Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Hapo tayari mlishaanzisha mahusiano,kunauwezekano alikupenda haswaaa

Kila akikutazama ana muona mume wa ndoto zake,kuja kumwambia hivo lazima angeumia tu

Ila ungemwambia wakati ndo unamtongoza ingekuwa vyema ,angeamua akukubal au akupotezee

Muwe mnasema mapemaaaa
Sasa wakati nakutongoza nitajuaje future itakuwaje? Ukiniuliza wakati nakutongoza nakujibu sijui,inategemea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sky sijui amekula maharage ya wapi leo?
Eti wkt nakutongoza nikwambie kabisa mi nataka nikwichikwichi tu na wewe ila sina future yoyote na wewe, hicho kipochi manyoya si ntaishia kukusikia tu kwenye nyimbo za diamond?
Naomba uniitie manengelo aje achangie mada ila umsisitizie kabisa kua maendeleo hayana chama.

😂😂😂😂😂😂😂 serious ww bila.kukuona humu mie homa.kbs😂😂at first nilikia nauchuKia.huu msemo heheheheh sasa hb nikiusikia nachekaaaa na ninavyopenda kucheka jaman😂😂😂..hv xmas utakuwa wapi??Ikulu??maana kule nachojua kila.mtu anaruhusiwa kwenda...kwasababu ikulu sio ya ccm tu😊...endelea kuwasisitiza wazalendo watanzania...kwamba maendeleo.hayana chamaaaaa😂😂😂😂😂😂😂👊
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila ni ngumu sana kumwambia mtu kwenye mtongozano kwamba unamhitaji kwa mechi tu no future. (Sikukiweza na sintakiweza)

Lakini pia ni ukatili tukuka kumwaminisha mtu una future nae, huku ukijua toka mwanzo huna future na huyo mtu.
Mazingira yanawalazimu sometimes wanaume kufanya hivyo
 
Hata SIJUI INATEGEMEA nalo ni jibu zuri sana atakuwa hategemei chochote mwisho wa siku ukimwambia mwachane hataumia sana

Au ndo umsurprise na kaengagement ring azimie zake vizuri
Na kila akikuangalia abak kusema hata siamin
Sasa wakati nakutongoza nitajuaje future itakuwaje? Ukiniuliza wakati nakutongoza nakujibu sijui,inategemea.
 
Tatizo wanawake hamna kifua cha kupokea huo ukweli. Wangapi humu mkiambiwa shida ya mwanaume ni kukugegeda tu utamkubali? Mimi ukiniuliza nakwambia sijui tutaona huko mbele hamna anaejua future ikoje.

Kuna mtu nilimwambia sioni future na yeye akataka kujiua hapo ndio nilipogundua ukweli ni tabia nzuri ila haufai kwenye mapenzi.
Mimi afadhali nijue tu, inakera Unalaska na mtu anaingelea kupeleka posa kwenu wakati wewe huna mpango nae.
 
Surely..!!!!
Kilichobaki ni kuliana tuu timing[emoji23][emoji23].
Both situations zinaumiza na destinations zake unaweza mpiga Mtu kipapai[emoji23][emoji23].
Ila kwangu ili nitoe uchi kwa raha bora uniambie utanioa..Mimi nitachuja mwenyewe kama wewe ni muoaji au tapeli.
Basi cute b Mimi ntakuoa 😍😍😍😍

What do you say??
 
Tatizo wanawake hamna kifua cha kupokea huo ukweli. Wangapi humu mkiambiwa shida ya mwanaume ni kukugegeda tu utamkubali? Mimi ukiniuliza nakwambia sijui tutaona huko mbele hamna anaejua future ikoje.

Kuna mtu nilimwambia sioni future na yeye akataka kujiua hapo ndio nilipogundua ukweli ni tabia nzuri ila haufai kwenye mapenzi.
Utakuwa mwanzoni ulimtengenezea mazingira yanayoonesha mtakuwa na future halafu ghafla unakuja na kauli zisizo na utu kama hizi
 
Utakuwa mwanzoni ulimtengenezea mazingira yanayoonesha mtakuwa na future halafu ghafla unakuja na kauli zisizo na utu kama hizi
Wala, labda yeye alikuwa na wrong impression. Nimegundua I'm too sweet...😎😎
 
Hata SIJUI INATEGEMEA nalo ni jibu zuri sana atakuwa hategemei chochote mwisho wa siku ukimwambia mwachane hataumia sana

Au ndo umsurprise na kaengagement ring azimie zake vizuri
Na kila akikuangalia abak kusema hata siamin
Yes hili jibu ni zuri maana mtu unajikalia tu standby mguu ndani mguu nje. Tatizo la wanaume ni kwamba huwa wanataka kummiliki mtu jumla jumla, anakutengenezea mazingira ujione umefika ili akutumie effectively, yaani ukikaa nao nusu nusu hawajisikii kabisa
 
Back
Top Bottom