Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Tehehe lazima watusaidie,wametunyonya sana na kupora rasilimali walipotutawala
Kwa sasa ile omba omba na kulia imepungua kuliko kipindi chochote kile,yaani wasipotusaidia hatulii tena
Hujui kitu wewe! Barua anazo andika Mpango kwa sasa ni za kubembeleza kuliko kipindi kingine chochote awali ambapo barua za MoF zilikuwa za kimijadala.
 
Ya kwangu mimi haina hicho kifungu,naomba nisaidie ya kwako mkuu nipate ilmu
Toleo la 20 Juni 2005.

Kiti cha Rais kitakuwa ki wazi baada ya Bunge kuvunjwa (38(2)(a))
Mtu aliyechaguliwa kuwa Rais atashika kiti cha Rais hadi siku ambapo mtu atakayemfuatia katika kushika kiti hicho atakula kiapo cha Rais (42(3)(a)).

NB: Tusipende kupotezeana muda kwa vitu vilivyowazi na vya msingi kwa mwananchi wa kweli.
 
Toleo la 20 Juni 2005.
Kiti cha Rais kitakuwa ki wazi baada ya Bunge kuvunjwa (38(2)(a))
Mtu aliyechaguliwa kuwa Rais atashika kiti cha Rais hadi siku ambapo mtu atakayemfuatia katika kushika kiti hicho atakula kiapo cha Rais (42(3)(a)).

NB: tusipende kupotezeana muda kwa vitu vilivyowazi na vya msingi kwa mwananchi wa kweli.
Ndio maana kwenye katiba/sheria unaambiwa soma sambamba na kifungu fulani
Kwa maana hii kifungu (42)(3)(a) kinatumika kwa wakati huu
 
Hujui kitu wewe! Barua anazo andika Mpango kwa sasa ni za kubembeleza kuliko kipindi kingine chochote awali ambapo barua za MoF zilikuwa za kimijadala.
Weka hapa hizo barua
 
Kipanya au fuso toka lini zikawa na breki?
humo ndani ya mafuso na vipanya waliomo huwezi amini. Msafara wa raisi huwa na advance team waweza kuwa kwenye daladala, bodaboda, lori, trekta na chochote

mleta mada usijifanye ujuaji kazi za ulinzi ni fani tena watu wanasomea kufa mtu
 
Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba.binafsi akikatiza mitaa ya dodoma.akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama.na urais

Rais ni Rais tu muda wowote,akiwa chato,au hata kisiwandui,katiba inamtambua kama Rais

Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara,wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki

Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu,maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato,wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni

Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?

Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza,msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za serikali,katiba haimbani Rais,MSIRUDIE JAMANI

View attachment 1482030
Nchi yetu ni ya amani hakuna shida,
Na kujiamini pia, cheki Assad anavyojiendesha mwenyewe mitaani, wakati nchi iko vitani.
Ni kujiamini tu
 
Ndio maana kwenye katiba/sheria unaambiwa soma sambamba na kifungu fulani
Kwa maana hii kifungu (42)(3)(q) kinatumika kwa wakati huu
sijaona kifungu kidogo 'q'. Au unamaanisha 'd'? Kama ni 'd', kinaelekeza kwenye hivyo vyote viwili vinavyokinzana.
 
Sina muda huo wa kuendelea Kujibizana na Wewe katika hili, ila ninaendelea Kusisitiza Tukio zima lilizingatia taratibu zote za Kiusalama kwa Rais.
Taratibu za msingi zinataka Rais awe na msafara wa sweeper, utasemaje zilizingatiwa?
 
Niambie wewe
basi siku ingine wewe ukiona kuna msafara wa Rais ukitaka kupima unga ukiona lori mbele yake la mkaa li block uone watakaokuvamia ukiona wanashuka kwenye lori la mkaa na pistol usije piga yowe humu
 
nimecheka sana baada ya kuona kuna badhi ya gari ziko zmepaki tu pembeni na nmecheka zaidi baada ya kuona boda boda 2 zikiwa jirani kabisa na gari ya Rais, msijidanganye kuna zaidi ya unachokiona
 
Taratibu za msingi zinataka Rais awe na msafara wa sweeper,utsemaje zilizingatiwa?

Acha Kuzidi Kuanika Upuuzi wako Kwangu tafadhali. Nasisitiza tena Tukio hilo zima liliratibiwa kwa Vigezo vyote vya Kiusalama kutoka Kwao PSU.
 
Mimi nilivyoona vile nilishtuka kweli kwa kuwa nampenda sana huyu Rais kwa uzalendo wake, niliogopa mno nilivyoona lile gari likikimbia kwa spidi huku upande mwingine kukiwa na magari nayo yapo spidi, ila bado siamini kwamba walizi wake wangeweza kuachia hali kama ile binafsi naamini kulikuwa na ulinzi mkali tu eneo lote la safari.
 
Back
Top Bottom