Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,081
- 127,788
Umeona eeh? Kuepusha mambo kama haya bora ijulikane kabisa la sivyo ukiachwa utakuwa na machungu unaweza kujikuta unafanya maamuzi ya ajabuUnaweza kuanza kumnunulia mamma mzaa chema vitenge kumbe wewe mpitaji