Chuuu...gashi ule mna Ng'wanza.....nale natamanile nkoi. Natogwa ugumana geke uli ugukaya. Ilibonekana duli bhinge gete ahenaha. Ila abhana Ntuzu nalibona ite bhinghe un'gunumu...nale nene du.
See, my pops insisted that I learn Sukuma and they never used any other language at home. So I can say my Sukuma is pretty darn good!
Overly licentious, shamefully presumptive, almost childish in simplicity, laughably parochial and criminaly oversimplified.
BaKeya (Bariadi)Tukitaka kujitenga wasukuma/wanyamwezi tutataka kujitenga tena kwa misingi hii
BaNyatuzu
BaNyamwezi
BaSukuma
BaNgweli (Toka Geita)
Bamnha Nasa
Bamna Masanza
Bamna Busumabu (Toka Kwinba)
Bamna Ngwanza (Toka Bugalika)
Bageshi
BaNgwagala
BaKwembaTukitaka kujitenga wasukuma/wanyamwezi tutataka kujitenga tena kwa misingi hii
BaNyatuzu
BaNyamwezi
BaSukuma
BaNgweli (Toka Geita)
Bamnha Nasa
Bamna Masanza
Bamna Busumabu (Toka Kwinba)
Bamna Ngwanza (Toka Bugalika)
Bageshi
BaNgwagala
Nafikiri unamuongerea yule IGP aliyekuwa anatoka Magu. Sidhani kama yuko hai. MWENYE HABARI ZAKE ATULETEE HAPA.Mwanamasala,
..move on...achana na masuala ya kale ya Chifu Makwaia na Nyerere.
..Makwaia hakupata kitu lakini Bomani,Samuel Sitta[waziri tangu enzi za Nyerere],Mark Bomani, George Nhigula,Pius Yasebasi Ngwandu,Ernest Nyanda,Charles Kabeho, etc walikuwepo kwenye system muda mrefu.
..wabane wabunge wako wa Mwanza/Shinyanya/Tabora wahakikishe maendeleo yanapatikana ktk kanda yenu.
..mimi nimeona mbunge wa Musoma Vijijini Mh.Mkono amejenga shule ya kisasa kabisa jimboni kwake kwa kutumia fedha zake mwenyewe.
..hivi kweli wabunge wa Usukumani/Unyamwezini mmoja mmoja wanashindwa kufuata mfano wa alichofanya Mh.Mkono?
..actually nilifarijika kusikia juhudi za John Shibuda kupeleka vijana toka jimboni kwake kusomea course za ualimu. nampongeza kwa hilo.
..wabunge wengine kama Chenge,Samuel Sitta, Rostam Aziz,Lau Masha,Lucas Selelii,Salum Khamis Salum,...sijui wanachokifanya huko majimboni kwao. i hope they are doing something lakini havitangazwi na vyombo vya habari.
NB:
..naomba mtuletee listi ya wabunge wa majimbo ya uchaguzi ya Mwanza,Shinyanga,na Tabora.
..yule Mpambe wa Mwalimu hakuwa mtoto wa Chifu Makwaia?
..kuna Inpector General wa Polisi, akiitwa Pundugu alikuwa mtu wa Usukumani?
Sasa hii inaendana na hii thread au ndo kuchafua thread? Kuna sehemu ya Macereblity unaweza kwenda kuchangia kule ok!!!!MTV
Yo MTV Rap Dr Dre and Ed Lover remember "Ed lover's dance " ?, Club MTV with Downton Julie Brown, remember "wobble wobble wobble "?
BET
Rap City ,Video Soul with Donnie Simpson, Sherry Carter and Madeline Woods .
hehehehe Dwayne Wyene , Jusmine Guy ,hottest chick alikua........ It's a different world form where you come frooooooooooooooooooooooooom.
dah umenikumbusha mbali!
Yni kama hakuna neno la kisukuma linalo-maaninsha Ustaarabu, basi hakuna ustaarabu huko kwenu. period.chu! bhebhe ngalu, uliyomba ubustaarabu yaya guyomba ja mukaya? lekagi bhagosha.....chu! nalema gete.....neyo nahaya gukolwa!