Sio headphones mkuu, nadhani unamaanisha zile za kufit maskioni ambazo kimsingi ni earphones/earpiece/earbuds.Kwa kweli nimechoshwa na hizi takataka za kichina. Yaani unanunua headphones unaenjoy kwa miezi 2 na zikijiitahidi miezi 4 basi. Ugonjwa ni uleule bila kujali brand name yaani spika moja inaacha kufanya kazi bila sababu na mchezo ndio umeisha hivyo! Ukienda,kila duka ni hizohizo na hapo naongelea zile za bei kubwa kidogo (zaidi ya 10,000). Sasa naweza kupata wapi headphones nzuri?
Hizo nilizijaribu hamna lolote. Last time niko Moshi nanunua earphone nilipata zinaitwa Konycoi brand ya kichina zinagonga balaa na ni baada ya kutest mitambo ya hizo Mi. Package nzuri ila mziki 0! Labda kama hujali bass
Mambo yote kuagiza tu, hapa Bongo tunaibiwa sana haswa kwenye hizi Malls ndio midosho imejaa.
Hazijui huyo, karopoka tu baada ya kuuziwa manyanga ya kimachinga yale k.kooSony zote????
Umeshawahi kutumia sony Xba series kweli???
Ndio mkuu zina bass, na mpaka leo ninazo hazijaharibika.Zina bass na clarity!? Maana sie wengine "Bassheads" sio wapenzi wa "Nyanga" maskioni! Earphone inapiga kelele hadi uitulize na Equalizer ukitumia kitu kisicho na EQ makelele tu hata huo mziki hauinjoy!
Najiona mimii! Kwa kweli nisiposikia mziki wa Sony XPloD maskioni mwangu sina raha.Ni kweli zinazokuja na simu zinakaa sana mimi nimetumia nokia hadi miaka 6 inadunda tu. Tatizo ni mziki ni mwembamba mimi nataka subwoofer za masikioni.
Skull Candy nishatumia earphone zao zinakita sana. Inshort zilifikia expectation zangu kwa kiasi kikubwa!hizo ndiyo imara na bora za bei ya kati nazozijua mimi mkuu, ndiyo maana sijamwambia Bose, au Shure za bei ghali sana. Pia anaweza kupata skullcandy wana machaguo mazuri kwa around 80K. Kama wewe unazifaham earphones bora za elf kumi unaweza kumwelekeza pia, ndiyo maana kaleta thread hapa. Navyojua mimi hizo za bei rahisi ukimaliza nazo miezi sita hazijakata waya au speaker moja kufa basi utakuwa na bahati, na hiyo ni kama uko tayari kuuwa maskio yako kwa poorly engineered sound, bila kusahau usumbufu kwa kila mtu unayekaa naye karibu anaskia vijisauti vinatoka kwenye earphones zako.
Ex 088 zilitamba sana chuga,Nairobi pia ndio zilipotokeaUngepata SONY EX-088 zile OG ungeleta review tofauti. Mi niliziotea Moshi zinatokaga Nairobi sister angu akazipenda siku hiyo hiyo nmetoka nunua nikampa. Baada ya kurudi shop nkakuta zimeisha yani dah.
Kuna jamaa yangu akaziotea Arusha akaninunulia nije kumrudishia pesa ila hazikuwa nzuri kama zile za mwanzo.
Zinadumu, material yake yapoje!? Na sound yake iko bassy with clarity. Kuna earphone za LG G4 nazo zina mziki mzuri balaa ila hauna bass sana!Mkuu kama bado hujapata earphones ingia ebay, search "KOSS The Plug". Hizi ni noise isolating earbuds nzuri sana. Mimi nimeshatumia earphones nyingi zikiwemo za sony, nokia, iphone na ibeats lakini hizi ni kiboko. Utazipata kwa USD 15-20 tu including shipping from USA. Hutajutia mkuu.
Zinaenda sh.ngapi hizi mkuu...?Skull Candy nishatumia earphone zao zinakita sana. Inshort zilifikia expectation zangu kwa kiasi kikubwa!
Rock Zirkon nazipata wapi mwanetu?Ex 088 zilitamba sana chuga,Nairobi pia ndio zilipotokea
Skuiz wanazo fake kariakoo..yani hazipig kabisa
Kiboko ha EX ni Rock zirkon hatar hizo alaf bei chee tu.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Zinaenda sh.ngapi hizi mkuu...?
Hivi hauna ndogo zake style ya inner ear ile.Ndio mkuu zina bass, na mpaka leo ninazo hazijaharibika.
Kama ni mpenzi wa Bass Akg atleast hizi zinazokuja na Samsung hazikufai.Rock Zirkon nazipata wapi mwanetu?
Kuna ninazo zinaitwa Konycoi nilinunua Moshi nazo zimeshazingua yani sikio moja limepungua sauti zinaniboa ila natumia tu nifanyeje. Nilitaka nikajaribu zile AKG japo najua kuna feki ambazo hazipigi ila zinasifiwa sana.
Mtoto hawa anangea anapopajuduh mie nadunda na Nec za tsh 5000/=
Hapana sina,Hivi hauna ndogo zake style ya inner ear ile.
Rock zircon bongo hakuna,,mim nilinunua ali express mkuuRock Zirkon nazipata wapi mwanetu?
Kuna ninazo zinaitwa Konycoi nilinunua Moshi nazo zimeshazingua yani sikio moja limepungua sauti zinaniboa ila natumia tu nifanyeje. Nilitaka nikajaribu zile AKG japo najua kuna feki ambazo hazipigi ila zinasifiwa sana.
Dah Samsung zile earphone zao walizotoa kuanzia galaxy S2 mpaka S4 zile nyeupr za inner ear zilikuwa zina mziki mzuri sana yani well balanced bass and treble na material yake ilikua rubber inadumu sana.Kama ni mpenzi wa Bass Akg atleast hizi zinazokuja na Samsung hazikufai.