Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Hawajui mfalme David mwenyewe Mungu alimnyoosha sanaUnajua laana walizoachiwa baada ya hizo tamaa? Soma vizuri Bible kuna makosa yao kuna watu mpk leo wanalipa
Hawajui mfalme David mwenyewe Mungu alimnyoosha sanaUnajua laana walizoachiwa baada ya hizo tamaa? Soma vizuri Bible kuna makosa yao kuna watu mpk leo wanalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unazungukaa sanaaa...!! Me sijasema kuoa wake wengi ndo kuliwafanya wawe juu kiimani au kuwainuaa..!! Pia Mungu hakuwahukumu kwa kosa la kuoa wake wengi isipokuwa mambo yao wenyewe mengine
Niliyekomenti hivyo ni mimi najua kuwa naweza, mtu aniambie amenichoka halafu mimi nigome.... haiwezekaniI mean from no where tu mwanaume amwambie mwanamke sikutaki nimekuchoka nakupa talaka na mwanamke awe hajafanya kosa lolote.lazima mwanamke agome
That's my girlYusuf wamtaje wapi, wakati uaminifu wake mpaka akawa PM nchi ya watu na mabwege akamtumikia mie upuuzi huo siutaki kabisa, kama mtu ananitaka na nimzinzi akafie mbele na wazinzi wenzie huko!
Atajulia wapi sasa mzee wa kula tunda kimasiharaUnajua laana walizoachiwa baada ya hizo tamaa? Soma vizuri Bible kuna makosa yao kuna watu mpk leo wanalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh dea, ngka Leo nkupe tulizo bora na murua ili usini cheat kamweeeh. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Jamen mwanaume halingi sisi mbona tuko peace tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwani mie Malaya dea? Mmmmh umenichoka sasa, but mbna huyo mumewe ni Malaya was kutupwa khaaaaah.Ataamua yeye either kufuata ushauri wako huu mbovu au atafuata ushari wa wenye akili Kama huo wangu,lakini kaa ukijua hiyo furaha atakayoenda kuitafuta hatokaa aipate, otherwise kama ana asili ya UMALAYA lakini kama hana asili ya UMALAYA kama unavyoonekana wewe,basi furaha yake hataitafuta kwa kulipiza kutoka nje ya ndoa yake
Umeishiwa hoja unaanza personal attacks, khaaaah hebu soma tena comment upya, naamini kuna sehemu hujaelewa poleeeeeeh sanNaanza kuamini waliosema wewe dume unajifanya Dada ..
Umesahau hata unachoongea ..!
Kajipange tena
Hahahaaa,wewe najua sio Malaya kabisa ila ushauri wako ulijiekeza kwenye UMALAYA Malaya hivi mpaka nimeshangaa pepo huyu aliyekushawishi utoe huo ushauri ametokea wapi??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwani mie Malaya dea? Mmmmh umenichoka sasa, but mbna huyo mumewe ni Malaya was kutupwa khaaaaah.
Nakwambia umalaya atafanya mwanaume ndoa ikiharibika analaumiwa mke yaani huwa nashindwa kuwaelewa watu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwani mie Malaya dea? Mmmmh umenichoka sasa, but mbna huyo mumewe ni Malaya was kutupwa khaaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiih lol, n ushauri tyuuuh.Hahahaaa,wewe najua sio Malaya kabisa ila ushauri wako ulijiekeza kwenye UMALAYA Malaya hivi mpaka nimeshangaa pepo huyu aliyekushawishi utoe huo ushauri ametokea wapi??
Na mie nashangaaa lawama anapewa mke wakat kosa ni la mume.Nakwambia umalaya atafanya mwanaume ndoa ikiharibika analaumiwa mke yaani huwa nashindwa kuwaelewa watu.
Kwahiyo mimi nina mwanamke mmoja always, sijakamilika?!Hii inatokea , ila unapaswa kujua kuwa mwanaume yeyote aliye kamilika hanaga mwanamke mmoja hata awe rais wa nchi .
Kwahivyo unapaswa kumpenda tu mme wako na jua kuwa unaumia sana , ila hakuna namna nyingine!
Samahe maisha yaende mbele maana hautakuta mwanaume asiye toka nje ya ndoa sisi wanaume wote ndivyo tulivyo!
Hahaaa na nilikuchokoza tu uje huku nikusikie wasemaje kuhusu hiliUkiona hivyo ujue huu uzi hauni husu. Hakuna maisha mazuri na ya amani kwa sisi tulio oa kama kuto kucheat. Ila daah, acha tu,mwanamke mmoja hatoshi hatoshi, ila sababu ya uana ume wetu tunavumilia.
Huku kwetu mke mmoja huwa tunasema "Tochi moja" ,yaani likizima tochi moja ujue mnalala giza. Na ukitaka kupima uadilifu wako basi uwe na mke zaidi ya mmoja.
Hili lingine tutalimaliza kimya kimya kama ilivyo ada.
Mungu anawaona, wakati mwingine wanapata laana za wake zao bila kujua mke kila siku maumivuNa mie nashangaaa lawama anapewa mke wakat kosa ni la mume.
Mimi simjui huyo allah namjua Sir God creator of everything.Alafu unamtaja Allah kwenye ushauri wako wa hovyo kama huu....! Kwakweli ni hatari Sana
Samahani Sana kama nimekukosea mkuu
Muono wa kiPoyoyo, kimbulula, na kipuuzi mwingine huu! Hivi huu ujuha mnautoaga wapi? Aliyekuambia ndoa za wazungu zinadumu ni Nani!? Au ndio kusema unaangalia Sana sinema za kizungu na kuziamini! Toa upumbafu wa kipuuzi kiasi hicho! Ndoa haiangalii rangi ya ngozi Bali utayari wa dhati kutoka moyoni wenye upendo wa dhati! Ktk Hilo, upendo huvumilia yote, haukosi Kuwa na adabu,nk! Hayo matongotonga ya kishamba kuamunishwa wazungu sijui hivi...Mara hivyo uyanawe na yakitokea!Oke wachekini wazungu ni waaminifu 100% maana wao ndoa hazivunjiki.
Siwezi ruhusu mtu aninyime kufanya linalo jiskia Bora kila ntu a mind bussiness zake tu kwa kweliLabda uwe umefuga marioo ila shababi hana masihara,kuna mawili kukutengua au kukupeleka ahera...mwanaume ni mwanaume tu hata kama mama ndio unatawala nyumba
[emoji23][emoji23][emoji23]hizo taratibu hazitafua dafu kwangu Mimi nimeshaamuaWewe inabidi tufanye taratibu za kufunua kitabu kwanza[emoji23][emoji23]
Utoto unakusumbua . Ukifika miaka 33 na kuendelea utapata majibu ya tatizo lakoMwenzenu yamenikuta na kusema za ukweli nashindwa kabisa kuelewa namna ya kutoka hapa na kusonga mbele.
Ni mume nilompenda sana sana sana. Mungu katujaalia two beautifull kids na mengine ambayo am greatfull for. Tuliishi kwa upendo,furaha na amani hadi miezi 8 ilopita nilipogundua kuwa nilivyomdhania mume wangu sivyo alivyo.
Kwakuwa nampenda na kumfahamu sana mume wangu, kuna kitu nilikuwa tu nakihisi hakiko sawa kwa muda. Baadae nikagundua he was cheating. Yaani sitaki kuelezea mstuko niloupata na jinsi ninaumia jamani. Japo aliomba sana msamaha and all that ila moyo wangu umekufa ganzi wapendwa.
Mume nilompenda sana kwasasa namuona kama jirani yangu tu, hata hamu nae sina kabisa na hata tendo la ndoa ni kama ananibaka tu. Tushaongea sana, tushakwenda hadi vacation sie wawili tu ila sioni kinachobadilika. Akisafiri kikazi au mimi nikisafiri najisikia amani zaidi and i dont miss him kabisa.
Kuna wakati nilimuomba some alone time nifikirie kuhusu mustakabali wa hii ndoa, alinipa huo muda na kwa kipindi hicho cha wiki moja kichwani mwangu nilishangaa kunazunguka watoto wetu tu na sio mume wangu. Sijamueleza mtu yeyote kuhusu hili hata mama yangu wala mshenga wetu ila linanitafuna hatari.
Wenzangu mnawezaje kusamehe wanaume wanaowacheat na kurudi katika hali zenu za kawaida? Maana mie kwasasa mume wangu namuonaje sijui, nae naona hali hii inamtesa ila ndio hivyo tena[emoji134]
Sijisikii kumpenda wala kumheshimu tena, naona kama hadeserve kwa kutokuithamini na kuivuruga ndoa yetu.