DR NCHIMBI NA KANISA:
Joined
Aug 26, 2026
Posts
76
Reaction score
195
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.

Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?

Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?

Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.

Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.

Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.

Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
 
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.

Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na mtu wa mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?

Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?

Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.

Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.

Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataaendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.

Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
VIongozi wa RC si watu wa kukurupuka, wamefuatilia, na wanaendelea kufuatilia, taarifa ambazo tena ni classified kumhusu wanazo! Sema, ni kwamba any ngoja nifute nilichotaka kuendelea kuandika kwanza
 
Andika tu, usifute. Uoga wetu ndio unachochea utekaji, mauaji, uonevu, rushwa etc
VIongozi wa RC si watu wa kukurupuka, wamefuatilia, na wanaendelea kufuatilia, taarifa ambazo tena ni classified kumhusu wanazo! Sema, ni kwamba any ngoja nifute nilichotaka kuendelea kuandika kwanza
 
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.

Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?

Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?

Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.

Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.

Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataaendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.

Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
Kwani wewe huwezi kuchukua jukumu la kumtafuta mpaka usakizie wengine?
 
VIongozi wa RC si watu wa kukurupuka, wamefuatilia, na wanaendelea kufuatilia, taarifa ambazo tena ni classified kumhusu wanazo! Sema, ni kwamba any ngoja nifute nilichotaka kuendelea kuandika kwanza
mada za Nchimbi na Kanisa Katoliki ni Uchonganishi tu, mbn hakukua na mada za Ally Kibao kutoka Bakwata wala Shura imamu? Ni sawa tu wanavyokaa kimya
 
KWamba shetani kuna muda anaongoza kanisa pia?
Kama haujaelewa hoja nyepesi, kapime IQ level yako mkuu.

Hoja hapa ni kwamba sadaka tunazotoa matumizi yake yanapaswa kuwa ya kazi ya Mungu. Kazi ya Mungu Kwa mwanadamu ni ustawi wa mwanadamu kiroho na kimwili.

Kama sadaka haifanyi kazi ya Mungu na inafanya kazi ya shetani, hiyo sadaka tunakuwa tumemtolea shetani maana kazi ya shetani ni kuangamiza, kuua, kuteka etc.
Viongozi wa dini hawapaswi kusimama upande wa shetani uku wanatumia sadaka zetu Kwa kazi za shetani. Simple.
 
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.

Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?

Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?

Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.

Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.

Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataaendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.

Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
Ndg, Kwanza asante kwa kuongea jambo hili kwa uwazi..hebu tuambizane ukweli tu, msimamo wa mababa Askofu kupitia TEC dhidi ya udhalimu na ukandamizaji wa serikali kwa wananchi haujulikani..? Ni lini WAUMINI WAKATOLIKI wamejitokeza kuunga mkono msimamo huo hadharani..? Nani mwenye mapungufu kati ya waumini na maaskofu ktk kukemea maovu na kutetea haki..? Hebu pima ushiriki wa waumini wakatoliki kwenye matamasha na sherehe..kwa nini huoni kitu km hicho linapokuja suala la kukemea UOVU..?
SWALI HILI NAOMBA WAUMINI WAKATOLIKI WAJIBU..kama huwezi kumtetea jirani na ndugu yako unayemuona na kumfahamu km Nchimbi anapoteswa na kuumizwa..JE, UTAWEZA KUMTETEA KRISTO AMBAYE HUJAWAHI KUMUONA NA HUMJUI..? ukipata jibu jiulize, ushiriki wako misa, pamoja na matoleo ya sadaka na UKRISTO kwa ujumla una maana yoyote kwako..? TAFAKARI!
 
mada za Nchimbi na Kanisa Katoliki ni Uchonganishi tu, mbn hakukua na mada za Ally Kibao kutoka Bakwata wala Shura imamu? Ni sawa tu wanavyokaa kimya
Km kutoka hadharani kupinga jambo baya ni uchonganishi ni bora mara 100.. wewe unaona uchonganishi lkn huoni chanzo cha uchonganishi..nini kimeleta uchonganishi..? Halafu si sawa kuupima ukristo/ukatoliki kwa tabia za dini au imani nyingine, ni vitu tofauti kabisa..unaweza kupima ubaya au uzuri wa mwanga kwa kulinganisha na giza..? Punguani ndie anaweza kufanya hivyo..
Tujifunze kukataa uovu kwanza kabla ya kuongelea matokeo ya uovu!
 
GT msome mleta mada vzr btn the line
 
Back
Top Bottom