Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Kuna MTU aliwahi kuniambia "Mimi na wewe hatuwezi kuwa mume na mke" siku aliyoniambia niliumia sana nikaanza kuwaza mabaya yake tu baada ya wiki nikawa sawa maisha yakaendelea,miaka minne imepita sasa ila chakushangaza mpaka Leo huwa ananitafuta na kila ninachokifanya anakijua sasa sijui huo muda wakunifwatilia anautoa wapi.ila nashukuru aliniambia ukweli hata Mimi naona kabisa hafai kuwa mume.
 
Unaona eeh? Alikusaidia kuliko ungeendelea kujiweka tu unajua ndio umefika
 
nimetoka mwambia binti mmoja hivyo siku si nyingi..
hataki nielewa ananiona kama kibwengo vile kuwa nilikuja kupita kwenye kona ya ukuta & kuja mgeuzageuza tu kitandani!
 
Hata ingekuwa mimi ningekasirika, usha ni chew chew alafu useme sikufai kwa long term use.
 
Wapo wanawake wengi wazuri, unaweza Pata mwingine sawa na huyo unayemufukuzia kwa gharama kubwa ukampata kwa ths 10,000.00.
Yetu haununuliwi na ukumbuke huyo unaemnunua ukikosa 10,000 tende kumpa mwenye nayo
 
Kuna MTU aliwahi kuniambia "Mimi na wewe hatuwezi kuwa mume na mke" siku aliyoniambia niliumia sana nikaanza kuwaza mabaya yake tu baada ya wiki nikawa sawa maisha yakaendelea,miaka minne imepita sasa ila chakushangaza mpaka Leo huwa ananitafuta na kila ninachokifanya anakijua sasa sijui huo muda wakunifwatilia anautoa wapi.ila nashukuru aliniambia ukweli hata Mimi naona kabisa hafai kuwa mume.
Rafiki ni bora ambavyo hakukudanganya. Ila je tunda alipata japo kuonja??
 
Wale wanaume au wanawake wenye guts za kukuambia “huko tuendako mimi na wewe hatuna future”, Mimi sina mpango wa kuoa/kuolewa sasa.

Ukisikia haya jua hujakidhi vigezo, jisogeze taratibu. Unaweza kuwa na hasira miezi miwili lakini kuweka grudges si jambo jema.

Kheri anaekwambia kuliko uje usikie au ujue ana mahusiano mengine.

Yalishakutokea?
Huyu ni mzuri kuliko uliye nae ndani ya ndoa halafu hakufeel kabisa kuna kipenzi chake anamuwaza muda wote.
 
Wale wanaume au wanawake wenye guts za kukuambia “huko tuendako mimi na wewe hatuna future”, Mimi sina mpango wa kuoa/kuolewa sasa.

Ukisikia haya jua hujakidhi vigezo, jisogeze taratibu. Unaweza kuwa na hasira miezi miwili lakini kuweka grudges si jambo jema.

Kheri anaekwambia kuliko uje usikie au ujue ana mahusiano mengine.

Yalishakutokea?
Wewe wa ukweli ?????
 
Back
Top Bottom