Alama za misalaba ni upagani

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,301
3,414
Makanisa ya KIKRISTO hayapo salama Tena , Shetani ameshayaingilia Kwa kupenyeza mafundisho na alama zake ,

Katika freemasons kuna degree 33, na kila Moja ina kazi yake Kwa jamii ,zinafanya kazi Kwa Siri ,najua kuna watu watanendelea kudharau na kubeza,

Leo tutaiangalia Degree ya 18 maarufu kama Rose & Croix

Digrii ya 18 hii pia inafahamika kama ‘Knight of Rose Croix’ hushughulika na elimu ya aina za misalaba na jinsi ya kufanikisha kuziingiza ndani ya taasisi na madhehebu mbalimbali kwa imani ya Illuminati na freemason na kwa kweli freemason wa digrii hiyo wamefanikiwa kwa kiwango cha juu kabisa kuingiza aina nyingi za misalaba ndani ya makanisa na taasisi bila ya waumini kujua maana ya misalaba hiyo

kwanza waumini wanafundishwa Msalaba ni alama takatifu ,lakini katika maandiko yanapoxungumzia Msalaba yanamaanisha hasa Tukio la Yesu kufa pale msalabani na sio vinginevyo, inasikitisha sana kuona waumini wakibeba miti ya misalaba na kuibusu na kuitumikia ,

images (6).jpeg

Alama ya Msalaba ndio alama kuu sana katika ukristo wa sasa. Karibia makanisa yote ya kikirsto yanaweka misalaba katika makanisa yake. Misalaba pia inawekwa katika biblia mbali mbali katika kasha la kufunikia biblia. Post hii haizungumzii kazi ya ukombozi ya Bwana Yesu Msalabani, bali inaongelea ile alama ya msalaba yani Mistari miwili iliyokutana inayoonekana katika makanisa yetu na katika nembo nyingi za madhehebu ya kikristo. Tunajua kuwa alama hii ni maarufu kiasi cha kuwa ikionekana basi inatambulisha ukristo au mtu yoyote anayevaa msalaba basi anaonekana kuwa analindwa na nguvu za Mungu. Kadiri muda unavyoenda watu wanaanza kuabudu alama ya msalaba kiasi cha kufanya sala ikiwa inawekewa alama ya msalaba kama jinsi ilivyo kwa kanisa Katoliki. Watu wengi wa kanisa katoliki wakiwa katika kusali wanafanya ishara ya msalaba. Sasa tuangalie Historia ya alama hii maarufu. Kwa kupitia msaada wa Wanahistoria mbali mbali. Tyrack anasema

Ni jambo la kushangaza, na ni ukweli usioweza kuulizwa, kwamba kabla ya kuzaliwa kwa Kristo, na tena hata katika sehemu ambazo hazijawahi kuguswa na mafundisho ya kanisa, alama ya msalaba ilikuwa inatumika kama ni alama takatifu. Bacchus wa wagiriki, Tyiani Tammuzi, Bel wa wakaldayo, na Norse Odini, wote walikuwa wanawakilishwa na alama hii
( G.S. Tyack, The Cross in Ritual Architecture and Art, london 1900)

Inabidi kila mmoja aanze kujiuliza, kwanini alama hii iwe ni alama takatifu hata kabla ya kuzaliwa kwa Yesu au hata maeneo ambao hawajawahi kusikia habari za Yesu walikuwa na alama hii? Nukuu hii haijatuambia vyema alama hii ilikuwa inatumika katika ibada gani. Maana yake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kuwa alama hii ilikuwepo na ilitumika hata kabla ya ukristo. Lakini tuangalie mwanahistoria mwingine anasema,

Watu katika maeneo mengi ya Kale walitumia alama ya msalaba katika ibada, wengine kama vile wamisri waliitumia katika ibada ya Phallusi au ibada ya kuabudu via vya uzazi wa mwanaume. Ilitumika kama ni ya uzazi. Alama za misalaba za aina mbali mbali zimekutwa katika kila majengo ya kimisri na katika makaburi, na inaaminiwa na wengi wenye mamlaka kuwa ni alama ya phallusi (Ikiwakilisha via vya uzazi vya mwanaume) au ngono. Katika Makaburi ya wamisri crux ansata (alama ya msalaba yenye duara juu) ilikutwa ikiwa na Phallusi pembeni (H.Cutner, A Short History of sex Worship, London 1940 pia angalia The Non christian Cross, p.183) Mabano wamewekwa na mwandishi mwenyewe.

Kwa kweli hakuna ambaye atakayesoma hii nukuu bila kushangaa. Ni jambo la kushtusha kidogo alama ya msalaba kususishwa na ibada za Kipagani tena ni ibada za kuabudu via vya uzazi wa mwanaume yani uume. Ibada ya kuabudu uume sio ibada ngeni ilikuwepo katika kipindi cha zamani. Lakini hata leo hii Kuna wajapani wanaoabudu uume na sikukuu yao inaitwa “Kanamara Matsuri”. Msomaji anaweza akatafuta katika mtandao. Lakini jambo la kushitusha ni kwamba alama ya msalaba hii ya leo inayowekwa katika makanisa na katika biblia mbali mbali kama ndio alama ya ukristo hapo mwanzo kabla ya ukristo tena katika maeneo ya mbali sana, wamisri walitumia alama hii katika ibada zao za kuabudu uume. Waliweka alama hii katika majengo yao na katika makaburi yao na waliitukuza alama hii kama ni alama takatifu. Kwahiyo sasa tunaanza kuelewa ile nukuu ya mwanzo kuwa ilikuwa inatumika kama alama takatifu hata kabla ya ukristo, kwasababu ilikuwa inatumika katika kuabudu uume. Mwanahistoria mwingine anasema

“Ile ambayo sasa inaitwa ni msalaba wa kikristo hapo mwanzo, ilikuwa sio alama ya kikristo hata kidogo, bali ilikuwa ni tambiko Tau la wakaldayo na la wamisri. Asili yake halisi ilikuwa ni herufi T ambayo ilikuwa ni jina la Tammuz kwa kiebrania. Hivyo hivyo katika kaldayo ya kale ilikuwepo katika sarafu zake. (Alexander Hislop, Two Babylon).

Mwana historia huyu anasema wazi kuwa, Alama hii ya msalaba inayotumika katika makanisa ya kikristo, haikuwa ni alama ya kikristo hata kidogo. Bali ilikuwa ni alama ambayo inayotumia katika ibada au matambiko ya wakaldayo. Mpaka hapa kila mwana historia anatoa ushahidi ambao unaonesha kuwa Alama hii ya msalaba asili yake ni upagani. Kitu cha ajabu ni kwamba kanisa katoliki linakubali kuwa kanisa la Mitume hawakuwahi kutumia alama hii. New Catholic Encyclopedia inasema,

“Uwakilishaji wa kifo cha ukombozi cha kristo pale Golgotha haukuwa katika alama yoyote katika makanisa ya kwanza ya kikristo. Wakristo wa kwanza wakiwa katika ushawishi wa katazo la agano la kale la kuhusu sanamu za kuchonga, walikataa hata kuweka kifaa cha mateso ya Bwana”(New Catholic Encyclopedia, 1967)

Pia mwana historia mwingine alisema hivi kuhusu Kanisa la Kwanza la Mitume

“Hakukuwa na matumizi ya alama ya msalaba, na hakukuwa na ukumbusho wowote wa msalaba”(J.F.Hurst, History of Christian Church, New York 1897)

Tunaona kuwa Kanisa katoliki linasema kuwa kanisa la Kwanza yani kanisa ambalo lilianzishwa na mitume hawakuwa na alama yoyote ambayo inawakilisha kifo cha Yesu pale msalabani. Yani hawakuwa wana misalaba ambayo leo hii inatumika wala hawakuwa na Alama ya msalaba. Kwa maana kama alama hiyo ya msalaba ingekuwa ni muhimu sana katika ukristo kama hivi leo, Yesu angewaambia. Lakini kuna jambo moja tu ambalo Yesu alisema wanafunzi wake wafanye kwa ukumbusho wake,

Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema, [Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu (Luka 22:19)

Jambo moja tu ambalo Yesu alisema wanafunzi wake wafanye kwa ukumbusho wake ni kula mkate ambao ni mwili wa Yesu na kunywa divai ambayo ni damu ya Yesu. Lakini Kristo hakuwahi kuwaambia wanafunzi wake kuwa wawe na alama ya msalaba kukumbuka alivyotoa uhai kwaajili Yetu. Kwasababu hii ndio maana Kanisa la Mitume hawakuwa wanatumia alama ya msalaba kama ndio ukumbusho wakifo cha Yesu bali ukumbusho ambao Yesu aliwaachia ni kula mkate usiochachwa na kunywa divai pekee. Kwa hiyo alama ya msalaba ni Kitu ambacho sisi wakristo wa leo tumekifanya kuwa ni ukumbusho wa Yesu lakini hakusema alama ya msalaba iwe ndio ukumbusho wake. Kitu cha ajabu zaidi ni kwamba alama hii ambayo ilikuwa inatumika katika ibada za kipagani leo hii ndio inawakilisha kifo cha Yesu. Mpaka hapa tumejifunza nini

1. Alama ya msalaba ni alama ya kipagani na ilikuwa inatumika katika ibada za Kipagani za wamisri na wakaldayo

2. Yesu hakutoa ukumbusho wowote ule isipokuwa mkate na Divai na alisema wazi kuwa huo ndio ukumbusho wake. Kwa hiyo nje ya hiki alichosema Yesu, sio ukumbusho ambao Yesu anautambua.

Sasa alama ya msalaba katika makanisa ya Kikristo ilianza wapi?

Sasa hii alama ya kipagani inayoonekana kwanza ilianza kuingia katika makanisa ya kikristo huko Misri na kuenea Afrika. Kile alichosema Tertullian katikati ya karne ya tatu, inaonesha wazi kuwa katika kipindi hicho kanisa la Kathage lilikuwa tayari limeambukiwa chachu ya kale. Misri ambapo hakukuwa na injili iliyokuwa imara inaonekana ndio imekuwa kiongozi kuleta alama hii ya upagani. Aina ya kwanza ya misalaba inayojulikana kama misalaba ya Kikristo iliyokuwa inaonekana katika Majengo ya Kikristo, ilikuwa ni Tau ya Kipagani au Alama la uhai ya wa wamisri” ( Alexader Hislop, Two Babylons)

Tunagundua kuwa Alama hii ya kipagani ilianza kuingia katika makanisa ya Kikristo kuanzia huko Misri. Mitume hawakuwa na alama yoyote iliyokuwa inakumbusha kifi cha Yesu wala hawakutumia alama yoyote ile. Lakini baada ya mitume wote wa Mungu kulala usingizi wa Mauti, tunaona kuwa Upagani huu unaingia katika ukristo na ile alama iliyokuwa inatumika katika ibada za kipagani sasa imekuwa ndio alama kuu ya imani ya Kikristo. Hivyo kama tulivyokwisha ona ushahidi wa Kihistoria kuwa Alama ya msalaba ni alama ya kipagani tunaona kuwa Sasa makanisa sasa yameingiza misalaba makanisani,

Hapa chini ni baadhi ya nembo za madhehebu ya KIKRISTO

Hii yote ni kazi ya Knights of Rose and Croix ,
images (5).jpeg
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    72 KB · Views: 13

View attachment 2860802

View attachment 2860803
Imani isiyokuhusu unajihangaisha nayo ya nini? Kwa taarifa yako wakristo tunajivunia sana Msalaba wa Kristo, alama ya ukombozi wetu. Mungu mwenyewe alichagua alama hiyo itumike kumkomboa mwanadamu, wewe ukiwemo pia. Baki na ukaidi wako, mbingu utaisikia tu. Wewe endelea kuamini utakacho utuache sisi na "upagani" wetu!!
 
Makanisa ya KIKRISTO hayapo salama Tena , Shetani ameshayaingilia Kwa kupenyeza mafundisho na alama zake ,

Katika freemasons kuna degree 33, na kila Moja ina kazi yake Kwa jamii ,zinafanya kazi Kwa Siri ,najua kuna watu watanendelea kudharau na kubeza,

Leo tutaiangalia Degree ya 18 maarufu kama Rose & Croix

Digrii ya 18 hii pia inafahamika kama ‘Knight of Rose Croix’ hushughulika na elimu ya aina za misalaba na jinsi ya kufanikisha kuziingiza ndani ya taasisi na madhehebu mbalimbali kwa imani ya Illuminati na freemason na kwa kweli freemason wa digrii hiyo wamefanikiwa kwa kiwango cha juu kabisa kuingiza aina nyingi za misalaba ndani ya makanisa na taasisi bila ya waumini kujua maana ya misalaba hiyo

kwanza waumini wanafundishwa Msalaba ni alama takatifu ,lakini katika maandiko yanapoxungumzia Msalaba yanamaanisha hasa Tukio la Yesu kufa pale msalabani na sio vinginevyo, inasikitisha sana kuona waumini wakibeba miti ya misalaba na kuibusu na kuitumikia ,

View attachment 2860802

Alama ya Msalaba ndio alama kuu sana katika ukristo wa sasa. Karibia makanisa yote ya kikirsto yanaweka misalaba katika makanisa yake. Misalaba pia inawekwa katika biblia mbali mbali katika kasha la kufunikia biblia. Post hii haizungumzii kazi ya ukombozi ya Bwana Yesu Msalabani, bali inaongelea ile alama ya msalaba yani Mistari miwili iliyokutana inayoonekana katika makanisa yetu na katika nembo nyingi za madhehebu ya kikristo. Tunajua kuwa alama hii ni maarufu kiasi cha kuwa ikionekana basi inatambulisha ukristo au mtu yoyote anayevaa msalaba basi anaonekana kuwa analindwa na nguvu za Mungu. Kadiri muda unavyoenda watu wanaanza kuabudu alama ya msalaba kiasi cha kufanya sala ikiwa inawekewa alama ya msalaba kama jinsi ilivyo kwa kanisa Katoliki. Watu wengi wa kanisa katoliki wakiwa katika kusali wanafanya ishara ya msalaba. Sasa tuangalie Historia ya alama hii maarufu. Kwa kupitia msaada wa Wanahistoria mbali mbali. Tyrack anasema

Ni jambo la kushangaza, na ni ukweli usioweza kuulizwa, kwamba kabla ya kuzaliwa kwa Kristo, na tena hata katika sehemu ambazo hazijawahi kuguswa na mafundisho ya kanisa, alama ya msalaba ilikuwa inatumika kama ni alama takatifu. Bacchus wa wagiriki, Tyiani Tammuzi, Bel wa wakaldayo, na Norse Odini, wote walikuwa wanawakilishwa na alama hii ( G.S. Tyack, The Cross in Ritual Architecture and Art, london 1900)

Hizi ni baadhi ya story za kwenye kahawa.
 
Kwanza unajua maana Ya paganus..

Au umeshalandikizwa Vitu vya ajabu hata wewe ulipo hapo ni paganus
 
Misalaba ipo ya aina nyingi ila msalaba wa wakristo unajulikana umbo lake.. Kumbuka kwamba neno la msalaba ni upuuzi kwa wanaopotea. Msalaba ni alama ya kanisa, ukiona msalaba jua hapo kuna kanisa. Msalabani aliteswa kristo, ndiyo kumbukumbu kwa waumini wa leo. Masonic nao wana misalaba yao, ndiyo hiyo yenye maumbo ya ajabuajabu
 
Back
Top Bottom