule ule wa mwaka juzi.duuuu ilikuwa lini tena aisee mbona safari hii hawajaweka kwenye jukwaa tukaona wengine tulikuwa ukraine
kule story naona nimekosa aiseee ila jf kiboko hahaaaaIlo limeisha mama kura yangu unayo
ok hongera zao walioshinda ila safari hii sijiiingizi tena yatoshaWalitangaza kwa mfumo ule ule wa mwaka juzi.
Hafla ilifanyikia Regency Hotel, tulipata matangazo ya moja kwa moja humu
Pascal MayallaSheria kachukua nani???
Ongeza bidii one day utashindakule story naona nimekosa aiseee ila jf kiboko hahaaaa
hapana ndugu yangu uko kuna wenyeweOngeza bidii one day utashinda
Usikate tamaa kama upo interested na tuzohapana ndugu yangu uko kuna wenyewe
Nashukuru sanaaa.
mmh unanitia moyo tu acha nakadori nae aingie kule akapambaneUsikate tamaa kama upo interested na tuzo
Asanteni Uongozi mzima wa JamiiForums na Mtani wangu JamiiForums Founder Maxence MeloHabari wana JF,
Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.
Jukwaa Mshindi Kura Jokes 47% Kilimo na Uvuvi 68% Technology 93% Celebrities 28% MMU 69% Siasa 49% Michezo 49% Afya 58% Garage 40% Lugha 56% Elimu 54% International & Kenyan 62% & 83% Historia No competitor Photos & Habari na Hoja & Intelligence 83% & 50% & 32% Biashara na uchumi 42% Chef No competitor Sheria No competitor Entertainment 82%
Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.
NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.
Hongereni sana.