Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Huo ni msalaba na wanaosema sii msalaba hawajui historia ya kanisa. Tena wataalamu wa mambo wanasema msalaba alisi aliotundikwa Yesu ulikuwa na umbo kama hilo.

Mtakatifu Francisco wa Aziz alikuwa anavaa msalaba wa namna hiyo wenye umbo la T maarufu kwa jina la TAU CROSS

Wafuasi wa Mtakatifu huyo ambao ni shirika la mapadre , mabruda na masister maskirni wa CLARA huvaa msalaba huo kama utambulisho wao

Wengi wa wanashirika hawa huvaa kanzu zenye kikapu mgongoni ( OPP) na huishi maisha ya kimaskini
 
Kubishania dini haina maana, kwa sisi waafrika dini tumerithi kutoka nchi za wazungu na waarabu kwa hiyo kila Mmoja wetu hatakiamini kutokana na chimbuko alilo zaliwa kupitia hizo dini mfano awe msabato, mkristu au mwislamu, Ukiangalia kwa umakini sisi Waafrika tunafuata mkumbo na ubishani usio kuwa na maana yeyote, wakati huo huo walio tuletea hizo dini wao kipindi hiko walikuja Kuvuna Mali zetu za Afrika, wao kwa sasa kwa nini maovu kwao yame kuwa ni Mengi cha kujiuliza? Mambo ya dini ni Fumbo la Imani amini kile unacho kiamini usimuaminishe mtu kwa kile unacho kiamini.
 
Ni kweli hawaamini msalaba na hapo hakuna msalaba ila ni T kwaajili ya maandishi au anwani
Sasa huoni ni kama wameonesha dharau kwa Wakristo...???


Ndio tunafahamu kuwa Wasabato hawaamini kifo cha Bwana Yesu msalabani, kwamba Yesu hakumaliza kazi pale msalabani ila yupo kwenye kachumba huko mbinguni akifanya hukumu ya upelelezi...

Sasa kwanini wadharau msalaba wa Wakristo...???
 
Kwa uelewa wako ili andiko lina maana gani. .?

Kutoka 20:4
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Quote na fungu linalofuata linasema usivisujudie
 
Wasabato wamepotea mno.

Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.

1 Wakorintho 1:18
Ahsante mkuu...

Huenda Wasabato pia ni wale maadui wa Msalaba walionenwa kuwa watatokea.....
 
Mtakatifu Francisco wa Aziz alikuwa anavaa msalaba wa namna hiyo wenye umbo la T maarufu kwa jina la TAU CROSS
Hapana mkuu....kwa hilo napingana na wewe....nakubaliana na wewe kuhusu aina ya msalaba...pia kuna aina mbali mbali za misalaba..eg celtic cross, orthodox..

Huo wa TAU cross upo hivi...

Croix_de_Saint_Antoine.svg.png


From wikipedia..

The tau cross is a T-shaped cross all three ends of which are sometimes expanded.[1] It is so called because shaped like the Greekletter tau,[2] which in its upper-case form has the same appearance as Latin and English T.

Ila huo wa ndugu zetu upo flat at the top ..
FB_IMG_1541180468084.jpg
 
Gamba alipoagwa Lugalo waliweka msalaba kamili. Wamefika Bunda wakauchinja juu ikawa T. Wanahangaika tu. Msalaba halisi ni umbo la kila mwanadamu anapobana miguu chini pamoja na kutawanya mikono kwa pembeni
Hata mimi nili-guess kitu kama hicho...

Huenda mwanzoni ulikuwa msalaba kamili ila wakastuka kuwa Mafundisho ya Ellen G White yalikataza...hivyo chap chap wakakata pale juu....

Hivyo ni Wazi Wasabato ni Maadui Wakubw wa Msalaba wa Bwana Wetu Yesu Kristo...
 
Huwa kuna semu siwaelewagi kabisa,MF: ni kudili sana na mwisho wa dunia na wanatumia nguvu nyingi pamoja na kutabiri itabiri ambao huangukia pua kila Mara
Tunausubiri wa yule aliye sema yesu hajui hesabu ndio maana hakutabiri mwisho wa Dunia
La zaidi ni kuwa wanajifanya kuyajua maandiko lakini ni 0,YESU mwenyewe anasema hakuna anayeujua huo mwisho si mwana (yeye YESU)malaika ni Baba tu Anaye jua MUNGU
Wao wanamzidi YESU?
 
Huwa kuna semu siwaelewagi kabisa,MF: ni kudili sana na mwisho wa dunia na wanatumia nguvu nyingi pamoja na kutabiri itabiri ambao huangukia pua kila Mara
Tunausubiri wa yule aliye sema yesu hajui hesabu ndio maana hakutabiri mwisho wa Dunia
La zaidi ni kuwa wanajifanya kuyajua maandiko lakini ni 0,YESU mwenyewe anasema hakuna anayeujua huo mwisho si mwana (yeye YESU)malaika ni Baba tu Anaye jua MUNGU
Wao wanamzidi YESU?
Hawa viumbe mkuu ni pasua kichwa...
 
Hapana mkuu....kwa hilo napingana na wewe....nakubaliana na wewe kuhusu aina ya msalaba...pia kuna aina mbali mbali za misalaba..eg celtic cross, orthodox..

Huo wa TAU cross upo hivi...

View attachment 920290

From wikipedia..

The tau cross is a T-shaped cross all three ends of which are sometimes expanded.[1] It is so called because shaped like the Greekletter tau,[2] which in its upper-case form has the same appearance as Latin and English T.

Ila huo wa ndugu zetu upo flat at the top ..
View attachment 920293
Hakuna tofauti hapo ni T iliyo katika font mbalimbali ila msingi wa herufi ni T. Inaonekana hukusoma fine art wewe. Hata hivyo ukifungua microsoft word kwenye komputa yako waweza kuibadilisha font herufi hiyohiyo upendavyo
 
Msalaba katika kanisa la wasabato sio dhambi, ila sanam ya kitu flani ndo dhambi. Rejea fungu la kutoka 20 linalosema usijifanyie sanam ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho mbinguni, ama duniani. So ukiuabudu msalaba na kuuweka kanisani kwa ajili ya ibada, hapo ndo inasemwa ni machukizo kwa Mungu wa mbinguni.
 
Msalaba katika kanisa la wasabato sio dhambi, ila sanam ya kitu flani ndo dhambi. Rejea fungu la kutoka 20 linalosema usijifanyie sanam ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho mbinguni, ama duniani. So ukiuabudu msalaba na kuuweka kanisani kwa ajili ya ibada, hapo ndo inasemwa ni machukizo kwa Mungu wa mbinguni.
Wewe naona hufahamu mafundisho yenu na vitu ambavyo muanzilishi wa Usabato Ellen G White alivikataa/piga marufuku.......
 
1. Siku zote sikuwahi kufahamu kama wewe ni muumini Wa MASHAHIDI WA YEHOVA.

2. Kuhusu kwamba Neno "Msalaba" ni istilahi ambayo imepatikana kimakosa kutokana na tafsiri sijakuelewa. Ninaona kama kuna kujichanganya. Nani hasa alifanya tafsiri ya hiyo Biblia? Ni huyo mpagani TAMUZI au nani hasa? Maana Mara unasema neno "Strauros" lilitafsiriwa vibaya Mara unasema ni neno ambalo lilitumika kumuenzi TAMUZI!

3. Nitaleta Uzi hapa siku moja kueleza jinsi msalaba wenye + ndio uliotumika kumsukubisha YESU.

4. Ama Yesu alisulubiwa msalabani au kwenye mti lililo la muhimu ni damu yake iliyomwagika.
1. Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya CCOG na Mashahidi wa Yehova, inaonekana wewe uelewa wako ni mdogo sana. By the way nakuwekea tena link ya hilo kanisa na utaona tofauti. CCOG siyo Mashahidi wa Yehova, hivyo acha kupotosha watu. ingia hapa uone; CCOG - Continuing Church of God

2. Naomba urudie tena kusoma nilichokiandika kuhusu "msalaba". Nafikiri nilichokiandika hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusoma na kuelewa kabisa. Nimesema neno msalaba halikuwepo kabisa katika Injili ile "original" ambayo iliandikwa kwa lugha ya zamani ya KOINE GREEK na baadaye kutafsiriwa kwenda kwenye lugha zingine. Waliotafsiri hili neno "stauros" ambalo maana yake ni "nguzo", wao wakaandika "msalaba" na walifanya hivi kwa makusudi sababu hazijulikani. Tafadhali naomba urudie tena kusoma na utaelewa nimeandika nini. Mimi huwa sibahatishi mkuu, nikiandika kitu ujue ninazo facts za uhakika.

3. YESU KRISTO hakufa juu ya msalaba( + ), bali alikufa kwa kutundikwa kwenye nguzo( I ) na hii ndiyo ilikuwa njia ya Warumi ya kuwaadhibu wakosaji waliohukumiwa kifo. Hata mimi nitakuja na uzi uliokamilika ukiwa na ushahidi wote kuwa YESU hakutundikwa msalabani bali kwenye nguzo. Tena nitaelezea kwa kirefu sana asili ya huu msalaba mnaoutumia leo hii. Nitaku-tag mkuu ili upate maarifa, nayo KWELI itakuweka huru kweli kweli.

4. Katika hii hoja hata mimi nakubaliana na wewe kuwa muhimu ni "damu" ya fidia kutoka kwa YESU KRISTO iliyomwagika na kutuweka huru, na siyo "msalaba" wala "nguzo". Nashangaa kama unalifahamu hili kwanini basi unakubali kudanganywa na kuhangaika kubeba masanamu ya kipagani huku na huko?? Hivi hujui kuwa imeandikwa; "Wakristo wanapaswa kuenenda kwa imani na siyo kwa kutazama"??

Nimalizie kwa kukuuliza swali moja dogo sana; hivi wewe SANCTUS ANACLETUS ikitokea ndugu yako mpendwa akauwawa kwa kunyongwa na watu waovu, baada ya kumzika utaichukua ile kamba iliyotumika kumnyonga ndugu yako na kisha wewe kuivaa shingoni na kutembea nayo kila uendako kwa kisingizio kuwa unamuenzi marehemu ndugu yako???.... Kama unazo akili utakuwa umenielewa namaanisha nini.
 
Duh, hawa wachungaju watatupasua vichwa kwa kutulisha sumu mpya na advanced daily!
Mkuu hii siyo sumu mpya, haya ni mambo ambayo yalikuwepo tokea enzi na enzi, huu ni ukweli ambao ninyi "vipofu" mmefichwa ili msiujue. Mmefichwa sababu hamuipendi KWELI bali mnaupenda uongo na kuutenda ndiyo maana mmeletewa uongo ili muufurahie zaidi. Kwenye maandiko matakatifu hakukuwa na neno msalaba, bali lilikuwepo neno nguzo au mti. Hili neno "msalaba" limeingizwa ili kuwapotosha watu na kuwafanya watu washikamane na UPAGANI. Msalaba asili yake ni UPAGANI na BWANA MUNGU kamwe hafungamani na Upagani, wala vitu vya kipagani haviko kwake.

Mkuu fahamu kwamba ukimtafuta MUNGU kwa dhati hakika utamuona na Yeye atakufunulia mambo usiyoyajua wewe wala babu zako. Tatizo lenu ninyi Wakatoliki mnabweteka sana na hamtaki kujishughulisha katika kuitafuta KWELI ya MUNGU.
 
We jamaa ushakuwa polluted, cdhan ka utasalimika. Hivi FATIMA ndipo asili ya kanisa Katoliki? Je, FATIMA ndiye mwanzilishi wa uislamu? Muwe mnajiongeza mnapopofushwa na mafundisho mfu ya wachungaji wenu!!
Hakuna kitu unajua wewe, yaani uko gizani mbaya sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom