Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,984
Tanzanianjema: shukrani kwa hiyo elimu ya Jiografia
Karibu tena Mh. Zitto, wiki 5 ulikuwa muda mrefu sana kukaa kimya.Mzee Es,
Kila jambo lina wakati wake. mungu akipenda na wakati ukifika ukweli juu ya jambo hili utajulikana. Kwa sasa mniruhusu kukaa kimya. Sitaki kujitetea. Nataka hapo mudea ukifika kusema ukweli, ukweli mtupu. Vuteni subira.
nimeitokeza hapa kufafanua tu baadhi ya hoja za malipo ya wabunge ili mjadala uwe mzuri.
Karibu tena Mh. Zitto, wiki 5 ulikuwa muda mrefu sana kukaa kimya.
Wana JF wanasubiri kwa hamu maelezo yako; kwa wengine kukaa kimya kunafanya waamini habari hizi kama zilivyo na ukizidi kukawia maelezo yako hayatabadili kitu.
Ajali hizi kwenye siasa hutokea, jaribu kulinganisha hili suala na ile ishu ya DC wa Kibondo mwaka 1999 kuhusu mwanamke mzungu wa Concern; ilikuwa hot lakini yule mpiganaji alijitokeza na akasafisha hali ya hewa, hadi leo bado yuko kazini.