Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Hahaha sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi rafiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwan hujui kuna kugawana hizo mali? Ndo maan tunasema suluhisho kwa wanawake nao n kucheat tyuuuh, ili iwe balanced.
Ishu ya kugawana mali ndo chanzo cha vifo ving vya akina mama.ushirikina...

Na mostly kugawana mali ni mijini tuu huku..na hata huku mijini ni asilimia ndogo snaa.so cha muhimu ni wanawake ku ji elevate tuu
 
kanuni ya wanaume huwa ni kukataa katakata hata kama umekutwa red handed na mwanamke mwingine...

ila kama amekuomba msamaha ujue anamaanisha...he is so genuine..na anajuta alichofanya
 
Hivi unyagoni siku hizi wanafundwa vitu gani?
Kulipiza kisasi kwa mwanaume anae cheat, yaan n jino kwa jino,
Km wee ni ngangari mie n ngunguri, chapa ilale hakuna kurembaaaah.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ili uwe na mwanaume unayempenda na kumheshimu maana kwa sasa ndo hvo tena huna trust kwa mwana.......sasa utakaaje bila mwanaume wakati umezoea mjegejo.
 
Sikuhizi Kuna unyago digital sio ule wa mabibi wa kale
Inasaidia sana mwanamke akijua vizuri na ku appreciate baiolojia na saikolojia ya mwanaume (vivyo hivyo na kwa mwanaume kujua mwanamke). Tujifunze kuishi pamoja kwa namna tulivyoumbwa tu.
 
Inasaidia sana mwanamke akijua vizuri na ku appreciate baiolojia na saikolojia ya mwanaume (vivyo hivyo na kwa mwanaume kujua mwanamke). Tujifunze kuishi pamoja kwa namna tulivyoumbwa tu.
Ndio tunavoishi hivo mkuu, hzo bailojia na asili ni maneno tu ya wanadamu, Ila inapokuja suala la furaha biolojia tunaweka mbali
 
Kwani hampi mahela mengi?
Mwanaume ukimkamata amecheat wanakimbiliaga kutoa mahela mengi.
Yeye hajaombwa msamaha hata na kipasso?
Kaombwa msamaha, na kupelekwa vacation huko mbali, ila till mdada bado ligoga lipo ku mtima teh teh teh
 
Kwanza pole sana kwa kuumiza moyo wako pasi na sababu genuine, ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba mumeo pamoja na kukuomba msamaha Sana ila haitakuwa mwisho wa kucheat, ataendelea kucheat tu labda mbinu tu ndo itabadilika kuwa bora zaidi kuliko mwanzo!

Na kama utaamua kuiacha ndoa yako kwa sababu tu mumeo amecheat, basi kuwa na uhakika kabisa baada ya muda fulani kupita utaanza ku-date mume/waume za watu ambao wake zao wakijua hawatawaacha waume zao zaidi zaidi watahakikisha wewe unaachana na waume zao

Utakapokumbuka kurudi kwa mumeo baada ya mateso ya kihisia kutokana na kudate waume za watu,mumeo atakuwa alishaoa mke mwingine ambaye hatakuwa tayari kumuacha mume wako kwa sababu zozote zile, kitakachofuata ni wewe kuuzeeka ukiwa mpweke na mwenye kutamani siku zirudi nyuma Ila haitawezekana tena!
Toka hukoooooh hatusemi aikimbie ndoa. Soln ni yeye kutafuta furaha na amani nje, huku maisha ya ndoa na familia yakiendelea az normal az easy. Kwishneyyyyyyyyy
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jael mbona unanicheka? Najua hayuko humu atakayeweza kuamini wala kukubali hilo ila ndiyo ukweli huo! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you can say that, but i choose to be discreet on this one dear.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ina maana hujui maana ya hii picha?
You have special place in heaven my dia.
Screenshot_20200729_133308_com.quoord.tapatalkpro.activity.jpg
 
Ishu ya kugawana mali ndo chanzo cha vifo ving vya akina mama.ushirikina...

Na mostly kugawana mali ni mijini tuu huku..na hata huku mijini ni asilimia ndogo snaa.so cha muhimu ni wanawake ku ji elevate tuu
Hakuna hiyo mambo n mbwai na iwe mbwai, hakuna kusamehe hapa. Kisasi tyuuhnili na yeye a feel vyenye km mwenzake. Aaaaaaah
 
Back
Top Bottom