Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
- Thread starter
- #221
Mimi hii kitu nilijifunza kwa ma daktari, unanwambia ukweli mtu aelewe hali halisi. Fikiria unaambiwa majibu yanaonyesha una cancer, au HIV. Pagumu.Kuna mdada mmoja nilikuwa na date nae nikapanga nikajitambulishe kwao na niandae na posa nimuoe lakini baadae nkaona kuna baadhi ya tabia zake sitaweza nikamwambia tu mama sawa tunamalengo mema lakini a b c zitafanya huko baadae ndani ya nyumba ugomvi usioisha basi kwa amani kabisa tukaachana bila hasira wala ugomvi.
Ukweli unaumiza sana hisia lakini muda mwingine tuangalie uhalisia na kutumia akili
Akijua ukweli alie, acheke, acheze dance lakini anaifahamu hali halisi .