Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Kumbukumbu...? Kwa hadhi ya hilo kaburi kwani wasiandike hata kwenye kibao cha rectangula cha marble...?? Kwanini iwe ni msalaba uliokatwa juu...?

Mbona mnajibu kirahisi hivyo
Ndo maana nikasema una agenda tofauti na uelewa. Aliyekwambia ni MSALABA uliokatwa ni Nani? Mbona inaonekana tangu kibao kinatengenezwa kilidhamiriwa kuwa T na siyo +? Labda kama ulikuwepo wakati kinatengenezwa ukaona wanakata!
 
Aliyekwambia ni MSALABA uliokatwa ni Nani? Mbona inaonekana tangu kibao kinatengenezwa kilidhamiriwa kuwa T na siyo +?
Kwanini alama ya T..? Mbona mafundisho ya Wasabato yanakataza kuwa na alama zaaina yoyote ile...?
 
Kwanini alama ya T..? Mbona mafundisho ya Wasabato yanakataza kuwa na alama zaaina yoyote ile...?
Neno "ALAMA" lina maana gani unavyolielewa wewe? Na ili kitu kiitwe alama nini sifa zake? Nani anatoa hadhi ya alama?
 
Unajibu kirahisi sana....

Hicho ni kichekesho cha karne...yani hizo taarifa kwanini zisiwe printed hata kwenye marbble...? Unafikiri utamshawishi nani ili akubali kuwa huo si msalaba uliokatwa juu..?
Utakuwa na matatizo yako wewe, endelea kuelewa unavyoelewa huenda una majibu yako kichwani,usisumbue watu
 
Kwanini alama ya T..? Mbona mafundisho ya Wasabato yanakataza kuwa na alama zaaina yoyote ile...?
Wew una,matatizo sana rafiki angu na kweli matatizo yako ni halisi.
Kanisa la wasabato linazo alama nyingi saaana, nyingi mno mfano PFC,AY na kanisa,lenyew lina nembo yake n.k na bado kuna nembo mbalimbali huwa zinabuniwa kutokana na matukio makubwa,yanayoendelea mfano mahubiri makubwa n.k
Nikufahamishe tu kweny nembo au logo ya kanisa kuna huo msalaba unaoupigia kelele, ukiangalia vizuri kweny logo ya kanisa utaona biblia imefunuliwa na msalaba umepita katikati yake.
Kila kitu kinatafsiri yake kulingana na akili ya mtazamaji, wew unaona huo hicho kibao ni msalaba ulokatwa lakini kwa akili yako hata wangeweka,kitu kingine chochote ungeendelea kupiga kelele kwamba ni alama.
Naomba ujikite kusafisha njia ya maisha yako kupitia dini au dhehebu unaloabudu wacha,kuhangaika,na vitu ambavyo kwako havina faida vitakupotezea muda.
 
Ni makosa ya fundi tu.tukashindwa kuurudisha maana muda ulishaenda.
 
Kanisa la wasabato linazo alama nyingi saaana, nyingi mno mfano PFC,AY na kanisa,lenyew lina nembo yake n.k na bado kuna nembo mbalimbali huwa zinabuniwa kutokana na matukio makubwa,yanayoendelea mfano mahubiri makubwa n.k
Unafahamu msimamo wa Ellen G White juu alama na nembo...? Unafahamu kuwa kanisa la SDA linasema alama zote ni za shetani na ni upagani...? Je! Lini mmneanza kubadili mafundisho ya muanzilishi wa Usabato Ellen G White...?
 
unnamed-8.jpg
images-72.jpg
 
Nikufahamishe tu kweny nembo au logo ya kanisa kuna huo msalaba unaoupigia kelele, u
Ndio nilikuwa nata nije na mada kuhusu hiyp logo...

Na kwaatarifa yako matumizi ya Logo ilikuwa ni marufuku kwa SDA kwa sababu EGW alisema ni upagani...

Hiyo logo imekuja juzi juzi tuu....mwanzoni kulikuwa hakuna logo ila picha za malaika watutu....nani alibadili...? Kwasababu gani...?

Tangu lini Wasabato mkawa mnatumia alama ya misalaba....?
 
Naomba ujikite kusafisha njia ya maisha yako kupitia dini au dhehebu unaloabudu wacha,kuhangaika,na vitu ambavyo kwako havina faida vitakupotezea muda.
Bado hujanipa jibu...

Je! Mafundisho ya Nabii wenu Ellen G White na makatazo yake kwa waumini wake mmeanza kuyatupulia mbali...?

Leo ndo mnakuja kugundua kuwa huyo Mama aliwaingiza chaka kwa ndoto zake....???

Nasubiri majibu
 
Tau is the last letter of the Hebrew alphabet and was used symbolically in the Old Testament. It was already spoken of in the Book of Ezekiel: “The Lord said to him, ‘Go through the city, through Jerusalem, and put a mark upon the foreheads of the men who sigh and groan over the abominations… (Ez. 9:4). The Tau is the sign placed upon the foreheads of the poor of Israel, it saves them from extermination.

It was then adopted by the very first Christians, for a twofold reason:

As the last letter of the Hebrew alphabet, it prophesied the Last Day and had the same function as the Greek letter Omega as it appears in the Book of Revelation: “I am the Alpha and the Omega, the beginning and the end. To the thirsty I will give water without price from the fountain of the water of life … I am the Alpha and the Omega, the first and the last, the beginning and the end” (Rev. 21:6;22:13).



The Christians adopted the Tau, because its form reminded them of the Cross on which Christ was immolated for the salvation of the world.
 
Mkuu huo ni ubao wenye majina ya marehemu. Unachokitaka kukimaanisha lambda ukiseme wewe. Wala sio msalaba kama unavyotaka kumaanisha.
 
Mkuu waanzilishi wa Usabato ni vikundi vitatu...ila Ellen G White anaoneka zaidi kama champion wa Usabato.....

Mkuu...tusitoke kwenye mada ili tusiharibu mjadala....hiyo alama ina maanisha nini...?
This is true definition of FOCUS

Mkuu nimekukubali, wanakutoa wewe unawarudisha kwenye agenda
 
vizuri kweny logo ya kanisa utaona biblia imefunuliwa na msalaba umepita katikati yake.
Ni kweli....ila huo sio msalaba...ukiaangali kwa makini ni msalaba uliowekwa juu chini..

Tazama
Eye of Satan.jpg
 
Mkuu huo ni ubao wenye majina ya marehemu. Unachokitaka kukimaanisha lambda ukiseme wewe. Wala sio msalaba kama unavyotaka kumaanisha.
Kwanini usiwe mpana (mstatili) ili hayo masndishi yasomeke vizuri...? Je! Imefanyika hivyo ili kuonesha dharau kwa Wakristo na kudhihirisha wazi kuwa Wasabato ni maadui wa msalaba...??
 
Wasabato, tukiendelea kuchagiza na hili la msalaba uliokatwa....naona kuna kitu muhimu tutakijadili ambacho kishabiahana na mada...

Nimeona wadau wa kisabato impelle wakijinadi kuwa hata kwenye logo yao kuna msalaba...ila hiyo logo ukiangali kwa makini ule msalaba upo inverted....je! Ina maanisha nini ..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom