Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Huo sio msalaba ni kibao kitakchotumika kuandika jina la marehem basi!
Tunaamini ukombozi wetu unatoka kwa Yesu kristo na sio kwenye msalaba
 
Wasabato ni wa pinga Kristo.
Acha kuropoka
FB_IMG_1540964205378.jpeg
 
Narudia tena wasabato ni wa pinga Kristo,angalia arama zilizowekwa kwenye kaburi la nabii mke hellen G harafu rudi hapa kutoa ushuhuda
 
Wasabato huwa hatutumii pete kwenye suala la ndoa lakini muumini akivaa pete kivyake vyake hawezivuliwa, kwani kwenye nchi ambazo ni sharia mtu yeyote aliyeoa kuvaa pete wanavalishwa, mfano India. Kinachokatazwa ni ibada ya kuabudu msalaba-picha na michoro yake-Lakini msalaba kama hauabudiwi siyo issue.
Kama nataka kukuelewa vile...

Unamaanisha kuwa mafundisho ya Kisabato yamejaa unafiki, kwamba umnahubiriana huko makanisani ila nje ni ruksa...

Kwamba kanisa Wasabato hamtumii kitimoto, lakini mmumini kwa wakati wake huko nje ni ruksa...

Kwamba Wasabato kanisani mnaambiana kunywa pombe ni upagani....ila muumini anaweza amua kunywa kivyake huko mtaani...?

Kwamba mafundisho yenu hayapo uniform...hivyo ni unafiki
 
Biblia ni mapokeo Mkuu. Ni historia au hulijui hilo? Au una mtazamo sawa na Wa kiislamu kwamba iliteremshwa na Mungu?
Tunaposema mapokeo najua tunamaanisha ni mafundisho ya wanadamu ni tamaduni za kibinadamu ,yaani ni kinyume cha mafundisho ya Mungu. Sasa ukisema biblia ni mapokeo sijakuelewa hapo mkuu, labda tusadiane
 
Mkuu nataka nifahamishwe hiyo ni alama ya nini...??? Ina maahisha nini..?

Na kama ni alama inayo masnisha kitu fulani, mbona sasa Mtakuwa mnaenda kinyume na Mafundisho ya muanzilishi wa Usabato Ellen G White, ambaye alipiga marufuku alama yoyote kwenye Usabato...?
Unazingua kuna Alama gani hapo....? Mi nafikiri huo ni ubao tu wakuandikia Details za Marehemu husika.
 
Kwanza kabisa huo sio msalaba hicho ni kibao tu chenye DOB na DOD

Maandiko matakatifu yapo wazi kwamba Tusisujudie wala kuabudu sanamu yoyote ile na amri hii si kwa wasabato tu bali ni kwa wote
Mind you kuweka vinyago vya watu au matoy nyumbani kwako sio shida as long as hauviabudu wala kuvisujufia

Happy Sabbath
 
Kama nataka kukuelewa vile...

Unamaanisha kuwa mafundisho ya Kisabato yamejaa unafiki, kwamba umnahubiriana huko makanisani ila nje ni ruksa...

Kwamba kanisa Wasabato hamtumii kitimoto, lakini mmumini kwa wakati wake huko nje ni ruksa...

Kwamba Wasabato kanisani mnaambiana kunywa pombe ni upagani....ila muumini anaweza amua kunywa kivyake huko mtaani...?

Kwamba mafundisho yenu hayapo uniform...hivyo ni unafiki

Mimi najua story zako huamini hata kuwa biblia ni neon la Mungu. Hivyo wewe unapenda ligi na siyo kujifunza ,unatafuta ushindi. Ila Wasabato tunafuata biblia kama wakristo wengine wanavyotakiwa kufuata biblia.Fundisho lako la msalaba,sijui kutokuweka msalaba sijawahi liona kwenye biblia,kama lipo naomba aya.
 
MASAHIHISHO.

ELLEN G WHITE SIO MWANZILISHI WA USABATO
BALI NI NABII WA MWISHO KATIKA HISTORIA YA KANISA LA WASABATO.
View attachment 919233

Wakuu mbali mbali habari za Wakati kama huu...

Nimeleta huu mahsusi ili Wasabato watuambie hii ina maanisha nini...

Tunafahamu ndugu Yetu Isaack Gamba(R.I.P) alikuwa ni Msabato.....Na kwa kadiri ya Mafundisho ya Wasabato ambayo yalihasisiwa na Nabii Ellen Gould White, Msalaba kwenye Kanisa la SDA ni haramu, upagani....Kwa Kifupi Ellen G White alikataza waumini wake kuwa na misalaba na alama zozote kwenye kanisa lake....

Sasa nilikuwa naomba ufafanuzi kutoka kwa Wasabato hicho ni kitu gani kwenye kaburi la ndugu yetu Isaack Gamba....maans siyo Msalaba...je! Ni alama ya nini...? Inawakilisha kitu gani...?

Je! Mbona EGW alipinga alama ndani ya Kanisa....

Nawakaribisha..

@sactus anacletus
mitale na midimu
Dumelang
blackstarline
@Idhiambo
Ntuzu
Kitaja
 
Mkuu nikuulize labda kwa nini watu huweka msalaba kwenye makaburi....ina relate vipi ??
 
MASAHIHISHO.

ELLEN G WHITE SIO MWANZILISHI WA USABATO
BALI NI NABII WA MWISHO KATIKA HISTORIA YA KANISA LA WASABATO.
Ahsante kwa masahihisho hewa....

Pia ngoja nikupe pole kwa kutokujua historia..
Kama ulikuwa hujui hawa ndio waanzilishi wa Usabato

1. William Miller
2. Joseph Bates
3. Hiram Edson
4. Ellen G White na mumewe James White
3. John Snow na mwenzake Bw. Andrews

Hao ndio waanzilishi wa SDA...ila EGW ni wakipekee zaidi...mada yake ni ndefu zaidi
 
Mimi najua story zako huamini hata kuwa biblia ni neon la Mungu.
Mbona unanilisha maneno...?? Una ushahidi wa hiki ulichokiandika...??

Hivyo wewe unapenda ligi na siyo kujifunza ,unatafuta ushindi.
Bado unaendelea kunipandikiza maneno....

Mimi nimeleta mada nikaomba nieleweshwe...matokeo yake hakuna Msabato hata mmoja aliyeweza nipa ufafanuzi zaidi ya kulalamika tuu na kunipandikiza maneno....

Ila Wasabato tunafuata biblia kama wakristo wengine wanavyotakiwa kufuata biblia.
Hili swala la Wasabato kujifananisha na Wakristo sijui mnalitoa wapi....??? Hivi mnaifuata Biblia au mnafuata mafundishi ya Nabii Ellen G White...??

Fundisho lako la msalaba,sijui kutokuweka msalaba sijawahi liona kwenye biblia,kama lipo naomba aya.
Sasa kama halipo, je! Huu msalaba tena Inverted unafanya nini haps..
Eye of Satan.jpg
 
Kwanza kabisa huo sio msalaba hicho ni kibao tu chenye DOB na DOD
Eti ehhh....kwamba hicho ni kibao....kwamba unatufanya sisi ni matahira...??

Mimi sijasema huo ni Msalaba....kwanza huwezi kuwa msalaba huo......

Kwa haraka haraka inaweza kuwa ulikuwa Msalaba ila umekatwa kwa juu...

Ndio ninauliza hiyo alama ina maanisha nini...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom