Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Asanteni Uongozi mzima wa JamiiForums na Mtani wangu JamiiForums Founder Maxence Melo

Ngoja nijifunze sasa Kuendesha Gari ili nikija Kukabidhiwa Hammer yangu nisishindwe Kuiendesha ( Jokes tu Jamani )

Wenye Wivu mjinyonge na mpasuke.

Cc: Greatest Of All Time, OKW BOBAN SUNZU,

Asante Mwenyezi Mungu
Asanteni Members Wote wa JamiiForums mlionipigia Kura
Asanteni Haters wangu wengi kwani Chuki zenu Kubwa Kwangu ndizo zimenipa Ushindi huu Kiuwepesi hadi napewa Zawadi hii ya Kutukuka
Asanteni Followers wangu 147 hapa JamiiForums

JamiiForums Ibarikiwe na Mbarikiwe.
Usinisahau wakati unakula kichuri
 
Habari wana JF,

Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.

Jukwaa
Mshindi
Kura
Jokes​
47%​
Kilimo na Uvuvi​
68%​
Technology​
93%​
Celebrities​
28%​
MMU​
69%​
Siasa​
49%​
Michezo​
49%​
Afya​
58%​
Garage​
40%​
Lugha​
56%​
Elimu​
54%​
International & Kenyan​
62% & 83%​
Historia​
No competitor​
Photos & Habari na Hoja & Intelligence​
83% & 50% & 32%​
Biashara na uchumi​
42%​
Chef​
No competitor​
Sheria​
No competitor​
Entertainment​
82%​

Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.

NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.

Hongereni sana.
Nashukuru kura zangu hazikupotea bure!
 
Asanteni Uongozi mzima wa JamiiForums na Mtani wangu JamiiForums Founder Maxence Melo

Ngoja nijifunze sasa Kuendesha Gari ili nikija Kukabidhiwa Hammer yangu nisishindwe Kuiendesha ( Jokes tu Jamani )

Wenye Wivu mjinyonge na mpasuke.

Cc: Greatest Of All Time, OKW BOBAN SUNZU,

Asante Mwenyezi Mungu
Asanteni Members Wote wa JamiiForums mlionipigia Kura
Asanteni Haters wangu wengi kwani Chuki zenu Kubwa Kwangu ndizo zimenipa Ushindi huu Kiuwepesi hadi napewa Zawadi hii ya Kutukuka
Asanteni Followers wangu 147 hapa JamiiForums

JamiiForums Ibarikiwe na Mbarikiwe.
Tutanguzanee na mie Fan wako tukachukue Zawadi zetu.
 
Hongera mkuu kumbe mnapewa mikoko?
 
Hata Mwenyezi Mungu si tu aliuona bali Aliubariki zaidi na mapema tu Ushindi wangu.

Huwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" GENTAMYCINE halafu Mwenyezi Mungu asikupe Tunu / Shani za Ushindi, Mvuto na Baraka popote utakapokuwa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
A
Hata Mwenyezi Mungu si tu aliuona bali Aliubariki zaidi na mapema tu Ushindi wangu.

Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer GENTAMYCINE halafu Mwenyezi Mungu asikupe Tunu / Shani za Ushindi, Mvuto na Baraka popote utakapokuwa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Aaahahaja
 
Back
Top Bottom