Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Zamani nilikuwa nawajudge sana watu wanaotoka na waume za watu lakini baada ya kukua nimekuja kugundua wao wana afadhali kwa maana kutoka na single sio guarantee ya future...ni bora ukakaa kwenye mahusiano ambayo unajua kabisa hapa tunastareheshana tu mwisho wa siku kila mtu anashika njia yake kuliko kukaa na mtu ambae unadhani una future nae, unajitoa kwa hali na mali kumbe mwenzio anasogeza umri ufike ajitafutie mke anayemfaa.
 
Ni bora anayekuambia ili ujipange ila mimi niliacha kusema pale ambapo nilisema nikaona cha moto siku hizi naondoka kimya kimya.
 
Back
Top Bottom