Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Kuoa kuna lawama. Ukimwoa Asha mwajuma analalamika. Ukioa Maria Asha na mwajuma nao wanalalama.Ila kukaa nae unamfuja mtoto wa watu mwisho wa siku unaoa kabinti ka fomfoo ndio ubinadamu?
Kuoa kuna lawama. Ukimwoa Asha mwajuma analalamika. Ukioa Maria Asha na mwajuma nao wanalalama.Ila kukaa nae unamfuja mtoto wa watu mwisho wa siku unaoa kabinti ka fomfoo ndio ubinadamu?
Kwa hiyo unaona uendelee kuwadanganya wote nane kwamba una future nao ndio ubinadamu? Hebu toeni hayo maneno ya ubinadamu kwanza ili twende sawaKuoa kuna lawama. Ukimwoa Asha mwajuma analalamika. Ukioa Maria Asha na mwajuma nao wanalalama.
Katikati ya mahusiano unasema. Ila leo aje kidume hapo kikuambie sina future nawe nataka kufurahi usiku mmoja niondoke. Utakosa jibu la kumpa.@Daby anabisha eti
Weather permitting [emoji13]!!!but we believe all roads lead to Rome.[emoji111][emoji111][emoji111][emoji23][emoji23][emoji23] inategemea na shida yako kwa wakati huo
Hapo sipo tafadhali kwenye kudanganya.Kwa hiyo unaona uendelee kuwadanganya wote nane kwamba una future nao ndio ubinadamu? Hebu toeni hayo maneno ya ubinadamu kwanza ili twende sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Depending on circumstances.!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ni 0.5% chance ya future mkuu.
Labda aweke limbwata kwenye uchi.
Anabisha nini?@Daby anabisha eti
Tutakuwa hatuwatendei haki wanawake.Oa mmoja tu, mbona Adamu alikuwa na Hawa tu?
Wengine mnakubaliana kabisa kuwa no future, s just fun, anakutegeshea mimba.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila ni ngumu sana kumwambia mtu kwenye mtongozano kwamba unamhitaji kwa mechi tu no future. (Sikukiweza na sintakiweza)
Lakini pia ni ukatili tukuka kumwaminisha mtu una future nae, huku ukijua toka mwanzo huna future na huyo mtu.
Ni kwa sababu hakuwepo mwanamke mwingine zaidi ya Hawa.Oa mmoja tu, mbona Adamu alikuwa na Hawa tu?
Kwamba mwanamke unaweza kumwambia huna future nae na bado akakubali kuwa na wewe, anadai haiwezekaniAnabisha nini?
Yote uyasemayo.Anabisha nini?
Hapana haujanielewa.Kwamba mwanamke unaweza kumwambia huna future nae na bado akakubali kuwa na wewe, anadai haiwezekani
Unabana miguu halafu unakua yatima mahitaji yote unataka kidume kikuhudumie aisee utasubiri sanaSiku hizi wanasema ukibana miguu sahau kuolewa, hakuna mtu ananunua mbuzi kwenye salfeti. Maisha haya bwana, mna raha mliokwishaolewaga kitambo na akina Asprin
Na wewe unamtegeshea dawa ya kuitoa (joke).Wengine mnakubaliana kabisa kuwa future ni is just fun, anakutegeshea mimba.
Surely..!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila ni ngumu sana kumwambia mtu kwenye mtongozano kwamba unamhitaji kwa mechi tu no future. (Sikukiweza na sintakiweza)
Lakini pia ni ukatili tukuka kumwaminisha mtu una future nae, huku ukijua toka mwanzo huna future na huyo mtu.