Huo uchawi ndiyo upoje mkuu?mwanamke anauchawi wa mapenzi
Huo uchawi ndiyo upoje mkuu?mwanamke anauchawi wa mapenzi
mwanaume anapewa penzi mpaka anatangaza ndoa sasa bana miguu uone utamlogaje?Huo uchawi ndiyo upoje mkuu?
Unakuta mtu anaambiwa hamna future na yeye anaendelea kuachia uchi tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukuje tukwichikwichi
Hivi kuachia kwa mahesabu ni kupi? Hahaha kwamba "anaingiza" kidogo tu?Aisee ni mara mia huyu, tena mwanaume mkweli hivi ukimpata una raha kwa sababu hata kama ni kuachia utaachia kwa mahesabu huku ukijua wewe ni mpitaji kuliko jitu linakutengenezea mazingira yanayokupromise future we unajiachia tu ukijua upo na mume mtarajiwa kumbe mwenzio anajipooza tu. Siku ya siku ukija kugeukwa utatukana wanaume wote mpaka baba yako mzazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ulizidi unaenda moja kwa moja unapoint tuMimi nimewahi kumwambia mmoja nataka tunda na hapo sijamtongoza yale mazoea mazoea tu, alipanick balaa ooh umenidharau sana, umeniona mi muonjeshaji, basi nikamtuliza na samahani nyingi akanielewa, nilichogundua alitaka tuwe wapenzi nikawa naweka vikwazo vingi kwa kupeperusha changamoto mbalimbali za mahusiano, ila tunda nilipewa na sikuwahi mtongoza wala kumwambia nampenda, sema nili mtreat poa. [Niliogopa kuongopea nafsi ya mtoto wa watu na mabinti wanavyoingiaga mwili mzima kwenye mahusiano]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakuta mtu anaambiwa hamna future na yeye anaendelea kuachia uchi tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mom hivi kweli mtu akuambie hamna future umpe uchi utampa kweli??[emoji23][emoji23][emoji23].Aisee ni mara mia huyu, tena mwanaume mkweli hivi ukimpata una raha kwa sababu hata kama ni kuachia utaachia kwa mahesabu huku ukijua wewe ni mpitaji kuliko jitu linakutengenezea mazingira yanayokupromise future we unajiachia tu ukijua upo na mume mtarajiwa kumbe mwenzio anajipooza tu. Siku ya siku ukija kugeukwa utatukana wanaume wote mpaka baba yako mzazi
Unaweza kuanza kumnunulia mamma mzaa chema vitenge kumbe wewe mpitajiAisee ni mara mia huyu, tena mwanaume mkweli hivi ukimpata una raha kwa sababu hata kama ni kuachia utaachia kwa mahesabu huku ukijua wewe ni mpitaji kuliko jitu linakutengenezea mazingira yanayokupromise future we unajiachia tu ukijua upo na mume mtarajiwa kumbe mwenzio anajipooza tu. Siku ya siku ukija kugeukwa utatukana wanaume wote mpaka baba yako mzazi
Hahaha kwani kuigiza shilingi ngapi?Haha anaweza kukubali mwanzoni akijua mwisho wa siku utatoa tu
Eeeh ndiyo kubet huko.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imeandikwa tusinyimane (usiniulize wapi)
Hivi kuna binadamu yeyote anayejua "future" yake? au ndo kama kubet.
Kuna aliyewahi kukwambia anakutaka kwa voda fasta tu?Siku hivi huwa nauliza kwa mwanaume yeyote anaenihitaj anataka mahusiano ya aina gani kabla cjamkubal
Hawaendi hivyo, mara nyingi tena akikuona umeanzisha ushost na dada zake ndiyo anakukalisha na kukuambia mimi bado sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sky sijui amekula maharage ya wapi leo?
Eti wkt nakutongoza nikwambie kabisa mi nataka nikwichikwichi tu na wewe ila sina future yoyote na wewe, hicho kipochi manyoya si ntaishia kukusikia tu kwenye nyimbo za diamond?
Naomba uniitie manengelo aje achangie mada ila umsisitizie kabisa kua maendeleo hayana chama.
Ni challenge kubwa kuliko tunavyoielezea au kuiandikaEconomic issues ni challenge sana kwenye maoenzi
Hapa ndipo mnapojidanganya......muoaji hatabiriki,ndoa bila kutest mitambo ni sawa na hakuna.Muoaji ukimbania anapata motisha zaidi
Sasa hiyo ndiyo gambling[emoji23][emoji23][emoji23]mwanaume anapewa penzi mpaka anatangaza ndoa sasa bana miguu uone utamlogaje?
Ndio ilitokea. Aliniambia hayuko tayari kuoelewa na mimi alikuwa binti wa Singida, baada ya mwaka akafa.Wale wanaume au wanawake wenye guts za kukuambia “huko tuendako mimi na wewe hatuna future”, Mimi sina mpango wa kuoa/kuolewa
Yalishakutokea?
Nilikuwa nimekuandikia jibu reeefu simu imezingua limefutika. Naomba nikupe mfano mdogo wa watu wanaotoka na waume za watu, achana na wale wanoweza kuoa mke zaidi ya mmojaHivi kuachia kwa mahesabu ni kupi? Hahaha kwamba "anaingiza" kidogo tu?
-hakuna mwanamke wa kukupa "papuchi" ukimwambia hatuna future. Wanawake walivyo hata malaya ukifika humwambii nipe utabembeleza[japo siobkivile] tu na kulipa unalipa.
UlimrogaNdio ilitokea. Aliniambia hayuko tayari kuoelewa na mimi alikuwa binti wa Singida, baada ya mwaka akafa.
Kwa mimi ntazidisha juhudi ili nimprove wrong huyo mtu.Eeeh ndiyo kubet huko.
Hivi wewe ukisoma chuo ukaambiwa ukifika 3rd year uta disco .. Utaendelea kusoma??
Tunaishi kwa sababu tuna matumaini kwamba vitu vizuri vipo mbele yetu.