Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Itabidi uwe na moyo mgumu tu na mstahimilivu ndomana unakuta wazee wetu mpaka Leo wapo pamoja

Nyinyi vizazi vya sasa mbona mnakuwa na roho nyepesi sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana kaka mimi niko radhi niitwe majina yote lakini siko tayari kuhandle stress za mtu mzima tena anayenikosea makusudi kabisa

Eti cheating is inevitable, woii si bora nitafute pesa nizunguke duniani nikichoka nife tu nijue moja.

Halafu cha kushangaza badala mtafute namna muache ndiyo kwanza mnatulazimisha wanawake tuvumilie, yaani mmefanya kama kucheat ni kitu ambacho mtu hawezi kuacha ana akiacha atakufa.
 
Hongeraaaaa!!!!!
It is now confirmed kwamba unawakilisha kundi kubwa sana la wanaume wajinga. Ni kweli mke wako akichoka tabia zako na kuamua kuondoka hapo unakuwa umemwacha.
Hongera sana kichwa cha familia.

Hivyo ndiyo vichwa vya familia mama
Haki kuliko niongozwe na kichwa kama hiko si bora tu hata niongozwe na kichwa cha treni
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani nyie viumbe ni wabinafsi hamtaki na sisi tuji mwambafai na ma jihogo ya uchumi wakati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati yapo bwerere mtaani, mengine hayajawahi hata kuchovya nyapuuuh, zaidi ya kulamba sabuni na ku brushiwa na mikono,
Khaaaaaaah hebu na wao tuwazawadie mema ya uumbaji wa mola. Uchoyo m dhambi bhanaaaah. Hahahahah
 
Hahaha heshima yake aunt yangu
Niseme tu ukweli,wanawake mna faraja na niwavumilivu mno. Kuna mengi tunakutana nayo huku mtaani, kuna mnayo yasikia mnayapuuza mengine mnayaona kupitia simu zetu lakini mnatusamehe bure...
Kuna siku nilijitusu kutongoza msichana kwa simu, wife akanibamba, kumbe nilitakiwa niwe nafuta sms, wife akaniuliza kistaarabu kabisa
"nikikunyang'anya hiyo simu na nikukutanishe na huyo binti unaweza kumtongoza na akakuelewa na hicho kigugumizi chako?" ile nianze kujitetea akasema "nitafunika ungo ufe..." nikanyamaza kimya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]

Ahsante Mungu ni mwaka 12 sasa umepita.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah anko umenichekesha, msalimie sana auntie yangu jamani muambie nikikuwa mkubwa nataka kuwa kama yeye.
 
Hivyo ndiyo vichwa vya familia mama
Haki kuliko niongozwe na kichwa kama hiko si bora tu hata niongozwe na kichwa cha treni
[emoji23][emoji23][emoji23]
Talaka anatoa mumeo sio ww, wewe hutoi talaka , ukimchoka ukataka kusepa utaenda omba yeye aruhusu wewe uende zako salama kwa kukupa talaka, mwanamke haachi, anaachwa, kama vile kuoa tu, huoi unaolewa
 
Hio haitowezekana, ama la ukifanya hilo tukio uwe na plan B mapema ya kula kona, inaweza saidia
Wee ulifanya plan B? toka hapa usilete ukandamizaji wako.
Kila mtu ashinde match zake, huwezi battle bas tuliza [emoji461] chini, maisha yaendeleeh, sio bla bla za kufikirika zisizo na mantiki.
 
Wengi ya wanawake wanapenda ready made, wewe mke wa ndoa uliyeanzia naye chini unaonekana haufai wengine wanakula kiurahisi huku wewe ukifa kwa pressure.

Halafu mtu anakuambia eti cha msingi mume akuheshimu! Yaani kitendo cha kuchepuka na kuhonga michepuko hela alizochuma na mkewe tu tayari ni kumkosea mkewe heshima sasa sijui wenzetu heshima wanaitafsiri vipi!

Oops nilisahau kumbe afrika heshima ya mwanamke ni ile pete ya ndoa tu haijalishi huko kwenye ndoa anapigwa au anasalitiwa ila cha msingi anaonekane yuko kwenye ndoa basi inatosha! Mengine hayo watajuana na mumewe huko huko ndani!
 
Wee ulifanya plan B? toka hapa usilete ukandamizaji wako.
Kila mtu ashinde match zake, huwezi battle bas tuliza [emoji461] chini, maisha yaendeleeh, sio bla bla za kufikirika zisizo na mantiki.
[emoji23][emoji23]
na vurugu zako zote hapa, unaweza ukute ni Mwanamke safi kabisa mtaani huko, down to earth, ana adabu na heshima utadhan katoka kwenye uzao wa kina Magdalena rafiki wa Mariam mama wa Yesu mke wa Yusufu fundi seremala
 
Heshima hiyo kwioooo. Eti heshima mtcheeeeeeeeeeeew
Halafu mtu anakuambia eti cha msingi mume akuheshimu! Yaani kitendo cha kuchepuka na kuhonga michepuko hela alizochuma na mkewe tu tayari ni kumkosea mkewe heshima sasa sijui wenzetu heshima wanaitafsiri vipi!

Oops nilisahau kumbe afrika heshima ya mwanamke ni ile pete ya ndoa tu haijalishi huko kwenye ndoa anapigwa au anasalitiwa ila cha msingi anaonekane yuko kwenye ndoa basi inatosha! Mengine hayo watajuana na mumewe huko huko ndani!
 
Wanajidanganya sana! Na hapo ndipo naiona faida ya kuzaliwa mwanamke kwa sababu sisi wanawake kwetu ngono siyo kama chakula tofauti na hii jinsia nyingine iliyomsaliti Yesu wao kila wakati wanatamani wawe wananiliu hasa waafrika!

Mimi ndiyo maana mwanamke akiniambia eti she’s a sex addict huwa hainiingii akilini! Maana sisi hisia zetu ziko mbali na ni hadi ziwe stimulated!

So to my side I think i’m happier and better without sex and I can handle being single for the rest of my entire life. Come sun come rain.

Dogs are the best creatures ever. Very loving and selfless kwanza nashangaa kwanini wanasema wanaume wote ni mbwa yaani wanafananisha mbwa na vitu vya ajabu wanawaonea sana mbwa jamani that is so unfair.
Ukiwa mwenyewe unakuwa na boundaries zake na mipango yako na hivi sisi ngono sio kiupaumbele unaweza ku survive mda mrefu na Tena ukishapata watoto wako kwanini ujipe stress?
Hafu ujue wanawake wengi hufanya vtu kwa kufata pressure za kijamii baada ya kujiwekeza hata kiuchumi, lakini majority hufanya vitu kuwafuraisha wanaume, na wanaambiwa vumilia eti ndio wanaume wako hivi huku mtu anagugumia maumivu.
Ni Bora niwewenyewe ka papuchi yangu kuliko kuishi na mtu anayekuumiza hisia zako daily. Kwani before yeye nilikuwa naishije na wengi hujificha kichaka Cha watoto
 
Ndo maan yule mdada aliuawa pale kimara stop over kisa uvumilivu na kujivika majukumu ya malaika, naamini angekuwa na mchepuko wala asingekua kaburini leo, aaaaaah sitaki kujinafiki na kuidhulumu nafsi angu mie mwenyewe khaaaaah
Uvumilivu upo Ila kujitesa kisa mtu anayekuumiza hisia zako Hilo ni kosa kubwa Sana. Mwanaume akianza kuchepuka mama jipange andaa silaha zangu nyumba yako haiko safe Anza kufanya maendeleo yako, binafsi, usijiloge kufanya na mwenzako akitekwa akili asirudi akufukuze na hujui pakuanzia si ndo mwanzo wa magonjwa ya moyo kila siku hospital
 
Kama hujaolewa bado, hakikisha unapata uzoefu wa kupigwa matukio ya kutosha kwanza kabla hujaingia kwenye ndoa, itakusaidia sana , sisi wanaume tukio pisi ya maana shetani nae hua jiran tu hapo hapo , utakua disappointed sana , ndoa yako na familia uliyo iota siku moja itapota hv hv kufumba na kufumbua, ni bora mara mia uingie huko ukiwa unajua fika hili jambo mda wowote litatokea, lisipotokea it's good for you, ila likitokea ulisha jiandaa kisaikolojia zamani, tofaut na uingie ukiwa unajua wewe ndio alfa na umega, rafiki, you will be surprised nakuambia
Mimi Kama matukio nimeshapitia mengi Sana na Kati ya vitu nisivo vipa kiupaumbele kwangu ni mahusiano maana naona hyo ni minor issue Sana Tena napuuza ingekuwa hela hapo badamu bagemwagika hapo
 
Ilinifanya nijitambue [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23]huwa tunazoom tu nakuwaona wajinga saa nyingine tunapuuza maisha yaende ingekuwa wewe ungefanyiwa hivo SI ajabu ungekuta hauko duniani
 
[emoji23][emoji23]
na vurugu zako zote hapa, unaweza ukute ni Mwanamke safi kabisa mtaani huko, down to earth, ana adabu na heshima utadhan katoka kwenye uzao wa kina Magdalena rafiki wa Mariam mama wa Yesu mke wa Yusufu fundi seremala
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nimecheka had mbavu zinauma lol, weeeeh mie huyu ni kizungumkuti haswaaaah hadi huko uraiani.
 
Back
Top Bottom