Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Du umechukua maamuzi gani? Maana kanisani siku moja Pastor alisema mwanamke akushasema I do kitandani hapandi na pichu tena
Ok, wewe tuambie sasa tabia ya kulingishia papuchi kwenye ndoa inatoka wapi, mi hatua niliyochukua akinipa tu napiga game la ukweli mpaka siku 2 au 3 sina hamu kabisa
 
Niliwahi kuwaambia wadada watatu hivi hili jambo kuwa sioni future kuwa nawe. Tofauti kidogo na wengi wetu sikutaka kufanya nao mapenzi ilihali najua si machaguo yangu. Hii ilinisaidia kubaki na heshima yangu na pia kuwatunzia wao heshima.

Ni jambo gumu sana kulifanya kwani wadada walikuwa wazuri mno wasiohitaji chochote zaidi ya penzi na mwili ulikuwa unaniambia acha ujinga ila roho iligoma haswa. Kwao pia ilikuwa ngumu kwani ukipenda jibu lolote zaidi ya "yes" ni kama unaonewa. Ila sasa wananishukuru mno nami nina furaha.
 
Wakuu mimi Nina bahati mbaya na hawa viumbe hata wale wa kuuza huwa wanataka future na mimi

Naogopa kuwa kwenye mahusiano yoyote kila nikigusa mtu anataka kujua future
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Niliwahi kuwaambia wadada watatu hivi hili jambo kuwa sioni future kuwa nawe. Tofauti kidogo na wengi wetu sikutaka kufanya nao mapenzi ilihali najua si machaguo yangu. Hii ilinisaidia kubaki na heshima yangu na pia kuwatunzia wao heshima.

Ni jambo gumu sana kulifanya kwani wadada walikuwa wazuri mno wasiohitaji chochote zaidi ya penzi na mwili ulikuwa unaniambia acha ujinga ila roho iligoma haswa. Kwao pia ilikuwa ngumu kwani ukipenda jibu lolote zaidi ya "yes" ni kama unaonewa. Ila sasa wananishukuru mno nami nina furaha.
Wanaume kama wewe si wengi duniani
 
Ukute ni kaka wa rafiki yako, ukijua utaolewa unakaa nguvu upande. Baada ya mechi kadhaa anakuambia by the way nina mtu wangu yuko masomoni South Africa.

Urafiki unakuwa mchungu, hata wazazi wao ukiwaona unabadilisha njia.
 
Hivi kuachia kwa mahesabu ni kupi? Hahaha kwamba "anaingiza" kidogo tu?

-hakuna mwanamke wa kukupa "papuchi" ukimwambia hatuna future. Wanawake walivyo hata malaya ukifika humwambii nipe utabembeleza[japo siobkivile] tu na kulipa unalipa.
We jamaa Malaya habembelezwi wewe, unapiga na kulipa, anayebembelezwa siyo
 
We jamaa Malaya habembelezwi wewe, unapiga na kulipa, anayebembelezwa siyo
Malaya yuko kazini kama wewe unavyosubiri mshahara mwisho wa mwezi na yeye anasubiri pesa yake mwisho wa mechi.
 
Kuna mdada mmoja nilikuwa na date nae nikapanga nikajitambulishe kwao na niandae na posa nimuoe lakini baadae nkaona kuna baadhi ya tabia zake sitaweza nikamwambia tu mama sawa tunamalengo mema lakini a b c zitafanya huko baadae ndani ya nyumba ugomvi usioisha basi kwa amani kabisa tukaachana bila hasira wala ugomvi.

Ukweli unaumiza sana hisia lakini muda mwingine tuangalie uhalisia na kutumia akili
 
Kwa hiyo ukifika unapiga tu kuacha hapo pesa unaondoka.?
Kikawaida iyo scenerio ya kubembeleza malaya haipo, afu ukiona mwanamke ni malaya ujue kajichetua na sehemu moja ya nerve kwenye ubongo haipo, pia kununua malaya amnaga upendo eti unabembeleza yaani ni kupe unipe inaitwaaa 😂😂😂
 
Hebu niulize
Membejr kwani unataka mahusiano ya aina gani?
1 Ya muda mrefu hadi kufikia ndoa

2 Mahusiano ya kusaidiana Shida za mwili(tunaonana ukinihitaji tu)

3 Mahusiano ya muda mfupi(kama umekuja mkoan utakaa kwa muda halafu utaondoka)

4 Tuwe na mahusiano lakini hakuna ndoa

5 Mahusiano ya wewe kila ukija mkoa niliopo mm tunakuwa pamoja
 
Huu uzi umenigusa sana, ni majuzi tu baada ya kumwambia kuwa mda wa kukuoa bado ila kilichotokea hadi leo amegoma hata kunitumia sms nami niko kimya sitaki hata kumchokoza
Anarudi tu lakini kama rafiki
 
Back
Top Bottom