mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
kumbe tunajadili stori za mabarabarani.Taarifa nilizozipata ni kuwa Huo msalaba uliokatwa katikati, wakati wa kuagwa pale Lugalo Msalaba huo ulikuwa kamili kabisa....
Wadau wanashangaa kwann umekatwa
ulikuwa hauna haja yakukurupuka kuanzisha uzi bila kuwa na taarifa halisi.
sasa humu huwa hatujadili mambo ya kukisia au dhania. Tafuta hizo picha wewe au wapigie ndugu zake wakutumie ulete tujadili mkuu.
wengine sio wapiga ramli, hatuwezi kubashiri au kujadili kana kwamba hao uliowasikia walikuambia ukweli au mlikuwa mnapiga zogo.