Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

1. Umeeilewa mada?

2. Nini mchango wako katika maada hii

Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Hao wapinzani ni wapi si hawa wanafiki kina Yericko Nyerere wameanzisha hadi mada wakimsifia mama?

Wapinzani wenyewe ni wapi hawa kina Malisa kila siku lazima waandike mada kusifia mama?
 
Bavicha na nyumbu KWA Sasa wapo tayari hata tuuzwe wakiamini wanamkomoa Mwendazake kumbe wanakomoa vizazi na vizazi vyao

Huwa hamueleweki wala kueleweke

Wapinzani na wanahataka, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Hao wapinzani ni wapi si hawa wanafiki kina Yericko Nyerere wameanzisha hadi mada wakimsifia mama?

Wapinzani wenyewe ni wapi hawa kina Malisa kila siku lazima waandike mada kusifia mama?

Mbona unajadili ujinga wewe

Jadili mada ....... uwazi katika mikataba
 
Haina mantiki yoyote kuandamana ili kudai “mikataba iwekwe wazi”.

Kama maandamano, basi yanafaa yawe ni ya kudai Katiba mpya itakayoleta pamoja na mambo mengine hilo la mikataba kuwekwa wazi pamoja na kuundwa kwa tume huru kabisa ya kusimamia chaguzi zetu.

We need to focus.
 
Jiwe si mtu wa kuamini maneno yake,alisema tunajenga nchi kwa pesa zetu za ndani wakati ameacha deni kubwa sana
wakati magufuli anaukataa hadharani alianisha japo kwa mdomo,mapungufu yaliyopo mule.

sijui ni nani alitafuta mwekezaji yule,na kwa lengo gani!!
tillion 21 tsh ni pesa nyingi sana mtu kuwekeza halafu asiweke mazingira ya hiyo pesa kurudi.
magufuli ali sound logically zaidi.
bado ukweli wa uwekezaji huo una maswali mengi sana.
 
1. Umeeilewa mada?

2. Nini mchango wako katika maada hii

👇👇👇👇

Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Si ndio hawa wapinzani wanaoshangilia kila tukio la siku hizi wakidhani wanamkomoa alie mbinguni?? Au mnapanga kuitisha maandamano ya kushangilia??
 
Kuna umuhimu gani kujenga bandari mpya ? Kwanini tusiboreshe bandari zilizopo mtwara , tanga na DSM ?
 
Nyumba ni nyie mliotufikisha hapa huku mkienda kama kuku aliekaatwa kichwa.

Hata kwenye gesi ya Mtwara mlikuwa kama vipofu matokeo yake leo hii mnakuja kutuambia gesi hii ni ya mabeberu wakati mlikuwa mnashangilia na kugonga meza.

Pathetic and hopeless creatures!

Mkuu, msimu wa pamba umeanza.. ushavuna?

Ya Bagamoyo mwache Mh rais, anajua anachokifanya, na anajitambua.

Utanishtua kilo ngapi za pamba umevuna ili nikuunganishie kwa jamaa.
 
Hongera sana Mh Rais SSH..Mungu akubariki akupe afya njema na umri mrefu.
Kuna umuhimu gani kujenga bandari mpya ? Kwanini tusiboreshe bandari zilizopo mtwara , tanga na DSM ?

Ya Bagamoyo ni muhimu.. hizo zingine zitaboreshwa tu, so tumpe muda, na ikiwezekana hata miaka 30 mama atuongoze. Yuko vizuri sana.. alafu waambie wenzio waache kusemasema "RIP Magu, tutakukumbuka Mno" ni ujinga wa hali ya juu.
 
Hao wapinzani ni wapi si hawa wanafiki kina Yericko Nyerere wameanzisha hadi mada wakimsifia mama?

Wapinzani wenyewe ni wapi hawa kina Malisa kila siku lazima waandike mada kusifia mama?
Mama akifanya jema lazima asifiwe, usiwageuze wengine mawe kama nyie.
 
1. Umeeilewa mada?

2. Nini mchango wako katika maada hii

👇👇👇👇

Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo​

Mkuu, achana na huyo MATAGA hajui hata anachosimamia bali yuko tu humu kuandika pumba.
 
Back
Top Bottom