Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
mnnnnhhh...POLITIX +UDINI=VITA...kama mnabisha endeleeni kubishania ujinga huu. wenzenu wanajiendeleza kiuchumi na kuboresha maisha yao nyie mnapalilia chuki za udini na usiasa wenu....NAJUUUUTAAAAAA KUZALIWA MTANZANIA
POLITIX +UDINI+UKABILA+UFISADI=VITA......kama unajutakuzaliwa Tanzania nenda Somalia,Palestina nk...
 
Umesoma umesomewa na padre kuna tofauti kati ya kusoma mwenyewe na kusomewa, maana mlivyo wavivu wa kusoma kila kitu mpaka muambiwe someni muelimike muwe huru acha uvivu.

Nimegundua kuna potential kubwa ya Suicide bombers humu JF!!!!!! Ngoja niwasiliane na Osama. Tafadhari mwenye number ya Osama anitumie kwenye PM!!!!!!!
 
Mimi nafahmu wewe uko very terrified na Islam na waislam, chuki zako haziwezi kuzuia mahakama ya kadhi!! iwe leo au kesho! nakuombea maisha marefu 120 years ushuhudie mahakama ya kadhi na mengine yatakayo kuwa yanakuudhi zaid na zaidi
Kutoka kwa wakatoliki hatuna cha kujifunza ila uwizi, ufisadi na unafiki (kujificha kwenye nyasi hila) so huko hatuwezi kufika sisi waungwana

Siko terrified na usilamu kwa sababu najua ni bogus religion in the first place..Sasa usitake niende huko maana its all new dimension ..na nawastahi wengine..Pili suala la kadhi mimi sina mapingamizi nalo, na wengi wetu humu hatuna pingamizi nalo ..tunachokataa ni suala la kulazimisha litekelezwe na serikali, kwa gharama za kila mmoja wetu..wewe hili huwezi kuliona kwa sababu una matatizo ya mwezi mchanga.
 
Mhh Katoliki ni BABA wa CCM ee mnataka kuwapangia kila kitu Sasa Chaguo la Mungu limekuwa CHUNGU e hahaha... Sasa ni bega kwa bega

(Lakini Askofu Kilaini alisema mwongozo huo haukutungwa na maaskofu wala mapadri wa kanisa hilo na kufafanua kuwa umetungwa na Chama cha Wataalamu wa Kanisa Katoliki (CPT) na kwamba wao waliupa baraka zote baada ya kuusoma na kuona unafaa.)

sasa huu Muongozo umetungwa na katoliki kalafu mnakataa katoliki ni dini sio wanasaisa inashangaza
mHHHHHShaMe...........

MpAka kIeLeWEkE

CPT siyo Chama cha Wataalamu wa Kanisa Katoliki bali ni Chama cha Wanataaluma Wakristo (Wakatoliki).
 
Mimi siyo CCM nitafurahi ikiondolewa, mimi ni muislamu na uislamu ni zaidi ya CCM au CUF au Chadema!
Ndiyo maana nasema ikiwa kila dini itafanya kama inavyofanya kanisa katoliki tunakoelekea kutakuwa na vyama vyenye mtazamo wa kidini yaani Islamic..party na christian ,...party na hapo tayari shau umoja wa kitanzania na huo ndio msimamo wa wasomi wa kikristo???
Of course waislamu hawana hilo kwa sasa lakini they have to! in future kama hilo la wakristo litakubaliwa kuendelea nafikiri miaka ijayo ndiko itakavyokuwa??

Kanisa Katoliki halijaanza leo kujishughulisha na mambo ya kijamii na wala halitaacha..hivyo hicho kisingizio chako kuwa eti huu ni mwanzo wa kutengeza vyama vya kidini ni ktk kudhihirisha ugnjwa wako wa mwezi mchanga ulivyofikia hatua mbaya.. kanisa katoliki linazo haki na waumini wake..kuhakikisha wanakombolewa kiroho na kimwili..kama madhahebu mengine hawafanyi hivyo hilo ni kosa lao..wakatoliki wanapofanya hayo waachwe wafanye maana wala hawatumii pesa yenu ya ngama ..na wala hawaliiilii kama ninyi wasilamu na mahakama yenu ya kadhi..Hampo organized na hamjakaa kisomi na matatizo mengi yenu yanatokana na usomi hewa..Poleni lakini smilete chuki zenu kwenye anga za wengine..
 
Mimi nafahmu wewe uko very terrified na Islam na waislam, chuki zako haziwezi kuzuia mahakama ya kadhi!! iwe leo au kesho! nakuombea maisha marefu 120 years ushuhudie mahakama ya kadhi na mengine yatakayo kuwa yanakuudhi zaid na zaidi
Kutoka kwa wakatoliki hatuna cha kujifunza ila uwizi, ufisadi na unafiki (kujificha kwenye nyasi hila) so huko hatuwezi kufika sisi waungwana

Nafikiri wewe ndiyo mwenye chuki na wakatoliki. Sasa tuambiaeni mlikuwa wapi toka 1961 kudai hiyo mahakama yenu??? Leo ndiyo mmegundua kwamba hamuwezi kuishi bila hiyo mahakama!!!

Anyway, labda mtatusaidia kuwahukumu mafisadi ambao serikali imewashindwa!!!!!!
 
Mimi sijali mahakama ije kwa utaratibu gani?? (hiyo nawaachia masheikh na serikali wa sort out I don't care) lakini kwangu mimi mahakama ya kadhi iwepo kwa namna yeyote ile...that is my directions ili nihukumiwe kwa mujibu wa ibada yangu na imani yangu thats all!!
Islam is bogus religion You are just missing the point -read read read !! (if you think unaweza ufahamu uislamu kwa kumsikiliza padre wako na askofu au western medai then you will die poor without knowledege

Nani amewakataza msiwe nayo na kuhukumiwa nayo? Jengeni au kodisheni majengo na kuianzisha kama mtaona mtu anawasema kitu!
 
Na umesoma kwamba alipokuwa nyerere Rais "Alihakikisha miaka yote 24 ya utawala Waziri wa Elimu na katibu wake ni Mkatoliki! not by coincedence but a Plan! to discriminate, na baadhi ya wakuu wa wilaya (songea) alikuwa padre for years???

Una uhakika na unachokisema au umekurupuka tu. Nenda kafanye research kwanza. Kwa taarifa yako Wakristo wote siyo wakatoliki!!!!
 
Islam is bogus religion You are just missing the point -read read read !! (if you think unaweza ufahamu uislamu kwa kumsikiliza padre wako na askofu au western medai then you will die poor without knowledege

Nisome mara ngapi? Nilijaribu kukuuliza maswali ya msingi wewe 'uliyeelimika' ukashindwa kunijibu halafu leo unanambia nisome..nisome nini sasa? Wewe kama una amini ktk usilamu ni uamuzi wako binafsi lakini mimi kwangu ni bogus religion..

Habari Ndio hiyo..
 
Mimi siyo CCM nitafurahi ikiondolewa, mimi ni muislamu na uislamu ni zaidi ya CCM au CUF au Chadema!
Ndiyo maana nasema ikiwa kila dini itafanya kama inavyofanya kanisa katoliki tunakoelekea kutakuwa na vyama vyenye mtazamo wa kidini yaani Islamic..party na christian ,...party na hapo tayari shau umoja wa kitanzania na huo ndio msimamo wa wasomi wa kikristo???
Of course waislamu hawana hilo kwa sasa lakini they have to! in future kama hilo la wakristo litakubaliwa kuendelea nafikiri miaka ijayo ndiko itakavyokuwa??

Asante kwa majibu yako ya utulivu bwana Tumlin,
Sasa labda ningefurahi zaidi kupata kufahamu kutoka kwako, nini hasa kinachokuwa hofu hasa baada ya kuusoma huo waraka?

Mimi pia nimeusoma kwa makini, nilichokiona cha kwanza ni kuwa ccm ndiyo wa kwanza kuwa na hofu kwa kuwa inadaiwa kuwaeleza Watanzania imekuwa ikifanya nini na ni kwanini wananchi hawaelewi haki zao hadi leo takribani miaka 48 baada ya uhuru.

Unadhani sio vyema Islam na madhehebu mengine kushiriki katika harakati hizi, ikianzia zanzibar hadi kusihia kigoma, na mtwara hadi arusha?

Unadhani taasisi zote hizi zenye zaidi ya 80% ya watanzania wote zisingeweza kuifanya serikali ikafanya kama wananchi wanavyota na sio wenye neema wachache ndani ya chama?
 
Nadhani bwana Tumain (non catholic) uliejipachika jina la UKRISTU ili tukuone kondoo....kumbe......mjadala wa dini hauuwezi so nakushauri kaa kimya! Nimesoma thread zako,,,naona ni upupu kama vile mtu amekoboa mahindi! Pole sanaaaaaaa!

Mkuu Amani, waache usiwakataze. Bahati nzuri hii ni online forum na si maandamano ya barabarani. Ingekuwa maandamano na unawakataza hata kwa kuwashauri ulivyofanya wanasingizia wamenyimwa uhuru wa kuandamana. Tuwaache uhuru wa hoja zao. Wasipozitoa tutajuaje ni za pumba?

Ona hoja kuu tumewaambia wafanye homework waache kutuia kwamba tuna ubalozi wa Vatican. hakuna hata mmoja anayejibu wanaibuka na hoja hii mwngine hoje ile.

Kajileta mmoja na hoja ya kile kitabu tukamfundisha tulivyokisoma kuzidi yeye. Nadhani amehakikisha kwamba kukaa kwetu kimya mwanzo si kwamba hatukijui ni kwa sababu tumebanzwa na shughuli za kiuchumi.

Sasa wanadandia hoja ndogondogo (micro-hoja) ili kuepa kwamba hawaelewi wanalojadili.

Imefika mahala tuwaelimishe ili wasiwapotoshe wanaowawakilisha huko bungeni kama walivyompotosha yule wa wiki jana.

Kumbuka wanapouliza maswali yao yanawakilisha wengi wenye mawazo kama yao si yao tu pekee. Ukitaka kuhakikisha nenda Biafra kesho wanakokutana usikie kama wansema tofauti na wanaojitokeza humu JF.

Hivyo tuendelee kuwapa shule wahindwe wenyewe. Na shule tutawapa. maana uwezo tunao, sababu tunayo na nia tunayo. Tunataka hawa jamaa watuelwe hivyo.
 
Mimi nimesoma waraka vizuri sana my worries are:
a) Waraka si wa kitaifa (wananchi wote) bali ni wakristo -hilo ni Tatizo namba moja la ubaguzi
b) Waraka utafundishwa na viongozi wa dini (wakristo) kwa wanajumuiya wa kikristo: hapa kuna matatizo mawili kwanza anayefundisha kiongozi Mkristo (conflic of interest) anawafundisha wakristo (waumini) kwavyovyote vile kiongozi wa kikristo akisema mfano tuchague kiongozi mwaminfu na mcha mungu anawaelekeza kuwa kiongozi huyo kwa mujibu wa imani yake lazima awe mkristo -ubaguzi na ana -influence individual opinion
c) Reporting system ni though church hierachy kwa muda uliopangwa (see methodologia) na hao viongozi wa juu watatoa directives (conflict of interst) lazima watataka ku-influence individual opinion of chioce in line with religion
d) Hakuna namna nzuri iliyo wazi kwa muislamu kushiriki mfano mimi siwezi kwenda kwenye jumuiya ya kikristo I will be "UNwelcome guest", siwezi kenda kanisani??? siwezi kwenda kumsikiliza walei (sijui ndio cheo gani?? hicho) it is against my faith?? siwezi kwenda kusali kwa jina la baba ...ili nisikilize waraka NO not me???
e) Waislamu wakifanya hivyo ku-conter attack nilishasema kutakuwa na mgawanyiko mkubwa wa kidini Tanzania hatimaye tutakuwa na vyama vya Islamic na christian party that is what worries me!! lakin wasomi wa kikristo has hapa JF it looks like ok ...tusubiri tuone

Ndio maana umeitwa waraka wa Kanisa Katoliki kwa waumini wake, sasa BAKWATA nao walitakiwa watoe waraka wao au kama wanaona kuna uwezekano wa kushirikiana na kanisa na kufanyia marekebisho macheche huo waraka wa wakatoliki ukawasuit na waislamu ingekuwa vizuri pia.

Unaweza kuwa umeusoma huo waraka lakini hukuelewa sasa badala ya kuvurumusha matusi, kejeli na dhihaka ungeuliza kwanza ukaeleweshwa.

SMH!! {{-_-}}
 
Wailamu wataanza kufanya the same msije kusema udini tena..uko ndiko tunakotaka kwenda ..kwangu mimi I humbly welcome two major parties Islamic vs Christian party tuuze sera kwa wananchi ..I cant wait that happening

High level of absurdity.
 
Nafikiri wewe ndiyo mwenye chuki na wakatoliki. Sasa tuambiaeni mlikuwa wapi toka 1961 kudai hiyo mahakama yenu??? Leo ndiyo mmegundua kwamba hamuwezi kuishi bila hiyo mahakama!!!

Anyway, labda mtatusaidia kuwahukumu mafisadi ambao serikali imewashindwa!!!!!!

Jamaa huwa wanachachamalia sana mambo ya kiislamu pale rais anapokuwa mwislamu mwenzao kumbuka enzi za mwinyi pia walivyomwendesha. Alipokuja Mkapa wakanyamaza kimya. Sasa kaja JK jamaa wameibuka kwa upyaaaaaaaaaaaaa.
 
Wailamu wataanza kufanya the same msije kusema udini tena..uko ndiko tunakotaka kwenda ..kwangu mimi I humbly welcome two major parties Islamic vs Christian party tuuze sera kwa wananchi ..I cant wait that happening

Tukifika huko hii Tanzania haitakuwa tofauti na Iraq. Maana mtajilipua mno mkidhani mnatolea Mungu ibada kwa kupambana na Wakristo. MUNGU aepushie mbali hayo mawazo yako.
 
Mimi nimesoma waraka vizuri sana my worries are:
a) Waraka si wa kitaifa (wananchi wote) bali ni wakristo -hilo ni Tatizo namba moja la ubaguzi
b) Waraka utafundishwa na viongozi wa dini (wakristo) kwa wanajumuiya wa kikristo: hapa kuna matatizo mawili kwanza anayefundisha kiongozi Mkristo (conflic of interest) anawafundisha wakristo (waumini) kwavyovyote vile kiongozi wa kikristo akisema mfano tuchague kiongozi mwaminfu na mcha mungu anawaelekeza kuwa kiongozi huyo kwa mujibu wa imani yake lazima awe mkristo -ubaguzi na ana -influence individual opinion
c) Reporting system ni though church hierachy kwa muda uliopangwa (see methodologia) na hao viongozi wa juu watatoa directives (conflict of interst) lazima watataka ku-influence individual opinion of chioce in line with religion
d) Hakuna namna nzuri iliyo wazi kwa muislamu kushiriki mfano mimi siwezi kwenda kwenye jumuiya ya kikristo I will be "UNwelcome guest", siwezi kenda kanisani??? siwezi kwenda kumsikiliza walei (sijui ndio cheo gani?? hicho) it is against my faith?? siwezi kwenda kusali kwa jina la baba ...ili nisikilize waraka NO not me???
e) Waislamu wakifanya hivyo ku-conter attack nilishasema kutakuwa na mgawanyiko mkubwa wa kidini Tanzania hatimaye tutakuwa na vyama vya Islamic na christian party that is what worries me!! lakin wasomi wa kikristo has hapa JF it looks like ok ...tusubiri tuone

Tumaini unajishuku bure kabisa kwamba ukienda kanisani ama kwenye jumuiya ndogo ndogo hutakaribishwa ? Una kosa kubwa sema tu umefungwa na imani yako tu lakini mtu huru na imani ya kweli ataingia kokote kuusaka ukweli .Wewe ama sema uko wapi nikualike kwenye jumuiya ndogo ndogo na huko utawajua walei ni watu gani .Mzee walei kwa nafasi yao ni kama kule CCM yenu mjumbe wa nyumba kumi na utawala wale .Tofauti huku ni mambo ya kiroho zaidi na maisha ya wakristo shinani hadi Jimboni .Mlei maana walezi uache kuchachawa kaka .
 
several members who have been in this thread have been banned for 3 days beginning today. If people can not monitor themselves it'll be our pleasure to do that for them.

For Admins.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom