Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Mimi Kama matukio nimeshapitia mengi Sana na Kati ya vitu nisivo vipa kiupaumbele kwangu ni mahusiano maana naona hyo ni minor issue Sana Tena napuuza ingekuwa hela hapo badamu bagemwagika hapo
Kama ni hivi basi sawaa
 
Wanaume wenzangu kumbekeni kauli hii kuna la kujifunza hapa.

"Wanawake wote ni rahisi kusamehe lakini ni wagumu kusahau" hivyo mkikosana kidogo tu lazima atakumbushia yale ya nyuma au ukifanya kosa linalokua na kuelekeo wa lile la mwanzo atakumbushana tena.Hii ni tofauti na sisi Wanaume Kusamehe ngumu lakini tukishasamehe tunasahau kabisa na wala hatupendi kukumbuka wala kukumbushia ni kwa sababu mioyo yetu ina uvumilivu wa hali ya juu na hatuwezi kubeba vitu viwili kwa wakati mmoja tofauti na wenzetu hawa.

Hivyo tuishi na wake zetu kwa umakini tusiwaumize tukaharibu ndoa zetu,nimefanya research hata kwa mpenzi niliye nae ikitokea nimekosea mimi inakua ishu kubwa sana kuliko yeye akinikosea..na nimejifunza hapo.

Na mjue kuwa mwanamke utamkosea na kumuomba msamaha frequently na atakusamehe lakini siku akisema basi nimechoka ni harudi nyuma yaani ndiyo kwaheri hiyo haina reverse! Endeleeni tu kuendekeza akili za vichwa vyenu vya chini!
 
Uvumilivu upo Ila kujitesa kisa mtu anayekuumiza hisia zako Hilo ni kosa kubwa Sana. Mwanaume akianza kuchepuka mama jipange andaa silaha zangu nyumba yako haiko safe Anza kufanya maendeleo yako, binafsi, usijiloge kufanya na mwenzako akitekwa akili asirudi akufukuze na hujui pakuanzia si ndo mwanzo wa magonjwa ya moyo kila siku hospital
Kabisaaaaaah dea yaan wee acha tyuuuuuh.
 
You Will be surprised.. mwenzio huko when i was a little boy alikua anasema hvyo hvyo, i knew nothing back then, just imagine upweke ambao ungekua nao wewe kwa kumkosa mzazi mmoja wapo kwa mambo ambayo wewe kama mtoto wala hayakuhusu, hao watoto msione mnawajaza maneno mkadhan wanawaelewa, upweke wa kumkosa mzazi mmoja ambae wanajua yupo hua unawatafuna sana, usiku vitandani wanalia sana tu , wakitembea barabarani huko wakaona watoto wenzao wanatembea na wazazi wao wote wawili hua vinawachoma sana , mtoto atakusikiliza vyema tu , utampa sumu yote chini ya jua, sijui vitisho vyote..siku aje ajue ukweli , afunuliwe , ..rafiki mwanau umemzaa mwenyewe atakua mbogo kwako ,

mwenzio huku hakuamn, alienda analia kunisemea kwa mchungaji , maumivu anayopata mtoto pengine ni zaid hata haya ya wewe kusalitiwa na baba yake,

Omba Mungu yasitokee, it's out of your control likiharibika, Omba uwe na familia bora unayoitamani, Mungu atakupa, ila sio hii ya kujaza watoto sijui bla bla, yule ni baba kwao, kama vile ww ulivyo na baba, wanaweza kua adui yako within seconds tu
Bwana wee tumeishi bila wazazi na tumekua na Sasa twazeeka sembuse huyo mtoto akilia sijui daddy sijui Nini sio kwangu Mimi aisee nitamfunza kuishi kwa Hali zote awepo au asiwepo lazima afurahi tu.
So hzo other factor kwangu ni minor issue, sijui daddy sijui madudu gani atavumilia tu mbona yatima Wana survive
 
pole sana bi mdada, tatizo lako umezidi kuchunguza sana mwanaume huwa hachunguzwi kamwe, alafu kingine tambua kuwa hakuna mwanaume ambae anaridhika na mwanamke mmoja wewe tatizo lako ulimwamini sana mumeo tofauti na matarajio akachepuka, mimi nakwambia kwa uzoefu kabisa pia nimeoa lakini mke wangu alishanambia kikubwa heshima ndani kingine nisisahau majukumu ya ndani ya kifamilia but si kwamba ameshaniona nachepuka la asha anajua nachepuka lakini hana uhakika na ilo jambo. kaza moyo konde ila ujumbe wangu usije kuchepuka hili ulipe kwa kile alichokifanya mume wako utaumia mara milioni tofauti ulivyoumia mwanzo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Talaka anatoa mumeo sio ww, wewe hutoi talaka , ukimchoka ukataka kusepa utaenda omba yeye aruhusu wewe uende zako salama kwa kukupa talaka, mwanamke haachi, anaachwa, kama vile kuoa tu, huoi unaolewa
Siku hizi wanaacha ndugu wanaenda kudai talaka mahakamani nimeona wengi walienda kuomba talaka sema mwanaume anaumia kuacha mke ila mke akishasema basi ni ngumu kulazimisha na kama ana ushahidi mbona mahakamani anapata haki yake yote
 
Mungu wangu tobaaaaaaaah weeeee atasahau kabisaa km alikua na maumivu ya kucheatiwa. Chezea jihogo weyeeeeeeeeeh
Majihogo tofauti husahaulisha machungu hata kumpuuza huyo anayekusumbua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah anko umenichekesha, msalimie sana auntie yangu jamani muambie nikikuwa mkubwa nataka kuwa kama yeye.
[emoji1][emoji1][emoji1]
Amekuwa rafiki yangu mkubwa. Akikumbuka huwa anacheka sana.
Karibu utamkuta
 
Bwana wee tumeishi bila wazazi na tumekua na Sasa twazeeka sembuse huyo mtoto akilia sijui daddy sijui Nini sio kwangu Mimi aisee nitamfunza kuishi kwa Hali zote awepo au asiwepo lazima afurahi tu.
So hzo other factor kwangu ni minor issue, sijui daddy sijui madudu gani atavumilia tu mbona yatima Wana survive
Hizi nyakati za utoto wewe una full control, hana shida, atakua mtu mzima , hapo ndio mtihani ulipo, ndio maana nasema hili sio jambo la kuliombea na kama likitoka basi changa karata vizuri, atapokuja kua mtu mzima asilete shida kwako

manake baba yake anaweza kua kakupiga tukio , mtoto anakua mtu mzima nae anakupiga tukio tena.. sio mambo ya kuombea yatokee haya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati yapo bwerere mtaani, mengine hayajawahi hata kuchovya nyapuuuh, zaidi ya kulamba sabuni na ku brushiwa na mikono,
Khaaaaaaah hebu na wao tuwazawadie mema ya uumbaji wa mola. Uchoyo m dhambi bhanaaaah. Hahahahah
Sasa mtu analia Lia tu wakati mijihogo ya uchumi wakati upo, jamani Mimi sipendi kuona mwanamke mwenzangu analia kisa ujinga wa Hawa viumbe, wakati tuna majukumu mengi ya kufanya as well as kujifuraisha na Mambo mengi tu
 
Wee ulifanya plan B? toka hapa usilete ukandamizaji wako.
Kila mtu ashinde match zake, huwezi battle bas tuliza [emoji461] chini, maisha yaendeleeh, sio bla bla za kufikirika zisizo na mantiki.
Wao waki cheat eti mke kajisahau unataka ufanyiwe yote wewe una play part gani kumfuraisha huyo mke?
Hawa viumbe dawa yao Ni mwendo wa bampa to bampa
 
Siku hizi wanaacha ndugu wanaenda kudai talaka mahakamani nimeona wengi walienda kuomba talaka sema mwanaume anaumia kuacha mke ila mke akishasema basi ni ngumu kulazimisha na kama ana ushahidi mbona mahakamani anapata haki yake yote
Ndiko huko anakoenda omba...

Mwanaume akishindwana nawe anakupa talaka
ukishindwan nae unaenda mahakamni kuomba akupe talaka, either ways mume ndio anatoa
 
Sasa mtu analia Lia tu wakati mijihogo ya uchumi wakati upo, jamani Mimi sipendi kuona mwanamke mwenzangu analia kisa ujinga wa Hawa viumbe, wakati tuna majukumu mengi ya kufanya as well as kujifuraisha na Mambo mengi tu
Mie mtu anayelia kusa mapenzi namuona km vile n mtoto hajielewi, sijawah kuwaelewa kabisaaah
 
Halafu mtu anakuambia eti cha msingi mume akuheshimu! Yaani kitendo cha kuchepuka na kuhonga michepuko hela alizochuma na mkewe tu tayari ni kumkosea mkewe heshima sasa sijui wenzetu heshima wanaitafsiri vipi!

Oops nilisahau kumbe afrika heshima ya mwanamke ni ile pete ya ndoa tu haijalishi huko kwenye ndoa anapigwa au anasalitiwa ila cha msingi anaonekane yuko kwenye ndoa basi inatosha! Mengine hayo watajuana na mumewe huko huko ndani!
Hamna heshima kwa mtu asiyetulia aisee na Kama anakuheshimu hawezi fanya hivo tena mlianzia chini kabisa then wengine wale kiulani, mhhhh hapo Bora tukose wote nafanya maamuzi magumu kuliko ya shetani.
Na hao wanaojifanya kuvumilia na Pete huku wanaumia na kuja kuletewa maradhi na ili kufuraisha watu waendelee na huo ujinga, Mimi binafsi siwezi kabisa
 
Wao waki cheat eti mke kajisahau unataka ufanyiwe yote wewe una play part gani kumfuraisha huyo mke?
Hawa viumbe dawa yao Ni mwendo wa bampa to bampa
Mbwai na iwe mbwai, piga nikupige. Hakuna kurembaaaah.
 
Back
Top Bottom