Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Na huo ndio uchawi mkubwa maana huwa unaubuni wewe mwenyewe. Huhitaji kwenda kwa babuKumbe ndiyo huu uchawi.
Na huo ndio uchawi mkubwa maana huwa unaubuni wewe mwenyewe. Huhitaji kwenda kwa babuKumbe ndiyo huu uchawi.
Naomba nije PM nkufafanulie vizuuuuriHahahahaha weeeeeeeee!!!!!
Nimemsikia ila sijaridhika
Mioyo mepesi kwenye kupenda au??Kweli kabisa. Maana wengine mioyo yetu mepesi.
Wengi wenye kujitambua huwa wana true love kabisa. Mazingira waliyonayo huwa yanawafanya wasionekane real. Muwe mnatuelewa jamani na utakuta wadada wengine mungu amewajaalia uelewa mkubwa. Wanaelewa kabisa huyu mshkaji mazingira yake magumu, ila anamkazia mwanzo mwisho. Mungu tusaidieUnajua kila mtu akiingia kwenye mahusiano ana target yake, others they are looking for money, wengine starehe na wengine true love.
Kama mtu yupo kwa true love, lazima ajihakikishie hayo mapenzi yapo au hayapo.
Kila la kheri bibie[emoji23][emoji23][emoji23] nitajua huko huko kama anafurahisha genge au la
Wewe je ,Yalishakutokea?
OohhhhZamani nilikuwa nawajudge sana watu wanaotoka na waume za watu lakini baada ya kukua nimekuja kugundua wao wana afadhali kwa maana kutoka na single sio guarantee ya future...ni bora ukakaa kwenye mahusiano ambayo unajua kabisa hapa tunastareheshana tu mwisho wa siku kila mtu anashika njia yake kuliko kukaa na mtu ambae unadhani una future nae, unajitoa kwa hali na mali kumbe mwenzio anasogeza umri ufike ajitafutie mke anayemfaa.
Oh sorry Leo sipo vizuri.City 2 Crystal 3 (kwa mara ya kwanza anafungwa nyumbani na katimu kakipuuzi[emoji23])
Chelsea 0 Lcity 1
Hapana! Hayo maneno tu, watu wako tayar kuoa hata kama watu wanatofautiana imani za dini. Muhimu maelewano na mapenzi tu.No comment...kwanza nasikia wanaume wa siku hizi hamna waoaji.
Heeeh ngoja nimtafute mtu wa kumfanyia huo uchawi[emoji23][emoji23]Na huo ndio uchawi mkubwa maana huwa unaubuni wewe mwenyewe. Huhitaji kwenda kwa babu
Oohhhh
Mkuu upo?Kwa kunong'oneza???
NdiyoMioyo mepesi kwenye kupenda au??
Mazingira magumu ndiyo yapi mkuu??Wengi wenye kujitambua huwa wana true love kabisa. Mazingira waliyonayo huwa yanawafanya wasionekane real. Muwe mnatuelewa jamani na utakuta wadada wengine mungu amewajaalia uelewa mkubwa. Wanaelewa kabisa huyu mshkaji mazingira yake magumu, ila anamkazia mwanzo mwisho. Mungu tusaidie
Pole.... U need kokorikoo choma[emoji1479][emoji1479]Oh sorry Leo sipo vizuri.
Ngoja njikaribishekaribishe. Natamani huo uchawi nifanyiwe mimiHeeeh ngoja nimtafute mtu wa kumfanyia huo uchawi[emoji23][emoji23]
Inauzwa??? Mimi sina helaPole.... U need kokorikoo choma[emoji1479][emoji1479]
Mshangao mkuuWhat now?
Pita kwa mlayi leo kuna kijisherehe flani.Inauzwa??? Mimi sina hela
Nipo baaab na mateso yangu. Umepotea hommieMkuu upo?