Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Embu mshirikishe mama yako mzazi kama yupo,au bibi yako,kama wote hawapo tafuta mama mtu mzima unayemheshimu mtaani kwako au kazini kwako usikie nini atakwambia.

Nina imani utajifunza makubwa ambayo hukuwahi kuyafikiria na si ajabu ukajiona una bahati sana.

Sisi wanaume nasema sisi sababu,tuko na sifa zinazoendana.hatutosheki na mwanamke mmoja wote,ila ukipata mwanaume anayekula nje na anakumbuka familia yake(mpaka kukuomba msamaha)mama shukuru Mungu.

Maana mimi ni mwanaume,ila kuna baadhi ya wanaume ni mbwaa.anatoka na ukihoji inakuwa tatizo.

Remember the glass is always greener outside the fence,unaweza hisi labda sababu wako ni mfupi,kumbe walaa,kila mtu ana majanga yake mbali mbali.
aisee.grass is greener on the other side.mzee umeoa?
 
Ndio ukubwa huo sasa!hapo sasa ukivuka katika hilo ndoa yako na nafsi yako itakuwa na amani saaana!
utajifunza kujipenda wewe kwanza na kujipa furaha,hutomuwaza huyo msaliti tena!yaani arudi nyumbani mapema au achelewe wewe kwako sawa tu! Anakua rafiki yako tu sasa maana ule upendo wa ndani wa juu kabisa unakua umeisha! Wanawake tukipenda halafu tukaumizwa ndio tunakua hivyo[emoji26]inauma saaaana saaaana!!!haiishi hasira yake,muombe mungu akuepushe na chuki na kisasi dhidi yake ile ya wazi! ila kifupi ni kwamba hali ya moyo wako haiwezi kuwa kama zamani tena,never ever hasa ukiwa ulimpenda sana,ulitimiza majukumu yako kwake kama mke,hukuwahi kumsaliti wala kumvunjia heshima!! HAKIKA INAUMA,najua Viatu vyako mummy!pole sana muda utaamua
na wewe ulipitia katika hali hiyo?
 
Huwa tunaitumia hiyo excuse kuhalalisha kuendelea kuishi kweye ndoa na hao wazinzi (so far hata ndoa yenyewe kwenye spiritual realm inakuwa imeshavunjika). Inabidi tu niassume na kwa wenzangu kunawaka moto kama kwangu teh; ntafanyaje huku ndoa naitaka. It's wise kusema umeamua tu kuendelea kuishi na huyo mzinzi pamoja na yote (you don't owe anyone an explanation so far); kuliko kujifariji kuwa all men cheat ilhali unagugumia ndani kwa ndani

Hapa wengine tunajishaua all men cheat; ila tukihisi tu kuna mchepuko; tunautafuta then tunaenda kuanzisha timbwili au humo ndani kunawaka moto. Jiulize ni wangapi humu tukifumaniaga huwa tunawaambiwa waume zetu "hongera mume wangu; upo sawa tu kama wanaume wote? Kwa nini tuumie sasa ilhali hiyo ni tabia ya wanaume wote?

Bado wapo wanaume waaaminifu; wanaoheshimu wake zao, na viapo vyao vya ndoa kwa kutokuchepuka. Wengine ni personal decision tu kutokuchepuka; na wengine wanafanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. Ndoa ni kitu chema sana; ndoa si kuishi na maumivu kama wengi wetu tunavyojifariji hapa. Although uaminifu sio chagamoto pekee kwenye ndoa; lakini uaminifu ukikosekana ni jambo la kujeruhi moyo sana. Kuna makosa mengi lakini usaliti sio tu ni kosa; bali ni kuvunja imani ambayo mtu alikuwa nayo juu yako. Ni gharama kubwa sana kurudisha imani ilivunjika; na kwa wengi ni kidonda kisichopona.

Let's stop legitimising nonsense. Usaliti sio tu kitu ambacho mtu anafanya kinapita. Usaliti umevunja ndoa nyingi; umetenganisha wazazi na watoto; watu wameambukizwa magonjwa yasiyotibika; familia zimetelekezwa hazina mbele wala nyuma. Kuna michepuko inaroga na kuua wake ili yenyewe iolewe afu baadaye watoto ndo wanateseka n.k. If one decides to settle for nonsense; it's very ok, but let us not propagate it. Ni upumbavu na ni ubatili

Mithali 6:26, 32-33

26. Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate;Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani.

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;Wala fedheha yake haitafutika.
Hii comment imeakisi jina lako, sending love❤
 
Akaaaah hapa n jino kwa jino hadi kieleweke lol
Kwa kweli Sasa huyu mwanamke mwenzetu bado analia tu huku wenzake Wana vidumu vya kutoa hela ya rejesho, hela ya saloon, mwingine wa kumpa vitu vya hapa na pale Sasa yeye analia Lia Nini I'm sure mumewe huwa hamtoshelezi kwa yote hayo.
 
Na wewe chepuka tu hapo kilichobaki nikulea watoto cheating haisameheki kabisa hasa mtu uliye mwamini, Hawa viumbe huua nyege za wake zao. Nakuhurumia maskini kiukweli na wewe chepuka tu ngoma droo wallah
Mkuu unaroho mbaya ushaur gani huo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ambalo ata ndugu zake kuja hadi akuombe ruhusa, ilo ni kiboko na mm nalielewa maana nimeona watu wakinyooshwa nalo
Yaaan hilo n hatareeeeh, nakuendesha km zezeta au ndondocha langu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mapenzi yana siri nyingi mnooh
 
Nikisomaga komenti za wababa humu Jf huwa najikuta nakata tamaa na siku yangu inaharibika kabisa. Ndio maana huwa sipendi kufungua nyuzi zinazohusu mambo ya ndoa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwamba ukweli unauma
 
Yaaan hilo n hatareeeeh, nakuendesha km zezeta au ndondocha langu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mapenzi yana siri nyingi mnooh
Na mm siwezi kukuoa mwanamke mchawi🤣🤣🤣 labda univute kwa dawa
 
Kwa kweli Sasa huyu mwanamke mwenzetu bado analia tu huku wenzake Wana vidumu vya kutoa hela ya rejesho, hela ya saloon, mwingine wa kumpa vitu vya hapa na pale Sasa yeye analia Lia Nini I'm sure mumewe huwa hamtoshelezi kwa yote hayo.
Sie tumeshampa ushauri alio omba, kazi kwake kuufuata au laaaah, kikubwa apambanie furaha na amani yake pale pengine popote panapo faa kwake.
 
Sie tumeshampa ushauri alio omba, kazi kwake kuufuata au laaaah, kikubwa apambanie furaha na amani yake pale pengine popote panapo faa kwake.
Ni kweli na aanze kuwa makini a focus kwa furaha yake awe na amani awalee watoto basi, huyo kunguru asiyefugika apuuze. Ni kosa mwanamke kumpenda mwanaume wao huwaza starehe hawajali familia na hutaka kusamehewa tu
 
I hope he will take every single of the blame if you want him to.
But you have to know that there is no "INNOCENT ONE in this GAME for TWO"
Kwa mtoa mada ni kwambie hata siku moja usilikimbie tatizo bali jifunze kuwa sehemu ya tatizo ili uweze kulitatua tatizo.
Hakuna zawadi kubwa kama kujifunza kisamehe na kisahau katika Maisha lakini kubwa sikiliza moyo unakwambia nini?
 
Na mm siwezi kukuoa mwanamke mchawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda univute kwa dawa
Kwan mnajuga bas, mie nikipaka mhita kweny nyapu, wee ukaja na dushe lako kuchovya ndo imetoka mazima hiyoooh, unakuwa msukule wangu tyuuuh. Nakuendesha nitakavyo
 
Na wewe chepuka tu hapo kilichobaki nikulea watoto cheating haisameheki kabisa hasa mtu uliye mwamini, Hawa viumbe huua nyege za wake zao. Nakuhurumia maskini kiukweli na wewe chepuka tu ngoma droo wallah
Mdanganye tu ajichanganye ndio atajua nw hii dunia haina usawa [emoji3]
 
Mkuu unaroho mbaya ushaur gani huo
Dawa ya Moto ni Moto mbinguni tunaenda kutoa hesabu tu wallah. Mimi nilikuwa siwezi kufanya kisasi naumia, sikuhizi nikufanya kisasi nakuwa na amani tele moyoni
 
Ni kweli na aanze kuwa makini a focus kwa furaha yake awe na amani awalee watoto basi, huyo kunguru asiyefugika apuuze. Ni kosa mwanamke kumpenda mwanaume wao huwaza starehe hawajali familia na hutaka kusamehewa tu
Mwanaume tangu lin anapendwa? Kwa kipi? Ili iweje? Tunaweka tyuuh sawa muungano ili watoto wasihangaike na familia kuyumba baasi.
 
Mdanganye tu ajichanganye ndio atajua nw hii dunia haina usawa [emoji3]
Sasa afanye kinachompa faraja hyo ya usawa hata kuzimu hamna usawa sembuse swala la kujipa furaha
 
Back
Top Bottom