Niliposoma hizi document nimegundua kuwa kanisa lingejitanga moja kwa moja kwamba ni chama mbadala na katiba iruhusu vyama vya kidini haraka iwezekanavyo wananchi wachague christian party kama wanaona itafaa kwasababu zifuatazo:-
a) watoa elimu hiyo kama ilivyo ainishwa katika ngazi ya famili, vigango, ktiongoji etc...ni viongozi wa kanisa na wakristo..kwa vyote vile lazima wana conflict of interest hivyo waruhusu vyama vya kidini
b) Report system: wakisha fanya mikutano na kutoa elimu wanareport kwa wakubwa kwenye hierachy ya kanisa ili kupata nini? directive? au nini wakubwa lazima wana conflict of interest na watu ya dini yao???
c) Ni dalili mbaya na ni aibu kwamba imetoka kwa maaskofu wa Tanzania shame on them!!!
NB. Nafikiri waislamu waanzishe the same move na katiba iruhusu kuwepo na vyama vya kidini watanzania waamue chama cha dini gani zipongoze kwa kuangalia sera na dira yao
Otherwise: huu ujinga wa maaskofu wa Tanzani ukomeshwe mara moja...
Kuna hoja zimetolewa chambua hizo plus pia unaweza kuongeza zako kama ulivyofanya kuwa kuwe na VYAMA VYA KIDINI japo hapa kwetu naona bado. Tusichanganye mambo twende hatua kwa hatua katika mabadiliko. Maana vyama hivi vipo mpaka vya mazingira etc.
Uliposema UJINGA WA MAASKOFU umekosea kwani walichoandika kina kasoro gani? Na je hao waislamu ulioomba waandae waraka JE NAO WATAKUWA WAJINGA AU ULITAKIWA UWASHAURI WASIANDAE?
SOMA HOJA BETWEEN THE LINES UZITAFAKALI NDIYO UCOMMENT