Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Hahahahaha kuenda mbinguni ni probability eeeh??
Mkuu nafuata theory ya I'd yako ..njeterewa njinengo..basi.
Si unajua Mume mwema anapotoka eeh..[emoji13][emoji13]
Mabibi na mabwana... Tunawakaribisha kwenu wazaa chema... Shangwe tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseey!!![emoji23][emoji23].
Acha atangaze tuu , maana unaweza ukampa mastaili hadi kichwa unaingiza uvunguni unaacha kiuno jujuu ..akiingiza inagonga kuta za kizazi ukiwa na matumaini ya ndoa kumbe hamna[emoji23][emoji23].
Aaaaaahhh atangaze tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna aliyewahi kukwambia anakutaka kwa voda fasta tu?
.
.
wote jibu lao ni ndoa,.....hahahah akili kumkichwa
Neno ndoa nikilickia naogopa..
Atakaesema anataka kunioa uyu inabid aende nyumban akakamilishe mipango yote ndo tuwe wote

Nlie nae tupo tu,aliniambia hana mpango wakuoa
 
Yaani umwambie mwanamke mimi na wewe hatuna future! Hapo mmeshakwichkwich au bado Sky!

kama bado mtaani watakubatiza "domo zege".
tena kwa wanawake wa bongo amabao wanataaka uwadanganye ili shoga zake wakimuuliza mbona jamaa kakugegeda kirahisi apate cha kusema. wanawake wachache sana wapo ready kukupa papuchi ukiwaambia hivyo
 
Mmoja tu kati ya niliowauliza aliniambia ukwel na ndo niko nae
Na sisi ambao hatupendi kuongelea future ,tupo tupo tu?

Coz maisha ni kitu ambach hakielewek unaweza ukasem leo hutak ichi ila keshk ichoulichokikataa ndo ukakitaka kwa udi na uvumba
 
Tatizo wanawake nanyi hampendagi ukweli yani bora udanganywe tu wee ndio unaona raaaha...ili mliwe (si hivyo mnavyodhani😂) lazima mdanganywe kidogo laa sivyo tutaishia kuitana kaka na dada.
 
kwa kweli bora usiseme,fanya vituko mwenyewe atajiongeza,kumwambia live kutamuumiza sana,rejection ni mbaya sana..it has long time effects..
 
Sasa hiyo ndiyo gambling[emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi cheza kamari kwenye papuchi yangu aisee.
Pia kubana miguu sio suluhisho LA uhaitaji wako wa kuolewa ..ahaahaaa jiachie tuu. upate maraha huku ukisubiria ndoa
 
Mabinti msikubali hawa wanaume wazione, licha ya kuwavulia, pichu zenu. Ngojeni muoane.

Kama anakutaka aje kwenu apige stories na wewe na watu wako wa karibu asepe. Kama kakupenda alete posa muoane. Mengine mtatatua mkiwa mke na mume.
 
Back
Top Bottom